Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
Hii ni ROHO MBAYAA!Tulia Kisha mtumie kama malaya piga ma fantasy yote ambayo ulidhani huwezi mfanyia sababu ni future baby mama Sasa mfanyie ikibidi mpakie mkongo mpe kilombo Cha hovyo hovyo Kisha muache awe ana beg kuwa na wewe
πTulia Kisha mtumie kama malaya piga ma fantasy yote ambayo ulidhani huwezi mfanyia sababu ni future baby mama Sasa mfanyie ikibidi mpakie mkongo mpe kilombo Cha hovyo hovyo Kisha muache awe ana beg kuwa na wewe
Kuchanganya changanya vikojoleoo sio afya kabisa lo
Kwa faida ya members...Kuchanganya changanya vikojoleoo sio afya kabisa lo
Mkuu ubarikiwe kwa ushauri wako mpaka sasa nimemuacha na kiulizo juu !?? Maana simpigii simu wala kumjulia khali wala kumhitaji kwa namna yoyote ile .w
wakati yeye anakusaliti bila sahaka hakukupa taarifa. basi na wewe fanya kumnyamazia tuu...akija ajilaze akichoka ataondoka itakuwa hivyo mpaka atakapo amua kukaa kimya....au unaweza weka profile picture ukiwa na huyo rafiki yako, make sure ameiona then endelea na ukimya wako.
Nyie ndo mnakufa kwa kufanya maamuzi magumu kisa kujifanya mnayaweza mambo yote , muda mwingine ushauri unasaidie kungamua jambo linalokutatiza.Kuna mambo yanatia aibu sana. Hivi huwa mnashindwaje kusolve problems ndogo ndogo kama hizi ambazo hata mtoto wa darasa la saba naamini anaweza kutatua?
Hii story yako ilitakiwa uwe tayari umeshachukua hatua badala yake unaomba ushauri cha kufanya, seriously?
Tuseme tu ukweli hii jinsia ya kiume ya kizazi hiki inashangaza.
Ushauri wangu ni huu: usimuache huyo dada kamtolee mahari haraka umuoe kabla jamaa yako hajakuwahi.
Oyaaaa kama sio Hush basi Agapitoπππ, ndugu yetu kakutana na mnyonya damuππShaka Zulu umechanganywa na jamaa yako Mussangi
πππππππDaah asee nilikuwa nimepatikana ila kwa maamuzi niliyoyafanya ni sahihi nimemuacha bila ya yeye kujijua , alafu hush hana mambo hayo ila nahisi ni Mussanhi kahusika π’
ππππNa sio jamaa yako tu broo, wapo wengine wengi ila huwajui tu
Mnakufa wanaume msiotumia akili kama wewe.Nyie ndo mnakufa kwa kufanya maamuzi magumu kisa kujifanya mnayaweza mambo yote , muda mwingine ushauri unasaidie kungamua jambo linalokutatiza.
Leta number yake nimuonye, hatajua ni ww umenipaSimhitaji mwanamke malaya sema nataka nimuache bila ya yeye kujua ,nipeni mbinu.