Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Tunafanyaje wakuuHuyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua, bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawadundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi wakuu msaada wenu
Bahati mbaya sana hichi chuo kina reputation kubwa sana hapa Tanzania ila wajinga wachache ndio wanafelishaHuyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua, bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawadundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi wakuu msaada wenu
Najua hiyo ni YUDOM.Bahati mbaya sana hichi chuo kina reputation kubwa sana hapa Tanzania ila wajinga wachache ndio wanafelisha
Mpe ushauri hapa Yuko anasoma au unaweza tuma pm asomeKama hutojali, nipe namba ya huyo mtoto wako nimshauri mkuu.
We acha tu kama mzazi unatoka pesa Bado mtoto anatakiwa alale na mwalimu kufauluPole sana. Malecturer madomo zege ni mzigo kwenye jamii.
amuombe sana Mungu dhidi ya hao mapepo wapenda ngono! Washindwe katika jina La bwana.Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua, bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawadundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Ni kweli unachokisema lakini sio mtoto wangu wa kwanza kulalamika ni wanafunzi wa kike wa huyo mwalimu wengi wamepitia hayo masaibu na anajinasibu kuwa anatafta wake akiwa darasaniKamwambia kwa maneno, kwa simu au meseji?
Ila usiipe asilimia mia mkuu, watoto siku hizi wajanja wajanja sana. Fuatilia peleleza upate ukweli ndio uvalie njuga.
Kuna uwezekano mtoto wako nae hasomi au masomo hayapandi anatafuta sababu za kufeli. Kama kapata supp asome kwa bidii asije feli supp kwa ujinga kisha sababu ikawa lecture
Oooh so ushahidi unao?Ni kweli unachokisema lakini sio mtoto wangu wa kwanza kulalamika ni wanafunzi wa kike wa huyo mwalimu wengi wamepitia hayo masaibu na anajinasibu kuwa anatafta wake akiwa darasani
Hujawa mzazi Bado ukiwa utajuaWanawake walivyo wa ajabu anagoma kuachia mambo kwa mwalimu wake wakati huo huo yupo na mahusiano na mume wa mtu na wanywa visungura.
Kama kuna ushahidi wa jumbe za simu weka mtego wahusishe na pccb
Kama ni mrembo/mzuri sana avae vazi la hijab ili uzuri wake usionekane machoni pa wahadhiri, maana wahadhiri nao hutamani vitu vizuri.Mpe ushauri hapa Yuko anasoma au unaweza tuma pm asome
Mzazi kwa hawa Gen Z? Ukikaa vibaya hata mzazi unaweza kuchezea makofiHujawa mzazi Bado ukiwa utajua
Sina huo ushahidi zaidi ya stori za huyo mwalimu kufahamika na wanafunzi wa chuo hicho, option iliyopo ni kukata rufaa lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yaoOooh so ushahidi unao?
Kwa kuwa ni gen z ni haki kuombwa ngono na mwalimu wake!?Mzazi kwa hawa Gen Z? Ukikaa vibaya hata mzazi unaweza kuchezea makofi