Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Hata hatumii wala haijui jf,
labda uyo jamaa ndo awe humu jf

Leo Kuna mtu flani kanambia mwezi wa 10 mwaka Jana uyo jamaa ndo alifunga ndoa na mwanamke mwngn, ndo nikikumbuka icho kisa na kukileta humu leo[emoji2]
😁😁😁😁😁

Daah! Kama namuona jamaa anavyosoma siredi huku kafura.
 
I told u kwamba una ego ukakataa
Yani wewe ni yule wa mimi kwanza linapokuja swala la maslah yako...
Anyways nimemuonea huyo mkaka wa watu huruma sana[emoji17]
Sinaga masihara linapokuja suala la maslahi yangu,

Sitakagi unyonge kabisa Mimi, Ni bampa to bampa[emoji4]

Kuna kipind tunasoma shule,
tukiona msichana anaanza kutuzidi sana darasan,

Tunamtongoza kusudi kwa gharama yoyote ile Kisha akishafall in love,
Tunavuruga kichwa kisaikolojia kusudi ili afeli masomo yake afu boys tushike nafasi za juu Darasani[emoji2]
 
Kuna siku yako inakuja halafu utajiona lofa binamu
Kawaida Sana,
Binafs nmeshajiandaa kwa karma maana mi mwnyw ni mafia.

Afu hi tabia mbona mi mwnyw nmefanyiwa Sana TU.
1. Jamaa flani alikua Kaka mkuu tuko primary Mimi std 6 yeye STD 7, afu Dem mwnyw STD 7 anaitwa linah.
Jamaa alinifayia umafia alkua na mwili mkubwa akawa. akinitisha niachane na mwanmke wangu wkt Mimi ndo nmeanza nae mahusiano. Nikienda kushtaki kw walimu hawanielewi wanamtetea kwa kua ni Kaka mkuu. Uonevu ulizidi mpk nikasalimu amri nikamwambia mdada kua tuachane uendelee na jamaa TU yamenishinda.
Jamaa kweli akamchukua Nikabaki na maumivu yangu mpk namaliza primary.[emoji2]

2. Jamaa flan mwngn alkua na duka la nguo (BOUTIQUE) Pale sinza jiran na kwa Dem wangu wa kwanza zamani enzi hizo anaitwa TINA Nikiwa sekondari.
Jamaa akanambia Dogo Sina tatiz na ww, Dem wako yeye ndio anapenda pesa zangu.Na Wewe tafuta pesa. Na kweli mwanamke yule alinipiga chini. Akawa anapewa nguo na pesa bure. Tulipomaliza form iv Dem yule Akaanza kujiunga kwny Mambo ya umiss, akaenda nje ya nchi kwny Mambo ya mitindo, skuhz sijui akaja kuishia wapi.[emoji2]
 
Back
Top Bottom