Ushauri: Yanga jifunzeni kwa simba kimataifa

Punguza ujinga mleta mada yupo kimataifa wewe unaleta habari za ndondo hapa.wenzetu wanafikiria namna ya kutusua kimataifa
Hayo ndio matatizo ya kukariri....Makolo mtajua hamjui kuanzia Jumamosi...Mwanzo mlianza kwa kusema Makolo timu kubwa na mkainanga Yanga kwa kuanzia raundi za awali...imekuwaje tena timu kubwa nayo kuanza raundi ya awali....kwa ratiba hii ya CAF timu kubwa ni Azam tu itakayo anzia raundi ya kwanza! Makolo Mlibwanjiiii!
 
Utaratibu usingebadilishwa kolo wangeanzia raundi ya kwanza acha mihemko
Ni kweli lakini kabla ya hii ratiba kutoka na Yanga walipochukua tu ubingwa kelele za Simba zilikuwa nyingi kuwa wao ni timu kubwa na hawatoanzia mechi za awali....Makolo muwe mnafikiri kabla ya kusema
 
Punguza ujinga mleta mada yupo kimataifa wewe unaleta habari za ndondo hapa.wenzetu wanafikiria namna ya kutusua

Punguza ujinga mleta mada yupo kimataifa wewe unaleta habari za ndondo hapa.wenzetu wanafikiria namna ya kutusua kimataifa
Ndugu mwerevu...kama ungeamua kuishughulisha akili yako kidogo tu kufikiri..ungeng'amua kuwa mleta mada hakuna alichonandika zaidi ya ushabiki tu....kama alikuwa kweli anania ya kupendekeza alichoandika angefanya uchambuzi wa kitaalam kusupport hoja yake.....lakini ameandika ushabiki zaidi...
 
Hahahaha! achana nae yule...mwana Yanga mwenye akili alijua hilo si kweli ndio maana weng wao hawakulishadidia lile neno! ila hii ya Makolo ili trend sana utafikiri wao ndio wapanga ratiba wa CAF!
Mbna hata Zamalek, Horoya wanaanza pre. Sio big deal.
 
Kwa sasa sio big deal.....lakini kipindi kile Makolo waliifanya kuwa big deal baada ya kuaminishwa wa Barbara kuwa wataanzia raundi ya kwanza kwa sababu wao ni timu kubwa sana! anyways....tusubiri September!
 
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu.

Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba.

Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa kwenda makundi wanao, al hilal ni timu nzuri na tajiri lakini hawatishi kihivyooo, walikuja hapa simba tukawabonda za kutosha.

Yanga hichi ni kipimo chenu kudhihirisha ukubwa wenu
Na hakika simba angepangwa na al hilal wasingekua na mawazo saana Kama wanayanga.
Yanga ifike hatua Kama wenzao simba waliyofikia hawaogopi timu yoyote, kinachoiwazisha simba ni timu chache ambazo zipo kwenye top ten (rank ya caf)....

Mwisho

Yes tuache kuishi kizamani kwenye hizi game.
Kuna Raha kubwa kuona yanga yupo makundi, Simba Yuko makundi then Azam naye anajipapatua unakuta Yuko makundi ya shirikisho. Inafanya ligi ichangamke.

Dirisha lililopita wachezaji wengi walikuwa wanatamani kuja kucheza Tanzania kwasababu wanatuona tuko serious.

Al hilal siyo wepesi lakini pia siyo wagumi kihivyo kiasi Cha kuooogopa.

Simba ule msimu wa kwanza wanatamba kimataifa walipangwa na wanafainali wa CAF champions league na confederation cup wa msimu wa nyuma yake, lakini mbona walitoboa tu.
Yaani mie najiuliza umeonaje Yanga wakiifikia Al Hilal wakati hao wasudan wanaoanza nao tu hawavuki?
 
Ni kweli lakini kabla ya hii ratiba kutoka na Yanga walipochukua tu ubingwa kelele za Simba zilikuwa nyingi kuwa wao ni timu kubwa na hawatoanzia mechi za awali....Makolo muwe mnafikiri kabla ya kusema
Simba tuwe wakubwa mara ngapi wakati mnajua Sisi ni wakubwa? Nadai yetu si ndy hiyo kapewa Azam huko shirikisho?

Subirini mwezi wa Tisa mucheze mechi zenu nne kisha mtuachie wanaume show zetu Hadi mwezi wa tano tunakichafua huko mambele
 
Muda ni jibu zuri...September sio mbali
 
Azam hapo ameingia kupitia Simba, yaan km Simba angekua shirikisho, angeanzia round ya kwanza
Sio kweli Al Ahly Tripoli walifika nusu fainali confederation cup wana anzia huko chini hizo ni ramuli tu hakuna anaejua hapa tutadanganyana
 
Hayo ndio matatizo ya kukariri....Makolo mtajua hamjui kuanzia Jumamosi...Mwanzo mlianza kwa kusema Makolo timu kubwa na mkainanga Yanga kwa kuanzia raundi za awali...imekuwaje tena timu kubwa nayo kuanza raundi ya awali....kwa ratiba hii ya CAF timu kubwa ni Azam tu itakayo anzia raundi ya kwanza! Makolo Mlibwanjiiii!
Bwino inu bwanjiiii?
 
Hayo ndio matatizo ya kukariri....Makolo mtajua hamjui kuanzia Jumamosi...Mwanzo mlianza kwa kusema Makolo timu kubwa na mkainanga Yanga kwa kuanzia raundi za awali...imekuwaje tena timu kubwa nayo kuanza raundi ya awali....kwa ratiba hii ya CAF timu kubwa ni Azam tu itakayo anzia raundi ya kwanza! Makolo Mlibwanjiiii!
Bwino inu bwanjiiii?
 
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu.

Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba.

Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa kwenda makundi wanao, al hilal ni timu nzuri na tajiri lakini hawatishi kihivyooo, walikuja hapa simba tukawabonda za kutosha.

Yanga hichi ni kipimo chenu kudhihirisha ukubwa wenu
Na hakika simba angepangwa na al hilal wasingekua na mawazo saana Kama wanayanga.
Yanga ifike hatua Kama wenzao simba waliyofikia hawaogopi timu yoyote, kinachoiwazisha simba ni timu chache ambazo zipo kwenye top ten (rank ya caf)....

Mwisho

Yes tuache kuishi kizamani kwenye hizi game.
Kuna Raha kubwa kuona yanga yupo makundi, Simba Yuko makundi then Azam naye anajipapatua unakuta Yuko makundi ya shirikisho. Inafanya ligi ichangamke.

Dirisha lililopita wachezaji wengi walikuwa wanatamani kuja kucheza Tanzania kwasababu wanatuona tuko serious.

Al hilal siyo wepesi lakini pia siyo wagumi kihivyo kiasi Cha kuooogopa.

Simba ule msimu wa kwanza wanatamba kimataifa walipangwa na wanafainali wa CAF champions league na confederation cup wa msimu wa nyuma yake, lakini mbona walitoboa tu.
Tujifenze kwenu mnamakombe mangap ya kimataifa au tujifunze kukosa kwenu
 
Kwa sasa sio big deal.....lakini kipindi kile Makolo waliifanya kuwa big deal baada ya kuaminishwa wa Barbara kuwa wataanzia raundi ya kwanza kwa sababu wao ni timu kubwa sana! anyways....tusubiri September!
Kwan Takadini hakubweka mbele ya waandishi wa habari? Au unajitoa ufahamu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom