realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Chukulia vitu kwa ukubwa 😅Kama hutojali, nipe namba ya huyo mtoto wako nimshauri mkuu.
Chukulia vitu kwa ukubwa 😅Kama hutojali, nipe namba ya huyo mtoto wako nimshauri mkuu.
Hata kama angekuwa hajaungua, bado kitendo anachokifanya huyo mhadhiri ni kinyume na maadili ya kazi yake. Wekeni mtego, mkamateni. Full stop.Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
KabisaHata kama angekuwa hajaungua, bado kitendo anachokifanya huyo mhadhiri ni kinyume na maadili ya kazi yake. Wekeni mtego, mkamateni. Full stop.
Hakuna namna nyingine ya kumsaidia binti yako. Huu upumbavu umetamalaki sana vyuoni.
Ngoja tufanye hii ya mtegoHata kama angekuwa hajaungua, bado kitendo anachokifanya huyo mhadhiri ni kinyume na maadili ya kazi yake. Wekeni mtego, mkamateni. Full stop.
Hakuna namna nyingine ya kumsaidia binti yako. Huu upumbavu umetamalaki sana vyuoni.
Watag TAKUKURU upate huduma chap na harakaHuyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,
Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua wakuu msaada wenu
Haya mambo yapo! Nimeyashuhudia vizuri! Huyo lecture hana hata haya mnatongozwa darasa zima! Na ela anakula bado vitabu anatuuzia kwa lazima! Yani haachi kitu! Unakomaa upite anakuwekea mtego test yako imepotelea ofisini kwake we unaitoa wapi? Aisee..Kama hayajakukuta unaweza ukadhani masikhara, mdogo wangu mpaka alihama chuo na akapoteza mwaka mzima sababu ya walimu kama hawa.
Nachukia sana haya mambo ya rushwa ya ngono!
Kwanza sijasema ataje jina la mwanae. Hivyo, madhara kwa mtoto hakuna.Usithubutu kutaja taja bila ushahidi, hakuna mtu wa kuingia kazini bila ushahidi ndo kwanza utamponza mwanao
Mtegeni kuanzia kwenye mawasiliano, na eneo analotaka kufanyia huo upuuzi wake.Ngoja tufanye hii ya mtego
Tunafanya hivyoMtegeni kuanzia kwenye mawasiliano, na eneo analotaka kufanyia huo upuuzi wake.
Wahadhiri walio wengi kujishughulisha na vitendo vya rushwa ya ngono kupitia vitisho vya kuwafelisha wanafunzi wa jinsia ya kike, ni tatizo sugu la muda mrefu! na hadi sasa halijapatiwa ufumbuzi. Ifikie wakati uwekwe mkakati wa kudhibiti hili tatizo.Kwanza sijasema ataje jina la mwanae. Hivyo, madhara kwa mtoto hakuna.
Pia
Hizi ni serious allegations dhidi ya Wana taaluma. Kuwatuhumu bila ushahidi nikosa pia. Yapo madawati ya jinsia na kudhibiti unyanyasaji katika Kila Chuo. Kwa kutaja taarifa nilizoshauri azitoe itarahisisha Dawati hilo kwenye Chuo husika kulivalia njuga.
Mkuu haya mambo yameshakuwa common hadi jamii zetu zimehalalishaMtegeni kuanzia kwenye mawasiliano, na eneo analotaka kufanyia huo upuuzi wake.
Hili nitafanyaWaone Takukuru wamwekee mtego!
Asante mkuuHii machuoni ipo sana.
Ila pole aise.
itabid uwepo ushahidi kwanza.
Na kama mwalim kwel ni mwasilika wa UKIMWI. Utamfunguliaa mashtaka kwa kutaka kusambaza VVU kwa makusudi
na kutaka rushwa ya ngono.
Mavazi ya mtoto wako akiwa chuoni yakoje? Wakati mwingine tunaweza kuwalaumu wakufunzi bure, kumbe tatizo ni hawa mabinti zetu. Nakumbuka miaka yangu nikiwa chuo, unakuta mdada amevaa pensi na kitopu na yupo kipindi na hakuna wa kumzuia. Wengine wanavaa suruali zina zipu nyuma na wanaingia darasani bila wasi wasi. Suluhisho, mvalishe gauni lililomzidi umri ili kupunguza matamanio kwa wanaomzunguka.
Kwanza sijasema ataje jina la mwanae. Hivyo, madhara kwa mtoto hakuna.
Pia
Hizi ni serious allegations dhidi ya Wana taaluma. Kuwatuhumu bila ushahidi nikosa pia. Yapo madawati ya jinsia na kudhibiti unyanyasaji katika Kila Chuo. Kwa kutaja taarifa nilizoshauri azitoe itarahisisha Dawati hilo kwenye Chuo husika kulivalia njuga.