Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

Kitu nisichoweza maishani ni kupretend, huwa nakwambia Ukweli Kwa macho makavu kabisa, siwezi kutafuta njia ya mkato.
 
Tulia Kisha mtumie kama malaya piga ma fantasy yote ambayo ulidhani huwezi mfanyia sababu ni future baby mama Sasa mfanyie ikibidi mpakie mkongo mpe kilombo Cha hovyo hovyo Kisha muache awe ana beg kuwa na wewe
 
Usijaribu kumuacha. Misukosuko kweny penzi na kusamehe ndo upendo wenyewe hu.USIMUACHE!!!!!!!!!!
 
Pole sana kumbe inaumaga hivi mbona na nyie huwa mnatuchanganya changanya na hatusemi?
 
Aina ya ushauri pia inatanabaisha kiwango cha ukomavu wa fikra cha muhusika......
Nchi zetu ni watu wachache sana walibahatika kupata shule hata hiyo unaona watu wengi hawana ajira ila sio kwa kiwango cha ambao hawajapata shule kwa hiyo kwa ninyi mliobahatika kwenda shule hawa watu ni kwenda nao sawa sana na wapo wengi ni vile sio wote watatoka hadharani mkuu.
 
Huyo ni barmedi anaefanya kazi stationery
Mkuu nimempuuza siku nzima naamini mwenye kujiongeza atajiongeza hata akituma sms sizijibu , akija kwangu hata apige hodi sifungui ,akikuta mlango uko wazi hata akiingia namwambia aondoke nataka niende sehemu.
 
Kitu nisichoweza maishani ni kupretend, huwa nakwambia Ukweli Kwa macho makavu kabisa, siwezi kutafuta njia ya mkato.
Ahsante kwa ushauri wako ndugu yangu .
 
No reform no election!
 
Yaani wewe huitaji mbinu kumaucha ,huyu nyoosha rula ,muambie anzia leo mimi na wewe biashara imeishaa ,huna haja ya kumuonea huruma ,ila kumbuka ukimuacha tuu huyo rafiki yako atakuwa naye na atakuja karibu yakoo una moyo mkuu
 
w
wakati yeye anakusaliti bila sahaka hakukupa taarifa. basi na wewe fanya kumnyamazia tuu...akija ajilaze akichoka ataondoka itakuwa hivyo mpaka atakapo amua kukaa kimya....au unaweza weka profile picture ukiwa na huyo rafiki yako, make sure ameiona then endelea na ukimya wako.
 
Hisia zikipiliza unaweza kutokea hadi kny dirisha ♫︎♫︎♫︎♫︎♫︎ zuchu


Bro. Kimbia focus na mambo yako
 
No reforms. No election.

Twende na hili kwanza. Mengine yatafuata, yanazungumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…