Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

Hii ni flagship ya Realme inapatikana masoko karibia yote we mwenyewe tu angalia urahisi wako kwako, ukitaka pinduo, Aliexpress, Ebay etc.

Pia simu zenye RGB nyingi ni za Gaming kuanzia kina Infinix, Asus Rog phones, Lenovo Legion etc inategemea mwenyewe unataka RGB za aina gani. Zipo pia simu za Nothing zina mitaa taa ya kutosha.
Asus ROG unaweza kutumia kama simu tu ya kawaida au Kuna viatu itakuwa ina miss
 
Asus ROG unaweza kutumia kama simu tu ya kawaida au Kuna viatu itakuwa ina miss
Ndio unatumia kama simu ya kawaida, kutegemea na model baadhi rgb unaweza ukazi configure kuonesha chata unayotaka wewe.
 
Kila kizuri hakikosi kasoro.
Samsung dosari yake ipo upande wa speaker!

Kuna kipindi usikilizanaji wa simu, wewe na upande wa pili inakuwa ni shida huku ukitumia simu ya gharama kubwa!

Yamenitokea mara mbili kwenye aina hiyo ya simu hadi nikawaza vinginevyo!

Kitu Samsung inazizidi simu zingine zote ni Camera.
Mkuu Sumsung gani unatumia yenye shida ya spika? Mimi hua natumia high ends tu sijawahi kusikia stori kama hizo.
 
Back
Top Bottom