Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mambo ya karma hakuna Adoph Hitra waliwauwa wana Israel karibu milioni sita ambalo wengi wanaamini ni taifa la mungu kwanini mungu hakuonyesha karma pindi watu wake wanakufa ehee karma imeshindwaje kufanya kazi kwa taifa la mungu ?Hii dunia Ni uwanja wa fujo, ukiwazia Sana karma huwez kufanya lolote la maendeleo ukafanikiwa. Huwez kua tajiri Bila kumnyonya maskini. Sasa karma inakaaje Kwny scenario Kama hizo😊