Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sarakasi za nini wakat ndoa ni ya RC mkataba [emoji21][emoji21]Ukimuoa Wala hafanyi Tena hayo,anarelax anakula pension yake[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sarakasi za nini wakat ndoa ni ya RC mkataba [emoji21][emoji21]Ukimuoa Wala hafanyi Tena hayo,anarelax anakula pension yake[emoji23]
😂😂🔥😂🔥😂Binadamu utamteteaje Shetani,unless you tell me you are not human,maana JF nako mm kuna mambo,majini yamo humu humu.
Hawa inabd tuwaandalie uwanja wao waparuane mikucha mpk wachoke[emoji3]Huyu Mathanzua hua anakusingizia mambo mengi sana Tena anakuamzishia Hadi nyuzi kukuponda kua una mpango wa kuivuruga Dunia na umelaaniwa na Mungu mimi hua najipa Kazi kukutea maana hua namwambia alete uthibitisho wa wewe kama upo na ubaya hua anaishia kuleta maneno Bora Leo nimewakutanisha mmalizane wenyewe maana Wmathanzua anasema unanzisha
New Word Order Ili utawale Dunia,
Haya Leo ni Leo kwenu
Iblis Bin Shetan na Mathanzua mmalizane Kwa sintofahamu zenu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Nonsense!Sifanyi dialogue na Shetani.Huyu Mathanzua hua anakusingizia mambo mengi sana Tena anakuamzishia Hadi nyuzi kukuponda kua una mpango wa kuivuruga Dunia na umelaaniwa na Mungu mimi hua najipa Kazi kukutea maana hua namwambia alete uthibitisho wa wewe kama upo na ubaya hua anaishia kuleta maneno Bora Leo nimewakutanisha mmalizane wenyewe maana Wmathanzua anasema unanzisha
New Word Order Ili utawale Dunia,
Haya Leo ni Leo kwenu
Iblis Bin Shetan na Mathanzua mmalizane Kwa sintofahamu zenu!
😂😂😂😂🔥🔥
hahahahaa hatari sanaHawa inabd tuwaandalie uwanja wao waparuane mikucha mpk wachoke[emoji3]
Nd ndo inaaminika ndo Waislam wa Leo (I mean uzao wa huyu beki tatuDaudi hafai huyu alikuwa na uchu wa mapenzi akampora mtu mke ila Selemani ilikuwa inajulikana kuwa ana tamaa ya wanawake aliowa wanawake wengi kimbembe kipo kwa Ibrahim huyu alikuwa mtu mwema ila alimla beki tatu anaitwa Hagar au hajar unaambiwa huyo Hagar alikuwa anaasili ya ubantu alienda misri kama mtumwa na alikuwa anachura kubwa kilichomvutia Ibrahim ni ile chura akampa mimba mtoto akaitwa Ismail
Nataka ukimwi wa bure mimiHahaha...
Kwenye kigiza anakubeba mzima mzima na huna pa kujitetea[emoji1787]
akikujibu naomba nitagMimi nataka uniambie Ubaya wa shetani wewe umeipata wapi ya kuwa shetani mbaya umejuaje juaje achilia mbali watu wanatenda maovu wansema shetan wakati ni akili zao niambie ww ubaya wake upi
Wee Moto wa milele unakuita[emoji2]Nampenda kwa kweli
Iblis Bin Shetan I love u
Mwizi wa mke wa mtu na akaua...Wacha kabisa[emoji4]
HIZI Mambo Ni hatar sana
Hahaha ila Ibrahim alikuwa mjanja alitumia kigezo cha mkewe kutozaa na kutembea na mjakazi wake nafikiria ndio huu uzao wa warabu hata jina lake linasadiki Ismael maana yake ISM ni neno la kibrania ambapo katika arabic pia lina maana sikia na el ni Mungu maana yake mungu amesikia na akapata mtoto baada ya muda mrefu kuwa hajapta mtotoNd ndo inaaminika ndo Waislam wa Leo (I mean uzao wa huyu beki tatu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alitisha sanaMr bann alikua dereva wa magari makubwa Huko Malawi akaja kuangusha gari bahati Mbaya akaumia na kuvunjika baadhi ya viungo,wale jamaa wa kampuni wakamtimua bila malipo akarudi bongo kujiuguza,alivyopona akarudi Tena kuomba Kazi wakampa roli la mafuta kilichofuata Ili kulipa kisasi Kwa unyama waliomfanyia mwanzo akanyonya mafuta yote Kwa tank akauza zaidi ya million 400 halafu gari akalitengenezea ajali kwenye makorongo akaruka na kuliachia mpaka Huko makorongoni likalipuka lote likateketea,
Huko mabosi wakijua mzigo wote umelipuka kumbe mbinu za kijasusi zimetumika akarudi bongo kuendelea kula mpunga wake taratiiibu!
mr bann njoo huku utupe mwongozo nakubali sana Mzee wa revenge!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]