M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Muwekeeni mtego, upange vizuri muhakikishe anakamatwa live, anarekodiwa na kuwa exposed kwenye 'mahakama' ya umma via social media platforms likishachemka huko ndiyo lipelekwe mahakamani.Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.
Wakuu msaada wenu.
Nina binti ambaye yuko chuo so I understand what you're going through.