Yes mkuu, wananchi wanataka maadui ujinga maradhi na umasikini utoweke sio utitiri wa ma ded na dcsUmuhimu wa provinces(majimbo).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mkuu, wananchi wanataka maadui ujinga maradhi na umasikini utoweke sio utitiri wa ma ded na dcsUmuhimu wa provinces(majimbo).
Yani bora mtu aishi chanika kuliko kisarawe au mkuranga..ingawa umbali uko sawa.Hili suala nimekua nikiling'amua pia.
Dar es salaam needs expansion kama si sasa basi huko mbele itahitajika hivyo.
Psychologiacally people are uncomfortable to live outside dar es salaam's boundaries
Hivyo kwa maana ya kukuza uchumi wa mji ni lazima tuepuke retention of population humo jijini kwa kuliongezea mipaka ya kijiografia.
View attachment 2132029
Kuna faida kadhaa kufanya hivyo kuliko kubaki hivyo lilivyo
Kabisa mkuu mji unasafocate bure wakati kuna wilaya jirani zina maporiHili suala nimekua nikiling'amua pia.
Dar es salaam needs expansion kama si sasa basi huko mbele itahitajika hivyo.
Psychologiacally people are uncomfortable to live outside dar es salaam's boundaries
Hivyo kwa maana ya kukuza uchumi wa mji ni lazima tuepuke retention of population humo jijini kwa kuliongezea mipaka ya kijiografia.
View attachment 2132029
Kuna faida kadhaa kufanya hivyo kuliko kubaki hivyo lilivyo
Nikipata eneo la maana kibaha nahamia fastaYani bora mtu aishi chanika kuliko kisarawe au mkuranga..ingawa umbali uko sawa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbagala ni kata tu ila inazidi Singida mjini kwa idadi ya watu na mishemisheMbweni, kunduchi mkuu hazifanan n mbagala.. Haziifikii hata nusu kibiashara mkuu fanya utafiti ujue mbagala Ina soko la wat kias gan kibiashara.. Idad ya wat hapa usiku ni tishio Kam Ile ya Kongo mchana! Fanya tafiti kabla za kiufanano
Mikoa ikiwa 12 makada wa CCM WATAPATA WAPI SEHEMU YA KULA PESA ZA UMMA ?Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
How true is!? Hilo ni swala la discourseMbagala ni kata tu ila inazidi Singida mjini kwa idadi ya watu na mishemishe
Hiyo serikali inajenga kwa pesa z ipi,Kimsingi dsm ibaki kama ilivyo..ila ardh yote irudi serikalini na wakazi wadsm wahamishwe serikali ijenge magorofa appartments za kutosha kisha warususiwe kuja kupangisha tu..hakuna kuruhusu mtu kujenge kama unataka kujenge nenda kajenge pwani huko.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilevile Kigamboni imepakana na Pwani ambayo ni wilaya ya mkuranga kazi hapo😆😆😆 mkuu geographia yako bado haijakaa sawa
Unapoepeleka kigamboni Pwani ni makosaa
Iyo kigamboni unayoisema iende pwani ni kigambon hii hii au ipo nyingine ?
Kigamboni hihii ya ferry mpaka kibada pale kuna short cut ya kutokea Kijichi mtoni, ambako ni DSM
Suluhisho hapa ni kuanzisha mkoa mpyaaa utakaojumuisha wilaya za rufiji, mkuranga , kibiti, mafia hapo ndipo binafsi naona ni solution ila sio.kuichukua kigamboni kuipeleka pwani
... hiki ulichoeleza hapa ni sera ya majimbo ya Chadema.Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
Kwani wakazi wa Dsm wanakatazwa kujenga Pwani ?Kabisa mkuu mji unasafocate bure wakati kuna wilaya jirani zina mapori
Mkuu piga hesabu vizuri....Kuna mada humu Kuna wakati ilizungumzia chanika kwanini isiwe pwani maana Ni mbali, mfano ukitoka gongolamboto mwisho Hadi chanika Ni KM 18 Ila ukitoka gongolamboto mwisho Hadi kisarawe Ni km 12Yani bora mtu aishi chanika kuliko kisarawe au mkuranga..ingawa umbali uko sawa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ibaki kuwa wilaya yenye hadhi ya jijiPwani na Dar es Salaam kama miaka hiyo ya mwanzo iwe tu ni mkoa mmoja.
Mwingireza alikuwa na Mikoa michache,na aliweza kujenga mpaka nyumba za vigae huko pembezoni mwa nchi hii.Mimi ningekua na uwezo ningehamisha mkoa mzima wa pwani na morogoro na kuuleta Dar ili kutengeneza mkoa mmoja, service delivery ingekua ndio msingi sio utitiri wa hii kitu,nchi nzima mikoa 12 tu.
Hawakatazwi ila niswala tu ka kisaikolojia kuna mdau kadema hapo juu mtu yuko radhi aishi chanika ila sio vizuri mkuranga na umbali ni ule ule,waafrika wengi hatujazoea kuishi mj A na kufanya kazi mji B tofauti na wenzetu huko wenye miundo mbinu bora,ngoja tusubiri treni ya umeme labda tutakuwa tunalala morogoro asubuhi kazi kariakooKwani wakazi wa Dsm wanakatazwa kujenga Pwani ?
Wanawaza matumbo yao tuMwingireza alikuwa na Mikoa michache,na aliweza kujenga mpaka nyumba za vigae huko pembezoni mwa nchi hii.
Tukumbuke nchi ilikuwa haina miundo mbinu kama sasa,kwa jinsi watawala wa sasa wanawaza kuongeza wilaya na mikoa?! Badala ya kuimarisha usimamizi wanafikiria maeneo kisiasa,hivyo nchi kuendelea kuwa maskini,maeneo kutopimwa na kukosa mpangilio!!!
Swali gumu ambalo viongozi wetu hawataki kufikiri,kujiuliza wala kutafuta ufumbuzi(miji kama New york,tokyo na mingine ina watu zaidi ya milioni 18,Lakini ipo kwa mpangilio).huku kwetu Viongozi kupangilia miji sio kipaumbele!!!,wanawaza kuongeza maeneo ya utawala ili kujitengenezea nafasi za kimadaraka na siasa bila kujali hali ya baadae ya jamii.
Ila kuna watu wanaishi Pwani, maeneo kama Mlandizi ila wanafanya kazi zao JijiniHawakatazwi ila niswala tu ka kisaikolojia kuna mdau kadema hapo juu mtu yuko radhi aishi chanika ila sio vizuri mkuranga na umbali ni ule ule,waafrika wengi hatujazoea kuishi mj A na kufanya kazi mji B tofauti na wenzetu huko wenye miundo mbinu bora,ngoja tusubiri treni ya umeme labda tutakuwa tunalala morogoro asubuhi kazi kariakoo