Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Huyu Mathanzua hua anakusingizia mambo mengi sana Tena anakuamzishia Hadi nyuzi kukuponda kua una mpango wa kuivuruga Dunia na umelaaniwa na Mungu mimi hua najipa Kazi kukutea maana hua namwambia alete uthibitisho wa wewe kama upo na ubaya hua anaishia kuleta maneno Bora Leo nimewakutanisha mmalizane wenyewe maana Wmathanzua anasema unanzisha
New Word Order Ili utawale Dunia,
Haya Leo ni Leo kwenu
Iblis Bin Shetan na Mathanzua mmalizane Kwa sintofahamu zenu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Hawa inabd tuwaandalie uwanja wao waparuane mikucha mpk wachoke[emoji3]
 
Huyu Mathanzua hua anakusingizia mambo mengi sana Tena anakuamzishia Hadi nyuzi kukuponda kua una mpango wa kuivuruga Dunia na umelaaniwa na Mungu mimi hua najipa Kazi kukutea maana hua namwambia alete uthibitisho wa wewe kama upo na ubaya hua anaishia kuleta maneno Bora Leo nimewakutanisha mmalizane wenyewe maana Wmathanzua anasema unanzisha
New Word Order Ili utawale Dunia,
Haya Leo ni Leo kwenu
Iblis Bin Shetan na Mathanzua mmalizane Kwa sintofahamu zenu!
😂😂😂😂🔥🔥
Nonsense!Sifanyi dialogue na Shetani.
 
Daudi hafai huyu alikuwa na uchu wa mapenzi akampora mtu mke ila Selemani ilikuwa inajulikana kuwa ana tamaa ya wanawake aliowa wanawake wengi kimbembe kipo kwa Ibrahim huyu alikuwa mtu mwema ila alimla beki tatu anaitwa Hagar au hajar unaambiwa huyo Hagar alikuwa anaasili ya ubantu alienda misri kama mtumwa na alikuwa anachura kubwa kilichomvutia Ibrahim ni ile chura akampa mimba mtoto akaitwa Ismail
Nd ndo inaaminika ndo Waislam wa Leo (I mean uzao wa huyu beki tatu
 
Wacha kabisa[emoji4]
HIZI Mambo Ni hatar sana
Mwizi wa mke wa mtu na akaua...
Mwingine wake 900
Mwingine kahaba kabisa (rahabu) na mariam wa magdalena
Eti hawa wote wamekumbukwa...
Saa ingine ishu za Mungu hazielezekii
 
Nd ndo inaaminika ndo Waislam wa Leo (I mean uzao wa huyu beki tatu
Hahaha ila Ibrahim alikuwa mjanja alitumia kigezo cha mkewe kutozaa na kutembea na mjakazi wake nafikiria ndio huu uzao wa warabu hata jina lake linasadiki Ismael maana yake ISM ni neno la kibrania ambapo katika arabic pia lina maana sikia na el ni Mungu maana yake mungu amesikia na akapata mtoto baada ya muda mrefu kuwa hajapta mtoto
 
Mr bann alikua dereva wa magari makubwa Huko Malawi akaja kuangusha gari bahati Mbaya akaumia na kuvunjika baadhi ya viungo,wale jamaa wa kampuni wakamtimua bila malipo akarudi bongo kujiuguza,alivyopona akarudi Tena kuomba Kazi wakampa roli la mafuta kilichofuata Ili kulipa kisasi Kwa unyama waliomfanyia mwanzo akanyonya mafuta yote Kwa tank akauza zaidi ya million 400 halafu gari akalitengenezea ajali kwenye makorongo akaruka na kuliachia mpaka Huko makorongoni likalipuka lote likateketea,
Huko mabosi wakijua mzigo wote umelipuka kumbe mbinu za kijasusi zimetumika akarudi bongo kuendelea kula mpunga wake taratiiibu!
mr bann njoo huku utupe mwongozo nakubali sana Mzee wa revenge!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alitisha sana
 
Back
Top Bottom