Stationeris kodi yake iko chininashukuru, hakika ni container la ream paper A4
Unafanya Kazi kwny kiwanda cha corol paints mkuu?hizo rangi za maandishi sio mchezo.nashukuru, hakika ni container la ream paper A4
Mdau nilishawahi fanya kazi ya wakala wa forodha yaani clearing and foward agent enzi zile , wanachoangalia wazee wa kaisari siyo ukubwa wa kontena au aina ya bidhaa. kuna vingi wanatizama kwanza ni aina ya bidhaa zilizomo kwenye kontena,kama ni nguo matirio,kama ni tv jina,nchi ilipotengenezwa bidhaa hiyo ,thamani ya kila moja na idadi ndipo unaweza kupata kodiWadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM wasaidie kuweka abc kabla sijatumbikia kwenye janga na kupoteza kamtaji kangu.
THANKS.Mdau nilishawahi fanya kazi ya wakala wa forodha yaani clearing and foward agent enzi zile , wanachoangalia wazee wa kaisari siyo ukubwa wa kontena au aina ya bidhaa. kuna vingi wanatizama kwanza ni aina ya bidhaa zilizomo kwenye kontena,kama ni nguo matirio,kama ni tv jina,nchi ilipotengenezwa bidhaa hiyo ,thamani ya kila moja na idadi ndipo unaweza kupata kodi
mfano kontena zipo aina 3 20ft,40ft na 40ft high cube. sasa inategemea umjaza kiasi gani maana wanahesabu kimoja kimoja kama ni kinywaji lita kama ni mtumba kilo kama viatu pair nguom pisi.
cha msingi ni idadi,jina,mateirio,nchi ilipotenhenezwa ndiyo wanaangalia zaidi .huwezi sema tu kontena la nguo kiasi gani sababu hawatozi kontena wanatoza bidhaa iliyomo ndani ya kontena