Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

usiseme humtaki, kitendo cha huyo jamvi la wageni kutembea na rafiki yako inaonyesha kabisa wewe ndiyo hutakiwi sasa usisubiri mpaka amjaze mimba ondoka.
 
Simhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.
Unaogopa nini kumwacha na akajua umemwacha, mbona yeye hakuogopa kuliwa na jamaa yako.

Utamwachaje asijue wakati umemwacha kweli. We piga chini kama hauko tayari ku share na umwambie tu ukweli huenda ikamsaidia jamaa anayebaki kama kweli ni huyo tu.
 
Mwanaume rijali na aliye timia hawezi kuomba ushauri wa kuachana na mwanamke malaya......

Wewe bado mvulana.... endelea na huyo malaya mpaka akuletee UKIMWI ndani......
 
Unachanganywa harafu unaendelea kujiuliza kutoka kazi ipo pisi za kumwaga hizi bado unalia na pisi moja isiyojielewa..
 
Usije ukamwamini mwanamke yoyote katika maisha yako huyo mwanamke kwanza hukumkuta na bikira uwezi ukajiuliza? Sasa
 
Upumbavu wa hivi siuwezi hata sekunde. Kwanini usimwambie tu kuwa umetombwa na fulani hivyo siwezi kuendelea na wewe!?

Unavungavunga nini? Kwa faida gani?

Huo ujinga ukiendekeza utapata taabu sana kwenye ndoa . Jifunze kumweleza mtu ukweli
 
Unachanganywa harafu unaendelea kujiuliza kutoka kazi ipo pisi za kumwaga hizi bado unalia na pisi moja isiyojielewa..
Mwanaume hawezi kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu.....huyu bad mvulana ambaye bado hana maamuzi juu ya hisia zake na akili yake.....
 
Mwanaume hawezi kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu.....huyu bad mvulana ambaye bado hana maamuzi juu ya hisia zake na akili yake.....
Ukiona mtu anaweza kuomba ushauri juu ya jambo lolote jua anajitambua kama pana sehemu alikosea aende sawa haiangalii umri.
 
Bila yeye kujua kuwa kalombwaa na rafiki yako???? Acha ufala wew mwambie ukweliii unamuacha sababu umalaya wake umezidi kipimoo
 
No woman no party, no party no woman

You are on your own bro.

Kama mpaka hapo hujui nini cha kufanya utaendelea kulombewa
 
Kuna mambo yanatia aibu sana. Hivi huwa mnashindwaje kusolve problems ndogo ndogo kama hizi ambazo hata mtoto wa darasa la saba naamini anaweza kutatua?
Hii story yako ilitakiwa uwe tayari umeshachukua hatua badala yake unaomba ushauri cha kufanya, seriously?

Tuseme tu ukweli hii jinsia ya kiume ya kizazi hiki inashangaza.

Ushauri wangu ni huu: usimuache huyo dada kamtolee mahari haraka umuoe kabla jamaa yako hajakuwahi.
 
Usimuache kwanza kizembe mpige mimba alaf hudumia ikishafikisha miezi 5 mkatae kabisa akawe single mom
 
Ok ushauri wangu ni huu:je umethibitisha kuwa kweli huyo demu wako kaliwa?kama ameliwa basi mfaye huyo demu umwambie kuwa huwezi kuendelea nae kwani kaliwa na na rafiki yako na alikudanganya kuwa hataliwa.
 
kiswahili sanifu ni jinsi ya kiume sio jinsia ya kiume
 
Wewe ni mgeni sana malaya? Hakuna malaya wa peke yako.
Mkeo mwenyewe ana bodaboda wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…