Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Hata kama ana vaa uchi kabisa, Kaka ameruhusiwa kukaa darasani, Mwalimu fundisha nenda bank kachukue mshahara wako.

Kama umemtamani, mtafute mtongoze, akikataa weka hela mtongoze tena, akikataa Achana nae.

Maswala ya kupeana SUP mara kutishia kufekishana kisa tu umekataliwa n usenge
Ndio maana kuna kitu kinaitwa maadili, kuanzia uvaaji, utendaji kazi n.k; kama maadili ya uvaaji si sahihi unategemea itokee nini?
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Njoo dm tena hii thread ifute asije kukutana nayo akastuka the rest tuachie
 
Wasomi wa Tz, yaani uchi unawatoa roho . Ukimuona msomi ana roho nzuri basi ni mswahili kama mimi .
 
Pole, ila mambo ya ngono umeleta kwenye jukwaa la siasa, sorry ka nakosea.
 
na inasadikika ameungua
Mlimuunguza nyinyi au? Hua hauonekani kwa macho na wanaougua ukiambiwa huyo hapo anao huwezi kuamini unachoambiwa na yule unaehisi anao ukiambiwa hana unapigwa na butwaa, stop nonsense cha kufanya fika kwenye uongozi wa hiko Chuo km ni UDOM nenda moja kwa moja kaeleze matatizo yako ukiwa na ushahidi ulioshiba, mboni walishaleta andiko lao humu
 
Kama amesup basi iache na iwe supp
Kwani si atafanya mtihani wa supp, nao akifeli pia ata carry tu somo, shida iko wapi. Rushwa ya ngono hata haina ulazima hapo, afuate tu procedure za kawaida za sup kama wenzake bila kugawa kipapa
Na pia kuepusha usumbufu awe anasoma kwa bidii ili asiwe anapata sup
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.

Wakuu msaada wenu.
Muwekeeni mtego mumkamate mtoto akubali then apange nae miadi nyie nyie mkamdake
 
Kuna jamaa yangu aliwahi kupata changamoto hii kwa mwanae, katika harakati za kutafuta ushahidi tumfanyie mbaya yule mwalimu tukagundua kuwa yule mtoto nae ni muhuni yuko mpka telegram anauza utelezi.
Ushauri wangu kwako kama una imani na vyombo vya usalama nenda katoe ripoti ila jihakikishie kwa kama mwanao hana makandokando kuepuka aibu
Kama wewe ni wale wa jino kwa jino wape watu kazi wamtie adabu lecture
 
TAKUKURU ndio wataalamu wa kuwadaka hao watu. Nakuhakikishia ukifikisha tu hili suala kwa mkuu wa TAKUKURU mkoa/wilaya husika hao wahadhiri watadakwa kama nzige. Haukuwa hata na sababu ya kuileta hapa maana hao wahadhiri watashtuka.
 
Naiona pesa nje nje,natamani huyo ndio angekuwa binti yangu yaani ningemuwekea mtego huyo bazazi domo zege,mtego ambao hajawahi kuuona kwenye hii dunia,na angelia kikwao maana pesa nitakayompiga baada ya fumanizi ili ailipe inabidi akope misharahara yake yote mpaka anastaafu na utamu asingekula angeishia kushika paja tu.Hizi bahati Kwa nini hazitukuti sisi
Tego moja tu mkuu unanunua kiwanja kariakoo 😂
 
Hata kama ana vaa uchi kabisa, Kaka ameruhusiwa kukaa darasani, Mwalimu fundisha nenda bank kachukue mshahara wako.

Kama umemtamani, mtafute mtongoze, akikataa weka hela mtongoze tena, akikataa Achana nae.

Maswala ya kupeana SUP mara kutishia kufekishana kisa tu umekataliwa n usenge
Kimaadili, kumtongoza mwanamke ambaye unamsimamia kwa namna yoyote ni recipe ya matatizo. Kwani hakuna wanawake wengine ambao ni wazuri kama (au hata kuliko) yeye?
 
TAKUKURU ndio wataalamu wa kuwadaka hao watu. Nakuhakikishia ukifikisha tu hili suala kwa mkuu wa TAKUKURU mkoa/wilaya husika hao wahadhiri watadakwa kama nzige. Haukuwa hata na sababu ya kuileta hapa maana hao wahadhiri watashtuka.
Hivi kuna chuo Tz hii hakina hayo matatizo.

Na mbaya zaidi, binti akishamchomesha lecturer inabidi ahame chuo kabisa.

From experience kwenye issue kama hizo victim ndio huwa anawindwa na chuo kwa "kuwachafulia reputation " Pasipo kupitia katika uongozi wa chuo ambao nao una watu kama hao hao. Na kwa sababu wote ni academicians huwa wanalindana

Hizo shutma hata wakipelekewa lecturer huwa hafanywi kitu. Ila ikitoka nje, damage control ndio hufanyika ila huyo mwanafunzi atawindwa kama si kufelishwa
 
Hata kama ana vaa uchi kabisa, Kaka ameruhusiwa kukaa darasani, Mwalimu fundisha nenda bank kachukue mshahara wako.

Kama umemtamani, mtafute mtongoze, akikataa weka hela mtongoze tena, akikataa Achana nae.

Maswala ya kupeana SUP mara kutishia kufekishana kisa tu umekataliwa n usenge
Na huwa hawaishii kwa mwanafunzi wa kike ila hata kwa boyfriend wake.
Yani kama lecturer akikataliwa na akajua binti ana mtu kwenye somo analofundisha. Lazma ata_deal nae

Na hii ipo hata kwenye shule za sekondari ni vile tu wale waalimu hawana power ya kufelisha maana kuna mtihani wa taifa. Ila nao wangeamua hatma ya wanafunzi wao, yangekuwa yaleyale
 
Back
Top Bottom