USHAURI: Yanga ijiandae upigaji wa penati

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati.

Hivyo mazoezi ya kupiga penati kwa uhakika ni mazuri sana ili kuhakikisha tunaingia makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa.

Kuna uwezekano, timu hizi zikaumana vibaya sana home and away mechi na kote lisipatikane goli. Hivyo ikifikia swala la penati tusiwe wababaishaji.
 
Ivi Manara hawezi tena Kujitokeza hadharani Na Kuifuta Ile Kauli Yake Ya Kusema 'Yanga Wote ni Hamnazo' isipokuwa Baba Yake Na JK... Maana hii Kauli inatuandama sana Sisi Wana Yanga,Na sijui tufanyaje?
Timu Kujiita Kubwa hlf tena Wachezaji mpaka Sasa Wafundishwe Kupiga penati...Yaani Kupiga tuta..! Tusiwashushe Sana hawa Wachezaji.!
 
Kwa hiyo hapa wewe ndo umeonekana una akili? Yaani hujui kwamba upigaji penati unafanyiwa mazoezi? Kwa uelewa wako unadhani wachezaji wanazaliwa wanajua kupiga penati?
 
Ivi Manara hawezi tena Kujitokeza hadharani Na Kuifuta Ile Kauli Yake Ya Kusema 'Yanga Wote ni Hamnazo' isipokuwa Baba Yake Na JK... Maana hii Kauli inatuandama sana Sisi Wana Yanga,Na sijui tufanyaje?
Timu Kujiita Kubwa hlf tena Wachezaji mpaka Sasa Wafundishwe Kupiga penati...Yaani Kupiga tuta..! Tusiwashushe Sana hawa Wachezaji.!
Kila analo lisema Manara kwako ni sheria? wewe kama hauna akili ni peke yako usitafute kichaka
 
Kwenye penalty mnafika sasa kama wale wahadzabe wa sudan mpaka kipindi cha pili mfukize udi chumbani ndo mshinde je hao al hilal mtatoboa kwa njia gani.
 
WANA SIMBA TUKAMPGIE KURA BOULAYE DIA KWA WINGI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani kakwambi mtafika kwenye matuta,mnapigwa nje ndani dk 90 kimba f.c
 
Back
Top Bottom