Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

Ni taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru. Kuna assistant lecturer anawaamuru wanafunzi wamnyonye mboro Ofisini
Ni hivi.
Ubovu wa taasisi hizo za kiserikali ni kioo tu cha ubovu uliopo kila sehemu juu ya maswala ya uongozi wa nchi.

Kwa hiyo haishangazi kabisa kama hayo yaliyoelezwa na mleta mada, kweli yanatokea.

Kwa nini tushangae ya huko kwenye vyuo hivyo, halafu tusishangae ya serikali tunayoyaona kila siku.
 
Basi hicho ni chuo kibovu kama haya usemayo ni kweli.

Chuo kisicho linda hadi ya taaluma yake; hiyo ni takataka.
Hivi ni vyuo wanavyosoma akina Samia..
Aisee...

Nje ya mada kidogo, wewe unaonekana ulihitimu kitambo sana.

HAKUNA chuo hapa bongo kilichonyooka kitaaluma hivi sasa, nakuhakikishia hilo. Ufundishaji na upimaji wa wanafunzi ni mbovu mno.

Kuna chuo mwalimu anafundisha kipindi kimoja muhula mzima, kuna chuo wanafunzi wa bachelors wanakaguliwa notes...
 
Muache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.

Nina ushahidi wa vyuo vikubwa mkoa fulani ndio michezo ya hao wapuuzi wanaoitwa wakufunzi, yaani serikali imewapa maamuzi makubwa ktk maisha ya watu kuliko uwezo wao wa kiakili.

Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo.

Narudia tena, hizi kenge zinazoitwa wakufunzi(lecturers) zimepewa maamuzi makubwa kuliko uhalisia, maamuzi yanayoaffect mamia ya wanafunzi wasio na hatia hasa wanawake, kuna kesi nyingi sana vyuoni ambazo zinatia aibu mfumo wa elimu ya hii nchi.

Anayetetea huu ushenzi ni either hajasoma hajui haya mambo au ni mmoja wa wanufaika wa huu unyanyasaji wa kingono huko mavyuoni.

Kuna ulazima wa kupitia upya background na afya ya akili kwa hawa wakufunzi kabla ya kupewa majukumu yanayoharibu maisha ya watoto wa watu.

Shame on you chawa
Naunga mkono hoja yako.
 
Stories za aina hii nazo ni za kuzisikiliza with an open mind. Sijawahi kusikia story kama hii kutoka kwa msichana mwenye uwezo mkubwa darasani.
Wewe utakuwa hukuwa na kampani ya kueleweka ukiwa chuo au hukuwa na circle ya watu wanaokupa taarifa maana huaminiki au ni mmoja wa wanyanyasaji wa wanawake,

mbona haya mambo ya yanajulikana sana, na hata hao wanafunzi wa kike wanaofanya vizuri wakiwa na muonekanl mzuri ndio wanaoteseka na unyanyasaji wa kingono, alafu ni wapi kumeruhusiwa kunyanyasa mtoto wa kike kisa hana uwezo mzuri darasani?, watu wa aina yenu mmesoma vyuo vya wapi hivyo au ndio wale wale wa Zion Collage/ bible collage?
 
Hao labda ndio wanajiita introvert hawaongei na watu, wadada chuo ukikaa nao vizuri utapewa hadi majibu ya mitihani
 
Ni hivi.
Ubovu wa taasisi hizo za kiserikali ni kioo tu cha ubovu uliopo kila sehemu juu ya maswala ya uongozi wa nchi.

Kwa hiyo haishangazi kabisa kama hayo yaliyoelezwa na mleta mada, kweli yanatokea.

