Ushauri wenu ndugu zangu

Ushauri wenu ndugu zangu

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi.

Kikipato namzidi hilo kwangu si tatizo, shida nikuwa, tangu kuwa naye kwenye mahusiano hajawahi kunipeleka kwake hata kwa bahati mbaya, kila sikua anakuja kwangu na nikimuambia mambo ya kunipeleka kwake ananiambia muda bado mpaka tujuane vizuri.

Sijui chochote kuhusu yeye ila ananiambia hajaoa, kuna rafiki yake mmoja tu ndiyo kanitambulisha kwake na mdogo wake wakike, wote wananiambia kuwa bado hajaoa. Sasa shida nikuwa, kuna kipindi mwaka jana mwishoni nilikua naangalia kwenye simu nikakuta kapiga picha ya vyeti vya ndoa ambavyo vina majina yake, nikamuuliza vipi mbona kama una ndoa akanijibu achana na mambo ya picha utachanganyikiwa.

Basi mimi nilikaa kimya kwani lainihakikishia kuwa ni picha tu lakini hajaoa. Lakini miezi miwili iliyopita nilikua kwenye mtandao, mara nikakuta kuna mwanamke kampost, kaandika maneno mengi sijui wewe ndiyo maisha yangu, pumzi yangu na mambo kibao kumsifia huyo mwanamke.

Wamepiga naye picha nyingi tu yaani zile za studio, maeneo mbalimbali na ni kama anampost mara kwa mara kama wana familia. Mimi kwenye hiyo akaunti ameniblock ila hajui kama nina akaunti nyingine fekero naitumia kufuatilia umbea.

Nimemuuliza ananiambia kwani unakosa nini si nakuridhisha achana na mitandao. Hajawahi kunipa hata shilingi kumi mimi ndiyo nampa kwani ana kipato kizuri ila nimemzidi, namsaidia sana kama mume wangu ila nina hofu, hivi anaweza kuwa ni mume wa mtu kweli ananidanganya, nashindwa kuelewa kwani kila nikimuuliza ananikatalia!
 
Mada za kipumbavu zinakera sana humu jf.
Ebu andika Mambo ya maana acha Mambo ya kukopi story huko fb unàtupotezea muda kusoma halafu unakuta ni mambo ya shule shule.
 
hivi anaweza kuwa ni mume wa mtu kweli ananidanganya, nashindwa kuelewa kwani kila nikimuuliza ananikatalia!
Kama ulishamvulia chupi tayari umeshaungwa naye wewe ni mke mdogo usiyetambuliwa...

Ilikuwaje ukaanza kumleta kwako ilhali wewe hujui anakokaa?

Mvumilie tu na uongo wake kama unampenda, ila ukweli wewe ni mmoja wapo wa wapenzi wake mliopo kwenye orodha yake.
 
Karibu uwe mhasibu wa halmashauri ya moyo wangu.
 
Mume wa mtu huyo

Ngoja nibahatishe kama unamzidi kipato tena toka halmashauri basi huyo jamaa atakua mlinzi wa kampuni binafsi
 
Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi.

Kikipato namzidi hilo kwangu si tatizo, shida nikuwa, tangu kuwa naye kwenye mahusiano hajawahi kunipeleka kwake hata kwa bahati mbaya, kila sikua anakuja kwangu na nikimuambia mambo ya kunipeleka kwake ananiambia muda bado mpaka tujuane vizuri.

Sijui chochote kuhusu yeye ila ananiambia hajaoa, kuna rafiki yake mmoja tu ndiyo kanitambulisha kwake na mdogo wake wakike, wote wananiambia kuwa bado hajaoa. Sasa shida nikuwa, kuna kipindi mwaka jana mwishoni nilikua naangalia kwenye simu nikakuta kapiga picha ya vyeti vya ndoa ambavyo vina majina yake, nikamuuliza vipi mbona kama una ndoa akanijibu achana na mambo ya picha utachanganyikiwa.

Basi mimi nilikaa kimya kwani lainihakikishia kuwa ni picha tu lakini hajaoa. Lakini miezi miwili iliyopita nilikua kwenye mtandao, mara nikakuta kuna mwanamke kampost, kaandika maneno mengi sijui wewe ndiyo maisha yangu, pumzi yangu na mambo kibao kumsifia huyo mwanamke.

Wamepiga naye picha nyingi tu yaani zile za studio, maeneo mbalimbali na ni kama anampost mara kwa mara kama wana familia. Mimi kwenye hiyo akaunti ameniblock ila hajui kama nina akaunti nyingine fekero naitumia kufuatilia umbea.

Nimemuuliza ananiambia kwani unakosa nini si nakuridhisha achana na mitandao. Hajawahi kunipa hata shilingi kumi mimi ndiyo nampa kwani ana kipato kizuri ila nimemzidi, namsaidia sana kama mume wangu ila nina hofu, hivi anaweza kuwa ni mume wa mtu kweli ananidanganya, nashindwa kuelewa kwani kila nikimuuliza ananikatalia!
Kwa mfano Rosemin ikitokea, just ikitokea, upo tayari kuwa mke mdogo?
 
Pia tambua una mtoto.

Ni wanaume wachache saaana wenye ujasiri wa kuwa na mahusiano serious yatakayopelekea ndoa na Mwanamke mwenye mtoto.

Hivyo usijiachie sana.
Kwamba ajishikilie apo apo ata kama ni mume wa mtu sio? 🤣
 
Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi.

Kikipato namzidi hilo kwangu si tatizo, shida nikuwa, tangu kuwa naye kwenye mahusiano hajawahi kunipeleka kwake hata kwa bahati mbaya, kila sikua anakuja kwangu na nikimuambia mambo ya kunipeleka kwake ananiambia muda bado mpaka tujuane vizuri.

Sijui chochote kuhusu yeye ila ananiambia hajaoa, kuna rafiki yake mmoja tu ndiyo kanitambulisha kwake na mdogo wake wakike, wote wananiambia kuwa bado hajaoa. Sasa shida nikuwa, kuna kipindi mwaka jana mwishoni nilikua naangalia kwenye simu nikakuta kapiga picha ya vyeti vya ndoa ambavyo vina majina yake, nikamuuliza vipi mbona kama una ndoa akanijibu achana na mambo ya picha utachanganyikiwa.

Basi mimi nilikaa kimya kwani lainihakikishia kuwa ni picha tu lakini hajaoa. Lakini miezi miwili iliyopita nilikua kwenye mtandao, mara nikakuta kuna mwanamke kampost, kaandika maneno mengi sijui wewe ndiyo maisha yangu, pumzi yangu na mambo kibao kumsifia huyo mwanamke.

Wamepiga naye picha nyingi tu yaani zile za studio, maeneo mbalimbali na ni kama anampost mara kwa mara kama wana familia. Mimi kwenye hiyo akaunti ameniblock ila hajui kama nina akaunti nyingine fekero naitumia kufuatilia umbea.

Nimemuuliza ananiambia kwani unakosa nini si nakuridhisha achana na mitandao. Hajawahi kunipa hata shilingi kumi mimi ndiyo nampa kwani ana kipato kizuri ila nimemzidi, namsaidia sana kama mume wangu ila nina hofu, hivi anaweza kuwa ni mume wa mtu kweli ananidanganya, nashindwa kuelewa kwani kila nikimuuliza ananikatalia!
Ushauri gani unataka tena Dada..huyo anakutumia kwa tamaa zake...kama unataka kutambulishwa na ndoa ...tafuta wako achana na waume za watu.
 
Back
Top Bottom