Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Nadhan imekua Kama tabia Sasa, napenda Sana ligi hasa Kwny Mambo ya mahusiano. Wife wangu mwnyw tuna purukushani kadhaa nmepitia nae. Nikipata nafas one day nitawasimulia😊Usingehangaika na yote hayo bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣....unajua Ni process ndefu sana umefanya kumhold mchepuko.umekwama kaka
Nimemalizia kwamba migazeti lakini haiboiiiThanks, ni visa vyangu TU viko complicated sana na Sipendi kuacha CHOCHOTE kile nnapoelezea full story. Tuvumiliane TU hivyo hivyo binamu Tang[emoji4]
We huoni hizo harakati zako?? Ipo siku uzeeni utakaa mwenyewe halafu utacheka saaaaaaanaaaaHa ha ha.....vitani Tena binamu?[emoji2]
Ha ha ha...We huoni hizo harakati zako?? Ipo siku uzeeni utakaa mwenyewe halafu utacheka saaaaaaanaaaa
Utakuja kuniambia hiyo siku kwamba kweli
Sio mara zote mkuu wengine walikuwa Wana suspects broo katoa namba so wanamtukana brooHa ha ha..... Na uka fanikiwa Kama kawaida?[emoji4]
Una mtoto wa kiume?Ha ha ha...
Itabidi niwasimulie wajukuu zangu heka heka zangu za ujana zilikua za Moto balaa[emoji4]
Mkuu lakini Iblis ni mtu mwema kuna siri binadamu tulifichwa na mungu that's why yeye alikuwa tayari kuwaonyesha Adam na Hawa kula tunda ambalo liliwafungua akili sasa mtu anakufungua akili je mtu huyo ana ubaya kweli fikiri hata wwDeepPond is the son of Iblis Bin Shetan
Mpka Leo bado unaamini katika karma?Soon karma will get him good, asipobadilika.
Bawana shetan naona umeanza kuupiga mwingi😃Mkuu lakini Iblis ni mtu mwema kuna siri binadamu tulifichwa na mungu that's why yeye alikuwa tayari kuwaonyesha Adam na Hawa kula tunda ambalo liliwafungua akili sasa mtu anakufungua akili je mtu huyo ana ubaya kweli fikiri hata ww
Huyo ndo atakuwa copy yako sasa pale utakapostaafu harakatiNdio[emoji4]
Yaan mawazo yako safi kabisa mi nakupongeza kama unao uwezo wa kufanya jambo fanya kabisa acha hofu maana ni ugonjwa mfano labda nina njaa ya kitu iwe chakula au mapenzi nikikuibia hapo sina Ubaya ilimradi nipate kusurvive yaan mm nina hamu halfu nipo ktk gari mvua inaonyesha nipo na mwanamke eti nimuache hiyo formula kwangu hakuna au nina njaa nakuomba hela hutaki kunipa nakuibia na ukiniroga sirogeki hongera kwa hiloBawana shetan naona umeanza kuupiga mwingi😃
Una hatar sana mkuu🤣🤣Sio mara zote mkuu wengine walikuwa Wana suspects broo katoa namba so wanamtukana broo
"Kama unitaki useme sio kwa kunidharau huko yaani unilale halafu umpe namba rafiki yako anilale "
Mambo kama hayo mkuu [emoji3]
I'm proud of you ibilisYaan mawazo yako safi kabisa mi nakupongeza kama unao uwezo wa kufanya jambo fanya kabisa acha hofu maana ni ugonjwa mfano labda nina njaa ya kitu iwe chakula au mapenzi nikikuibia hapo sina Ubaya ilimradi nipate kusurvive yaan mm nina hamu halfu nipo ktk gari mvua inaonyesha nipo na mwanamke eti nimuache hiyo formula kwangu hakuna au nina njaa nakuomba hela hutaki kunipa nakuibia na ukiniroga sirogeki hongera kwa hilo
Atachukua yote mema na mabaya...Ha ha ha...arithi mema TU. Aya mengine ya hovyo aniachie nizikwe nayo.
Cha muhimu asikubali unyonge au zile stori za namuachia mungu malipo mbinguni[emoji4]