daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
😂😂😂🙌🏽 au sio wenyewe kina TecnophobicNgoja waje Tecnophobia
Sawahapo kwenye s10 sikushauri uchukue hata ikiwa bure, mimi nina samsung yangu imekufa kioo sasa gharama za kubadili kioo ni kubwa kuliko bei ya simu yenyewe sokoni... samsung hovyo sana.
Mimi binafsi nisha rule out kwamba simu pekee naweza kutumia hapa Duniani ni Samsung.
Hao jamaa wako serious na kazi.
Shukrani kwa ushaurihapo kwenye s10 sikushauri uchukue hata ikiwa bure, mimi nina samsung yangu imekufa kioo sasa gharama za kubadili kioo ni kubwa kuliko bei ya simu yenyewe sokoni... samsung hovyo sana.
Hii kikwazo beinunua mi 11 ultra
Chukua Gt neo 3 ama hio Oneplus Ace zote zina Dimensity 8100 soc nzuri sana.Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e
Nokia/Lumia
Samsung/Galaxy S6
Tecno/H6, wx3, F1, J8 ...
Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10
Naomba ushauri kati ya hizi
OnePlus Ace
Realme GT Neo 3
Galaxy S10 used
Bei zinalingana tu
Chief mkwawa mkali wazi hizi kaziChukua Gt neo 3 ama hio Oneplus Ace zote zina Dimensity 8100 soc nzuri sana.
Shida ni uelewa, wewe umeinunua ikiwa used lakini bei yake ilipokuwa mpya ungepasua kioo usingeona kina gharama kuliko simu. Simu inashuka bei kadri unavyoitumia lakini spare inabaki dukani ikiwa mpya so bei yake haishuki.hapo kwenye s10 sikushauri uchukue hata ikiwa bure, mimi nina samsung yangu imekufa kioo sasa gharama za kubadili kioo ni kubwa kuliko bei ya simu yenyewe sokoni... samsung hovyo sana.
Je hii realme GT neo 5 RGB
Kila kizuri hakikosi kasoro.Mimi binafsi nisha rule out kwamba simu pekee naweza kutumia hapa Duniani ni Samsung.
Hao jamaa wako serious na kazi.
Hii ni flagship ya Realme inapatikana masoko karibia yote we mwenyewe tu angalia urahisi wako kwako, ukitaka pinduo, Aliexpress, Ebay etc.Chief mkwawa mkali wazi hizi kazi
Naomba kuuliza Kuna simu nimeipenda sana inaitwa REALME GT 5 neo RGB hivi hii naweza kupitia kwa soko gani kutoka nje naweza kuipata pinduo duo na inakuwa sh ngapi maana nimeikubali pia iyo RGB feature nyuma ya simu
Alafu Kuna simu ambazo ziko na led light au rbg light nyuma ya simu kama iyo REALME nitajie majina yake kama zipo