Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Haa ha ha...wew balaa
 
ikawaje mwisho wake?
 
Hahahaha safi sana mkuu
 
Hahaha pole mkuu
 
Daa aisee hata mmningekiwasha mademu kama hao ndo dawa yao dadeq!

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi ule tunda mkuu hayo mengine achana nayo
 
Ungevunga baada ya kutambuana. Ungechukua point tatu vyema, kabisa. Badala ashoboke yeye ukashoboka tena kwa mara ya pili.
Kiufupi mleta mada inaonesha anashobo dundo. Au anatamani apendeze flani ila muonekano wake hauna connection na nguo anazovaa. Yani hata anunue nguo ya bei hapendezi. Huwezi kumkuta mwanamke sehemu ukaanza kushoboka, south Africa unapigwa chuma unakufa tunakuona.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Mi kuna mwaka flani nilipewa promotion kwenda kuwa branch manager mkoa flani. Sasa sabab nilikua bachelor nikauza vitu vyote nikabaki na mabegi ya nguo nikapaki kwenye ndinga nikaamsha. Nikafika mkoani mida ya sa 9 na mafuta yalikua yamekaribia kuisha nikasema nikachomoe mpunga kwenye atm ya hiyo bank ninayofanyia kazi.

Nilivomaliza kutoa hela na muda wa bank bado nikasema niingie kumsalimia branch manager aliyepo maana tulikua tunafahamiana. Ile kuingia reception mdada mmoja matata sana ndo yupo pale na pembeni kaka jamaa mwingine..nikamsalimia akaitika vizuri tu,nikamwambia naomba kuonana na meneja..akainua macho kuniangalia...akanambia sema shida yako...nikamwambia shida yangu ni personal,akasema huwezi kumuona ..tena kwa madharau.

Na yule jamaa wa pembeni akaniangalia akaendelea na ishu zake.Nikamwambia basi sawa ntampigia simu,akanijibu kwa kejeli kumbe namba yake unayo...yule jamaa wa pembeni akacheka..nikasepa nikaenda kuchkua hotel. Jion nikamcall meneja nikamwambia nipo nishafika akafurahi sana maana kama nilimsurprise na skumwambia kama nilifika ofisin. Jioni akanitafuta tukapiga vyombo huku akinionesha machimbo. Kesho yake asubuhi kwenye morning talk akawaambia staff meneja mpya kashafika atakuja mchana kuwasalimia. Mchana wake nikaibuka... Hahahahaaaa basi wapenzi wasikilizaji mtamalizia wenyewe kilichofuata.

Kisa cha pili ni sehem nilipoenda kupanga room maana sikua na familia na vitu niliuza so nikazama kama ninja...wakawa na madharau yao mi sina time nao mpaka wamekuja kujua badae sana ndo wanajichekesha maana hata gari nilikua silazi pale hapakua na parking.
 
Vip demu aliekuvimbia mliishia nae vip???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…