Kwa nini tushangae ya huko kwenye vyuo hivyo, halafu tusishangae ya serikali tunayoyaona kila siku.
Mkuu watu wanaotetea aidha ni kile kizazi Cha mwalimu au wanufaika
 
Sawa lakini ndio somo lake tu afeli!?
Mkuu achana na hawa wapuuzi wanaokukatisha tamaa, cha msingi hapo muandae huyo binti atafute ushahidi wa maandishi kupitia meseji za huyo jamaa au secret voice record mtaitumia kumshughulikia au nenda kwenye institute zinazohusika na haki za kijinsia wao watajua wanakusaidiaje dhidi ya huu unyanyasaji, naelewa hawa washenzi wako wengi wanajaribu maisha ya mabinti huko vyuoni, ndiomaana unawaona hata wanufaika wa huu unyanyasaji wakijifanya kupinga.
 
Aisee...

Nje ya mada kidogo, wewe unaonekana ulihitimu kitambo sana.

HAKUNA chuo hapa bongo kilichonyooka kitaaluma hivi sasa, nakuhakikishia hilo. Ufundishaji na upimaji wa wanafunzi ni mbovu mno.

Kuna chuo mwalimu anafundisha kipindi kimoja muhula mzima, kuna chuo wanafunzi wa bachelors wanakaguliwa notes...
Sina la kuongeza katika mchango wako; kwa sababu umegusa penyewe hasa.
Na ndiyo maana nimetamani kwa muda kitambo sasa kuweka mada hapa JF kueleza jinsi taifa letu linavyodidimia sasa hivi chini ya utawala huu usiojali kabisa taifa hili litakuwa la namna gani; kwa sababu hawaguswi kabisa na hatma ya wananchi wake.

Unapovuruga maswala ya taaluma, unaua nchi moja kwa moja.

Na wote akili zetu zimeganda katika ajenda wanzozitengeneza wao.

Samia Suluhu Hassan atakumbukwa sana kwa kuvuruga matumaini ya taifa hili.
Kama wizara inapata msaidizi wa waziri asiyekuwa na chochote cha maana kuchangia katika malengo ya elimu kwenye kuinua taifa, utategemea lipi la maana upande huo.
 
Muache ujuaji kwa kila jambo, hivi mnadhani Chuo mmeenda pekee?, hakuna asiyejua haya mambo yapo vyuo vyote hapa nchini, mpaka hivyo top 5 vina huu upuuzi.

Nina ushahidi wa vyuo vikubwa mkoa fulani ndio michezo ya hao wapuuzi wanaoitwa wakufunzi, yaani serikali imewapa maamuzi makubwa ktk maisha ya watu kuliko uwezo wao wa kiakili.

Fanya research yako, kaa na wanafunzi wa vyuo ongea nao utazipata hizi habari au kama umepita chuo lazima utaelewa jambo hili, kubisha hili ni ushahidi kuwa hujui lolote kuhusu ushenzi unaendelea vyuoni maana hujafika chuo.

Narudia tena, hizi kenge zinazoitwa wakufunzi(lecturers) zimepewa maamuzi makubwa kuliko uhalisia, maamuzi yanayoaffect mamia ya wanafunzi wasio na hatia hasa wanawake, kuna kesi nyingi sana vyuoni ambazo zinatia aibu mfumo wa elimu ya hii nchi.

Anayetetea huu ushenzi ni either hajasoma hajui haya mambo au ni mmoja wa wanufaika wa huu unyanyasaji wa kingono huko mavyuoni.

Kuna ulazima wa kupitia upya background na afya ya akili kwa hawa wakufunzi kabla ya kupewa majukumu yanayoharibu maisha ya watoto wa watu.

Shame on you chawa
Kuna vyuo wanaume ni rushwa ya pesa(ukishikwa supp) na wanawake rushwa ya ngono mpaka hata hivi vya dini sema kwa vile mzazi unajua kulipa ada hayo huwezi kuyajua.
 
