Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
Akubali tu agongwe kwani wote si ni watu wazima
chuoni kuna mfumo wa kushugulikia malalamiko kama hayo (mfano wa dawati la jinsia), labda alalamike kuwa wameshindwa kumsaidia, otherwise chuoni kuna mengi, watoto wa kike pia huwawinda lectures kwa ajili ya mteremko wa masomo na tamaa za maisha, chuoni wasichana wanashindana sana kuhusu lifestyle, na wanakuwa na multiple partiners ndani na nje ya chuo ili ku-fund tamaa zao za maishaaWe acha tu kama mzazi unatoka pesa Bado mtoto anatakiwa alale na mwalimu kufaulu
wasichana pia huwapenda lectures romantically, ila bahati mbaya anayemsalandia kama hampendi ndyo wanaleta hayo malalamiko, jua kuna wahadhiri wanao kubaliwa na pia wanalengeshwa romanticallyHongera kwa malezi mazuri ambayo yamefanya binti awe open kwako/ulikopata taarifa.
Ila naamini binti angekuwa amemuelewa lecturer isingefika kwako kuwa anapata sexual harassment.
I believe kuna some sort of flexibility mzazi anatakiwa kuwa nayo ili mtoto aweze kuqa free kumueleza mambo kama hayo. Hongera kwa hilo.
Suluhisho kwa lecturer mnaweza mkamchoma kwa takukuru au ukamtisha kwa namna inayofaa ili asidhuru na wengine. Ila suluhisho la kudumu ni kumjenga mtoto awe strong zaidi ya hapo kwa kuweza kupambana na aituations kama hizo mwenyewe ili hata usipokuwepo aweze kuzihandle mwenyewe. Kwa Afrika huku sexual harassments zipo za aina nyingi na sehemu mbali mbali kutokana na nafasi ya mwanamke kwenye jamii yetu.
My 2 cents✌️
wasichana pia huwapenda lectures romantically, ila bahati mbaya anayemsalandia kama hampendi ndyo wanaleta hayo malalamiko, jua kuna wahadhiri wanao kubaliwa na pia wanalengeshwa romantically
huyo binti hayuko romatically atracted kwa huyo mhadhiri, ndyo maana amelalamika, possibly angekuwa anampenda isingekuwa reported as sexual harrasment, ndyo ilivyo kwenye "adult learning institutions"Unadhani huyo binti angekuwa kama wengine angesema.
Mbona lecturers wengine huwa na mahusiano na wanafunzi kwa hiyari na wengine hufikia hatua ya kufunga ndoa...
Shida ni wale ambao hutumia kufelisha kama fimbo ya kutaka sex ila kwa mahusuano ni kawaida sana.
"lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yao". Uko sahihi watateteanaSina huo ushahidi zaidi ya stori za huyo mwalimu kufahamika na wanafunzi wa chuo hicho, option iliyopo ni kukata rufaa lakini vyuo vyetu mwalimu wa department hiyo hiyo atasahihisha na atambeba mwalimu mwenzake kama kawaida yao
Uko sahihiMuache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.
Nina ushahidi wa vyuo vikubwa mkoa fulani ndio michezo ya hao wapuuzi wanaoitwa wakufunzi, yaani serikali imewapa maamuzi makubwa ktk maisha ya watu kuliko uwezo wao wa kiakili.
Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo.
Narudia tena, hizi kenge zinazoitwa wakufunzi(lecturers) zimepewa maamuzi makubwa kuliko uhalisia, maamuzi yanayoaffect mamia ya wanafunzi wasio na hatia hasa wanawake, kuna kesi nyingi sana vyuoni ambazo zinatia aibu mfumo wa elimu ya hii nchi.
Anayetetea huu ushenzi ni either hajasoma hajui haya mambo au ni mmoja wa wanufaika wa huu unyanyasaji wa kingono huko mavyuoni.
Kuna ulazima wa kupitia upya background na afya ya akili kwa hawa wakufunzi kabla ya kupewa majukumu yanayoharibu maisha ya watoto wa watu.
Shame on you chawa