CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Dar kupendeza si rahisi kama watu wanavyodhani,otherwise uwe mvaa "sare sare maua" ila uktaka vaa uwe unique kwa dar lazma uwe na Dooo,yani uwe na mawe kiaina flani hivi...Sasa mkuu uko BOT halafu unavaa tshirt chakavu za mtumba na pensi. Lazma uonekane kibaka tu! Dada alihisi utamuibia iphone ake 🤣!!!
Lol...ukiwa mjini hapa jipende. Kuwa smart vaa vizuri, japo sio lazima uwe tozi ila atleast vaa ki bro simple tu! Saa kali, sandals au lightweight shoes outfit bomba tu... Dar kuna maduka mengi mno kiasi kwamba ukishindwa kuwa smart utakuwa na tatizo mahali. Usisahau kunukia
uwe mtu unaweza enda shopping ukatumia 100k and above maana nguo/viatu,nk unavinunua kwa jumla na sio kwa reja reja,ukisema ununue kiatu kwa reja reja Yani unaenda dukani unataka 1 pair
asee bei zake hazina tofaut na maduka ya mikoani,hata huko k.koo ukienda unataka ETI kiatu pair 1 lazima bei iwe ya moto,kiufupi DAR CITY usipofanya mishe zakuingiza pesa ya kutosha utavaa ila
utavaa "sare sare maua",ila kwenye upande wa kunukia mkazi wa DAR akinuka asee "amejitakia" tena mtu akiwaga karibu yangu halafu anaharufu ya ajabu simkwepeshi,namchana LIVE maana hamna sehemu ina manukato bei rahisi kama DAR.