Haijalishi ameugua ama la,rushwa ni rushwa, ni wewe sasa umshtaki,umuache mtoto aliwe kimaskhara ama umtoe huyo mtoto katika shule hiyo. Ila ingekuwa vema sana tukamshirikisha waziri mwenye dhaman Dk. Gwajima D
 
Mwambie amrekodi akiwa anaongea awapelekee pccb! Mimi nilikutana na huyo mshenzi pale saut, nilikuwa mjeuri nikacarry nikakomaa nikatoboa! Ilipotea test moja tu ndio sababu ya kurudia mtihani mwalimu anashindwa kureweka records, ukifika ofisini anakwambia we binti una shape hivi! Anaanza kukusogelea! Aisee na akijichanganya akalala naye ndio bye bye atamtumia mpaka achoke na hachomoi hiyo supp! Kuna dada alikaa miaka mi5 chuo!
Watu wanafikiri haya mambo ni maigizo sijui wamesomea vyuo vya nje ya nchi
 
Naiona pesa nje nje,natamani huyo ndio angekuwa binti yangu yaani ningemuwekea mtego huyo bazazi domo zege,mtego ambao hajawahi kuuona kwenye hii dunia,na angelia kikwao maana pesa nitakayompiga baada ya fumanizi ili ailipe inabidi akope misharahara yake yote mpaka anastaafu na utamu asingekula angeishia kushika paja tu.Hizi bahati Kwa nini hazitukuti sisi
 
Mkuu, pole kwa matatizo.

Rushwa ya ngono ngumu sana kumkamata mtu redhanded, bora ata rushwa ya pesa.

Hapa kumuokoa mwanao ni kumuambia afanye appeal ya ilo somo lirudiwe kusahihishwa.

Appeal inafanyia kwenye department/school husika, na ilo somo litafanyiwa marking upya na walimu wengine, kwahiyo kama ameonewa atapass.

Pili, kwanini umesema semester iliyopita alitoa hela? Inamaana same mwalimu anawafundisha kila semester kama secondary au walimu tofauti tofauti wanamtaka dogo?

Tatu, omba account ya matokeo ya mwanao uingie uone. Kuna mdau kasema hapo usikute dogo amechukulia scapegoat.

Na mwisho, hakuna ushahidi wowote ambao dogo ameutunza kama vile msg, call record, etc ila kama ni wa maneno tu ngumu sana sana sana kushinda, ila kama by anymeans kuna ushaidi valia njuga nenda chuo husika kaonane na dean au HoD au ata mkuu wa taasisi ili swala mlisettle.

Pole sana, wengi humu tutajibu kwa hisia kwasababu hatuna watoto waliokutwa na iyo kitu.
 
Wanawake walivyo wa ajabu anagoma kuachia mambo kwa mwalimu wake wakati huo huo yupo na mahusiano na mume wa mtu na wanywa visungura.
Kama kuna ushahidi wa jumbe za simu weka mtego wahusishe na pccb
Mkuu hata mama yako alikuwa binti angekuwa na mawazo ya kutoa kwa wenye hela labda usingekuwepo
 
mbona haya mambo ya yanajulikana sana, na hata hao wanafunzi wa kike wanaofanya vizuri wakiwa na muonekanl mzuri ndio wanaoteseka na unyanyasaji wa kingono, alafu ni wapi kumeruhusiwa kunyanyasa mtoto wa kike kisa hana uwezo mzuri darasani?, watu wa aina yenu mmesoma vyuo vya wapi hivyo au ndio wale wale wa Zion Collage/ bible collage?
Wewe unaibua maswali yale yale yanayohusu uongozi wa nchi.
Huo unyanyasaji wa kijinsia hauwezi kuwa umejikita kwenye vyuo na huko kwenye jamii kusiwe na unyanyasaji.

Kama maswala hayo yanavumiliwa kwenye vyuo, je huko nje ya vyuo kukoje? Je, ndani ya CCM yenyewe hali ikoje; kwa mfano, hao wabunge wanaoteuliwa na teuzi nyingine nyingi?
 
Back
Top Bottom