Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 174
- 288
"Kuna wakati unakuwa unafanya kazi hadi inafika hatua unahisi ni kama ulizaliwa kutopumzika",
"kuna wakati changamoto zinakuwa ni nyingi kiasi kwamba unaona kama una laana".
"kuna wakati stress zinakuzidi kiasi kwamba huwezi ata kutoa chozi wala kucheka".
Kuna namna nyingi za kujipa mapumziko lakini hii ni tiba tosha kwa akili yako, huhitaji maombi wala nguvu za giza kupunguza stress zako.
Karibu ujumuike nasi katika safari hii ya kipekee ya kutembelea hifadhi ya taifa Mikumi inayopatikana ndani ya mji wa Morogoro.
Hii ni safari ambayo taifa lote litakuwa ndani ya hifadhi ya taifa Mikumi kupumzisha akili kwa kujionea maajabu mbalimbali yanayopatikana ndani ya hifadhi ya Mikumi.
Mwezi wa sita (27-29,2025) Taifa zima litakuwa ndani ya Mikumi kwa siku tatu, yaani (3 Days/2 Nights), ni simu yako tu inahitajika kuskika ili ufanye booking mapema, simu ni nyingi nafasi ni chache.
+255753651935