Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati.
Hivyo mazoezi ya kupiga penati kwa uhakika ni mazuri sana ili kuhakikisha tunaingia makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa.
Kuna uwezekano, timu hizi zikaumana vibaya sana home and away mechi na kote lisipatikane goli. Hivyo ikifikia swala la penati tusiwe wababaishaji.