Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Sijamaana hivyo hiyo itakuwa vurugu katika jamii maana yangu watu wako wa karibu ndio wanapaswa kukusaidia awe mpenz au mama au baba au kaka au mjomba au marafiki wa nyumbani na wa kazini au mapadri au masheikh hao ndio unatakiwa kuwaomba wakikataa kukusaidia nakupa haki ukiwaibia ili ukanunue chakula hupati dhambi lkn ukienda kuiba ktk mpsa au tigo pesa kwa mtu usiyemjua hiyo mbaya na dhambiNna shida na hela twende kwenye mpesa kiosk tukaibe basi...wewe untangulie mbele me nakushkia wallet