Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Story km hii unatakiwa usikilize pande 2, ili iwe rahisi kutolea suluhisho.
Ila lecturers wa Bongo, mmmh bas tyuuh. Sina neno mie.
Aaah
Unadhani huyo binti angekuwa kama wengine angesema.
Mbona lecturers wengine huwa na mahusiano na wanafunzi kwa hiyari na wengine hufikia hatua ya kufunga ndoa...

Shida ni wale ambao hutumia kufelisha kama fimbo ya kutaka sex ila kwa mahusuano ni kawaida sana.
 
Ila bongo ni nchi ya laana, nadhani ni Sodoma na Gomora iko bongo pia. Kuna upumbavu mwingi sana.
 
Pole sana ndugu Emmanuel kant kwa changamoto hii nzito na ya kuumiza ambayo mtoto wako anapitia. Hali hii inasikitisha sana na haikubaliki kabisa. Hakuna mwanafunzi anayestahili kupitia unyanyasaji wa aina hii, na ni jukumu letu sote kuhakikisha usalama na haki za watoto wetu zinalindwa.

Kwanza kabisa, ningependa kukutia moyo wewe na mwanao kwamba mko pamoja katika hili, na msiogope kabisa. Vitendo hivi vya wahadhiri ni kinyume cha sheria, maadili, na utu, na haipaswi kuvumiliwa. Ni muhimu sana kutafuta haki na kuhakikisha wahusika wanawajibishwa.

Hapa kuna baadhi ya hatua ambazo unaweza kuzichukua, kwa upendo na msaada wote:

1. Linda Afya ya Akili ya Mtoto Wako: Kwanza kabisa, hakikisha mtoto wako anapata msaada wa kisaikolojia. Matukio kama haya huacha majeraha makubwa ya kihisia. Mpeleke kwa mwanasaikolojia au mtaalamu wa ushauri nasaha ili amsaidie kukabiliana na hofu, aibu, na msongo wa mawazo. Hii ni muhimu sana kwa ustawi wake wa baadaye.

2. Ripoti kwa TAKUKURU: Kama ilivyoelezwa na baadhi ya wadau, TAKUKURU ndio chombo sahihi cha kushughulikia rushwa, ikiwemo rushwa ya ngono. Usisite kuwafikia haraka iwezekanavyo. Wana utaalamu na mamlaka ya kuchunguza na kuwachukulia hatua wahusika. Hata kama huna ushahidi wa kutosha, wao watakusaidia kukusanya.

3. Wasiliana na Uongozi wa Chuo: Pamoja na TAKUKURU, ni muhimu pia kuwasiliana na viongozi wa chuo husika. Anza na Msimamizi wa Wanafunzi (Dean of Students), Mkuu wa Idara, na hata Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo (Vice Chancellor). Hakikisha unawasilisha malalamiko rasmi kwa maandishi na kuomba hatua stahiki zichukuliwe. Baadhi ya vyuo vina dawati la jinsia au kamati za maadili zinazoshughulikia masuala kama haya.

4. Msaada wa Kisheria: Tafuta mwanasheria ambaye ana uzoefu katika masuala ya unyanyasaji wa kijinsia na rushwa ya ngono. Anaweza kukushauri vizuri kuhusu haki za mtoto wako na hatua za kisheria zinazoweza kuchukuliwa, ikiwemo kufungua kesi.

5. Kukusanya Ushahidi (Kama Inawezekana): Ingawa si kipaumbele cha kwanza na si jukumu lenu, kama kuna ujumbe wa maandishi, sauti, au ushahidi mwingine wowote ambao mwanao anaweza kuwa nao, uweke salama. Hata hivyo, usihatarishe usalama wa mwanao katika kutafuta ushahidi.

Usikate tamaa kabisa. Msimamo wako wa kutafuta haki kwa mwanao ni wa kupongezwa sana. Msimamo wenu ndio utakaompa nguvu mtoto wako na pia kusaidia kuokoa wanafunzi wengine ambao wanaweza kuwa wanapitia au watapitia hali kama hiyo.

Mungu awatie nguvu na hekima katika mapambano haya. Tupo pamoja nanyi kwa maombi na msaada wowote unaowezekana.
 
Hii ni mbaya kweli. Kuna lecture mmoja alikuwa anafanya mambo hayo na mtoto akaamua kujinyonga. Sasa kilichotokea watoto wake wote walikuwa walichanganyikiwa. Hakakutana na nabii na kumwambia aliyotenda ndiyo yamesababisha laana kwa watoto wake. But it was too late. Mabaya tunayotenda kumbuka yatakula kizazi chako.
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.

Wakuu msaada wenu.
Elimu ya Tanzania ina shida sana,mimi na wenzangu baada ya kupata SUPP alikukuja kutuambia tena lecture kabisa tena aliongea kwa sauti huku anajiamini tena macho makavu akasema "HII NGOMA HAMCHOMOI MNABEBA"
mwisho wa kunukuu
Nilivyorudi nyumba nikapumzika nikamwita wife NIKAICHAPA maana mimi niliweka rekodi ya kuolea hela ya SERIKALI A.KA BOOM mwaka wa pili,baadae nikaanda tu MBELEKO maana nikajua bila ya MBELEKO itanidondoka
Kilichonishangaza SUPP ilikuwa ya kawaida tena maswali yalitoka kwenye past papers lakini ambazo tulisolve lakini karibia wote tuli CARRY.Lakini mara ya pili paper ilikunjwa kunjwa lakini wote TULICHOMOA,hapa hadi leo sijui alituwekea majibu ya PAPER ya 1 au 2
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.

