Kwa hiyo hapa wewe ndo umeonekana una akili? Yaani hujui kwamba upigaji penati unafanyiwa mazoezi? Kwa uelewa wako unadhani wachezaji wanazaliwa wanajua kupiga penati?Ivi Manara hawezi tena Kujitokeza hadharani Na Kuifuta Ile Kauli Yake Ya Kusema 'Yanga Wote ni Hamnazo' isipokuwa Baba Yake Na JK... Maana hii Kauli inatuandama sana Sisi Wana Yanga,Na sijui tufanyaje?
Timu Kujiita Kubwa hlf tena Wachezaji mpaka Sasa Wafundishwe Kupiga penati...Yaani Kupiga tuta..! Tusiwashushe Sana hawa Wachezaji.!
Kila analo lisema Manara kwako ni sheria? wewe kama hauna akili ni peke yako usitafute kichakaIvi Manara hawezi tena Kujitokeza hadharani Na Kuifuta Ile Kauli Yake Ya Kusema 'Yanga Wote ni Hamnazo' isipokuwa Baba Yake Na JK... Maana hii Kauli inatuandama sana Sisi Wana Yanga,Na sijui tufanyaje?
Timu Kujiita Kubwa hlf tena Wachezaji mpaka Sasa Wafundishwe Kupiga penati...Yaani Kupiga tuta..! Tusiwashushe Sana hawa Wachezaji.!
Hizi dharau zitaisha soonKwenye penalty mnafika sasa kama wale wahadzabe wa sudan mpaka kipindi cha pili mfukize udi chumbani ndo mshinde je hao al hilal mtatoboa kwa njia gani.
Kwenye penalty mnafika sasa kama wale wahadzabe wa sudan mpaka kipindi cha pili mfukize udi chumbani ndo mshinde je hao al hilal mtatoboa kwa njia gani.