Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Tuambie kwanza: wewe una Phd katika fani gani na unafundisha shule qani?
 
Umahiri upi mkuu? Unajua hawa Maboss wakishagundua tu una MA au Phd wanaanza chuki na vita. Sasa usiporespond unaweza ukapotea mazima katika utumishi au kuwa zezeta.
Mi nafikiri ungeanza kuishauri wizara husika ihakikishe kuwa hizo masters na Phd ni za kweli maana tunawaona wenye vyeti vyao wakiwa na uwezo mdogo wa kudadavua mambo mepesi
 
Asante kwa kututetea walim , pumbavu, phD , masters bila kutoweza simamia au jisimamia ni ni rubbish shame on you
 
Ukikutana na mtu kama SLO Serengeti DC, anawapa vyeo anaoimba nao kwaya
Kwake kigezo uwe mwimba kwaya wake na umpelekee mahindi
 
Mi nafikiri ungeanza kuishauri wizara husika ihakikishe kuwa hizo masters na Phd ni za kweli maana tunawaona wenye vyeti vyao wakiwa na uwezo mdogo wa kudadavua mambo mepesi
Kama unauwezo mkubwa omba wakuweke ww
 
SHUKRAN SANA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Labda alimaanisha shahada ya kwanza
 
Chukua maslahi yako na uchape kazi maana ukitaka nyadhifa mtakuwa wangapi maana masters zipo bwerere tena hizi za research kila kona .


Utambulike kwa masters yako labda upate kiwango cha mshahara ila kupata nyadhifu inawezekana kila mtu akaenda kusoma masters ,je wangapi watapewa nyadhifa .

Kusoma ni afya kila mtu masters atapata akitaka na kuwekeza muda ,hatuwezi wote kuwa kweny nyadhifa za juu mfumo hauruhusu.

Ukienda nje wapo wenye Masters wanafundisha elimu za chini na wanakula pesa ndefu.

Wabongo tusipende sana hadhi ya kielimu bali tuchape kazi haswa.
 
Mkuu mbona hili lipo sana sehemu za kazi kwa sekta binafsi na hata za umma, na kwa tuliofanya kazi maeneo mbalimbali tumelishuhudia hili.
Hii imepelekea watu kubaniwa nafasi za kwenda kujiendeleza kielimu hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo, kufanyiwa figisu kwenye kupanda vyeo na hata kubaniwa uhamisho kwenda kwenye malisho mazuri.
Utapingana na mleta mada ikiwa tu wewe unakaa kwa shemeji yako na haujawahi kufanya kazi mahali popote au wewe ni miongoni mwa wenye tabia hizo.
 
Mnasoma ili muwe viongozi au kuja kutengeneza kizazi bora kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…