Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Sinaga masihara linapokuja suala la maslahi yangu,

Sitakagi unyonge kabisa Mimi, Ni bampa to bampa[emoji4]


Kuna kipind tunasoma shule,
tukiona msichana anaanza kutuzidi sana darasan,

Tunamtongoza kusudi kwa gharama yoyote ile Kisha akishafall in love,
Tunavuruga kichwa kisaikolojia kusudi ili afeli masomo yake afu boys tushike nafasi za juu Darasani[emoji2]
Yanii dahh dunia mbaya
Unajiona unapendwa kumbe unavurugwa
Dhambiii sana
 
Kawaida Sana,
Binafs nmeshajiandaa kwa karma maana mi mwnyw ni mafia.

Afu hi tabia mbona mi mwnyw nmefanyiwa Sana TU.
1. Jamaa flani alikua Kaka mkuu tuko primary Mimi std 6 yeye STD 7, afu Dem mwnyw STD 7 anaitwa linah.
Jamaa alinifayia umafia alkua na mwili mkubwa akawa. akinitisha niachane na mwanmke wangu wkt Mimi ndo nmeanza nae mahusiano. Nikienda kushtaki kw walimu hawanielewi wanamtetea kwa kua ni Kaka mkuu. Uonevu ulizidi mpk nikasalimu amri nikamwambia mdada kua tuachane uendelee na jamaa TU yamenishinda.
Jamaa kweli akamchukua Nikabaki na maumivu yangu mpk namaliza primary.[emoji2]

2. Jamaa flan mwngn alkua na duka la nguo (BOUTIQUE) Pale sinza jiran na kwa Dem wangu wa kwanza zamani enzi hizo anaitwa TINA Nikiwa sekondari.
Jamaa akanambia Dogo Sina tatiz na ww, Dem wako yeye ndio anapenda pesa zangu.Na Wewe tafuta pesa. Na kweli mwanamke yule alinipiga chini. Akawa anapewa nguo na pesa bure. Tulipomaliza form iv Dem yule Akaanza kujiunga kwny Mambo ya umiss, akaenda nje ya nchi kwny Mambo ya mitindo, skuhz sijui akaja kuishia wapi.[emoji2]
Poleee ndo maana una hasiraaa
 
Mkuu nimesoma story zako, 80% ni kweli halafu kama nakufahamu hivi, naona umeweka codes, ngoja nikupe kwa uchache 1)Wewe sio mfanya biashara kama ulivyojiita 2)Jina lako linaanzia na herufi" M"3)Umekulia Dsm 4)Kwasasa upo Dom

Wewe ni mafia kama ninavyokujua, anyway big up...

Endelea kutuburudisha.

Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Sio kweli๐Ÿ˜Š
 
Mi na broo ilikuwa broo akishagonga demu ananipa namba ya demu na mimi nimgonge yeye anamuacha


Changamoto ilikuwa kupangua swali namba yangu umetoa wapi maana hapa ukimtaja broo mission failed
Ha ha ha.... Kwaiyo ukawa unafanyaje Sasa kukamilisha mission๐Ÿ˜Š
 
Nilichojifunza kwenye hadithi yako unampenda Sana huyo mchepuko kuliko mkeo,na wewe una character ya Vijana wa zamani,sio mbahili hata kidogo,,,hongera zako
Tengua kauli bhana, nampenda sana wife wangu๐Ÿ˜Š
 
Usingehangaika na yote hayo bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....unajua Ni process ndefu sana umefanya kumhold mchepuko.umekwama kaka
Utadhani yupo vitani
 
Usingehangaika na yote hayo bro๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ....unajua Ni process ndefu sana umefanya kumhold mchepuko.umekwama kaka
Kias chake mkuu, kizur gharama bhana๐Ÿ˜Š
 
Back
Top Bottom