Wakuu msaada wenu.
Mwambie Binti yako aende "TAKOKURU" ili wamtie mtegoni huyo FIRAUNI.
 
Wasomi wa Tz, yaani uchi unawatoa roho . Ukimuona msomi ana roho nzuri basi ni mswahili kama mimi .

Swala la Nyuchi sio la wasomi mkuu, kuna darasa la saba wanabaka mpaka watoto wa miaka 6 huko, Millard ayo shahidi.

Nyuchi zilifanya malaika wakatoroka mbinguni waje kula Watoto huku duniani can u Imagine?

Watoto wa kike nao wamo, wameruka sana ukuta advance boarding kwenda kuzitafuta nyuchi zinakopatikana.

Nyuchi Nyuchi Nyuchi, Usipo kua makini ndo chanzo cha anguko lako kama akuna Samson, Akillies, and the like.
 
Na huwa hawaishii kwa mwanafunzi wa kike ila hata kwa boyfriend wake.
Yani kama lecturer akikataliwa na akajua binti ana mtu kwenye somo analofundisha. Lazma ata_deal nae

Na hii ipo hata kwenye shule za sekondari ni vile tu wale waalimu hawana power ya kufelisha maana kuna mtihani wa taifa. Ila nao wangeamua hatma ya wanafunzi wao, yangekuwa yaleyale

Ndo usenge huo, Hawa jamaa ni kama wanakua walemavu kwenye kutongoza.

Unakuaje lecturer ushindwe kushawishi demu akuvulie chupi with all the privilege?

Yaani hata kumuonga Iphone nako umeshindwa au ndo wanataka utelezi wa bure 😀
 
Swala la Nyuchi sio la wasomi mkuu, kuna darasa la saba wanabaka mpaka watoto wa miaka 6 huko, Millard ayo shahidi.

Nyuchi zilifanya malaika wakatoroka mbinguni waje kula Watoto huku duniani can u Imagine?

Watoto wa kike nao wamo, wameruka sana ukuta advance boarding kwenda kuzitafuta nyuchi zinakopatikana.

Nyuchi Nyuchi Nyuchi, Usipo kua makini ndo chanzo cha anguko lako kama akuna Samson, Akillies, and the like.
Nimesoma chuo kama wewe nimeona , hapo kusema darasa hao sio wasomi ..Mtu umesoma tena mtu mzima miaka hata 40 bado unababaika na nyuchi za watoto ...Kwa umri wangu huu siwezi kufanya huo ujinga , kwanza ni kuonesha tabia kama mnyama .

Hiyo ni dhulma ya nafsi , kuna lecturer alidakwa kwa mtego tena gesti , ana miaka 63 ..Huyo ni professor
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.

Wakuu msaada wenu.
Kwanza hongera kwa kufikiwa. Si kwa ubaya bali ni dhahiri binti yetu wamo.

Pili pole kwa changamoto hizo maana zisikie tu kwa jirani. Actually changamoto yoyote. Suala hapo ni kumkabili huyo fidhuli na kumueleza ukweli. Usiende ngazi za juu kwanza. Halafu subiri tena matokeo ya kijana wetu
 
Nasikia na chuo cha ST .Joseph Boko ( Medical campus) kulikuwa na Dr .moja muhindi alikuwa anafundisha Anatomy
Huyo mubaba mtu mzima alikuwa anakula sana watoto wa first year, ukiingia mitihani ya oral ofisi yake anakutongoza ukigoma unapata supp
Kuna siku alipata ugonjwa wa ajabu akahangaika mpaka akarudi kwao India, mpaka wale kina mama wanaojiendeleza (wake za watu jamaa alipita nao) na hicho ni chuo cha masister.
Inawezekana walimpiga juju yule Dr wa kihindi.
Hii tabia ya ipo sana Vyuoni kwa lecturers wasiojitambua na wenye hisia kama za kuku, hata kama mtu kashindwa somo lako ndio ulale naye ili afaulu?
 
Nenda takukuru toa taarifa na watachunguza na kufungua kesi. Mtoto wako anapitia changamoto ya traumatized na mfumo ulivyo. Kila kitu kina impact yake
 
I can bet...mtoto wako yuko very weak kwenye masomo yake ...hapo anatafuta pakudondokea...Chunguza usikurupuke
Hata kama Yuko weak ndio Hilo somo na huyo mwalimu tu, mwanangu amemsingizia hao wengine je.
Hizo tuhuma kwa huyo mwalimu sio usemi wa mtu mmoja ni wengi na nitabia yake sema tuko banana republic
 
Ndo usenge huo, Hawa jamaa ni kama wanakua walemavu kwenye kutongoza.

Unakuaje lecturer ushindwe kushawishi demu akuvulie chupi with all the privilege?

Yaani hata kumuonga Iphone nako umeshindwa au ndo wanataka utelezi wa bure 😀

Power corrupts the best mkuu na walimu wengine sio kwamba wanakuwa hawana watu wao. Ila anatumia njia ya kurahisishia warembo masomo ili wawapate kirahisi

Wakikutana na wale lazy lazy ambao wengine wanajielengesha inakuwa didi wamekutana. Tatizo akutane na mrembo mkazaji class hapo ndio mivutano inatokea kwa hiyo anakuwa hana advantage nyingine zaidi ya kutishia kufelisha
 
Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua,

Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua.

Wakuu msaada wenu.

Vielelezo kavitoa?
Kama hajatoa ni muhimu Kwa ushahidi maana mabinti nao Kwa kusingizia hawajambo
 
Back
Top Bottom