Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.

Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na sifa alizonazo akaandika barua, lakini still maboss wake wakagoma kumpitishia barua zake kwa madai Walimu hawatoshi😀 na mengine mengi.

Hivyo basi, tunaomba wizara husika itoe mwongozo ambao utapunguza hujuma za kupata vyeo na nafasi mbalimbali za hawa walimu wenye Masters/PhD.

Hata ikiwezekana wafanyiwe interview kupata hizo nafasi za uongozi ili hujuma zipungue/ziishe kabisa.
Mkuu umenena vyema
 
Unacho takiwa kujua uongozi na elimu ni vitu viwili tofauti
🤣🤣🤣🤣 taabu kwelikweli.

Hivi huna elimu ya uongozi , unawezaje kufikia malengo kwa wakati?
SWOT analysis unaifanyaje kama huna elimu?

Ifikie kipindi tuwe na kauli moja , elimu ni pana kila sehemu na kamwe huwezi kuitenga na uongozi.
 
Mimi nataka hiyo ya kugawa uvungu, unagawaje gawaje jamani🤣🤣🤣 Nimechoka Yani kuchukiwa bila sababu kisa Kibachelor uchwara🤣, wangejua Kibachelor chenyewe nimekipata Kwa tabu bodi wananikausha damu🤣
Jitahidi uwe na kadi ya CCM,uwe unahudhuria vikao vya chama,halafu nendanenda kwenye korido za halmashauri,afisa elimu taaluma kama ni mwanaume anaweza kukutongoza,au hata DED mwenyewe, ikiwezekana hata afisa elimu takwimu,anaweza akakuomba show.
 
🤣🤣🤣🤣 taabu kwelikweli.

Hivi huna elimu ya uongozi , unawezaje kufikia malengo kwa wakati?
SWOT analysis unaifanyaje kama huna elimu?

Ifikie kipindi tuwe na kauli moja , elimu ni pana kila sehemu na kamwe huwezi kuitenga na uongozi.
Elimu ni kitu kingine na elimu ya uongozi ni kitu kingine ndio maana administration ethics ni mada inayo jitegemea ingawa nayo haisaidiii kama huna inborn administration morals
 
Back
Top Bottom