Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Umenikumbusha mbali sana!

Father yangu anapenda sana swala la undugu, yeye mtu wa mbali kabisa atakuambia 'kamtafute huyo ndugu yetu kabisa'.

Wakati nimepangiwa kazi mkoa fulani, kuna ndugu yake father alikuwa Meneja wa litaasisi likubwa sana(kafariki now). Father akapiga kelele sana mtafute huyo mtu ni ndugu yetu kabisa usikae kipweke. Akawasiliana nae kabisaa kumwambia uwepo wangu huko. Akamjibu poa.

Siku, nimetoroka ofisini fresh nikaenda ofisi yao fasta ili sasa kumsalimia na kutambuana, kufika getini nikajitambulisha kama mgeni wa nani kwa walinzi.

Akapigiwa simu (extension) kutoka getini kutaarifiwa ujio wangu, yaan namsikia kabisa anahoji ni nani huyo akaambiwa kila kitu ila mwisho wa siku akawaambia walinzi mwambieni sipo na msimruhusu kuingia.

Angewaambia kwamba mwambieni nipo busy, ningemuelewa ningemtafuta siku ingine ila kitendo cha kusema eti mwambieni sipo! Nilikata mguu na sikutaka hata kumjua tena, father alipiga kelele sana wala sikuhangaika tena.

Hamadi! Kuna mkulu mmoja alikuja kwa ziara ya taasisi yetu na kwenye majumuisho akaomba wakuu wa taasisi zote za umma na binafsi pale mkoani waalikwe! Ilikuwa inaanza saa moja jioni.

Kwenye utambulisho tulianza sisi, tuliokaa high table jirani na mkulu tena MC anakutaja we unapungia. Wao waalikwa wakajitambulisha wenyewe, unapewa mic unajitaja unatokea taasisi gani na cheo chako. Coz namjua jina nipolisikia jina lake tu nikawa makini kumuangalia maana sikuwahi kumuona physically.

Kumbe naye aliponisikia akawa makini kuniangalia.

Kwenye coctail party anajileta leta kinoma halafu anashangaa sana na kuniuliza, kumbe we ndo mtoto wa fulani?! Mi namjibu vyema kabisa na hakuficha mshangao wake.

Baada ya siku ile alinitafuta yeye, tukawa na undugu imara! Alianza yeye kuja home ndo nami nikaenda kwake.

Moyoni nikajua alinikwepa awali akijua kinachofuata ni kuombana misaada akidhani ndiyo naanza maisha!
Ungelipotezea life na dhambi zake[emoji57][emoji57]
 
Bimdash unashombo mzigo kama uwendi chooni we F.

Nakausha kwasababu kuna ishu nachonga na mtu Current sitaki Ban ila wewe ni unashombo za kisen ku makini.
Haaahaaa ABSA kama ABSA

na utapigwa life ban zezetaa wewe, ID nyingi humu unatafuta kazi ama?

Mara ujidai umekufa, mara ufufuke we mwanaume wa aina gani, ngoja nifukue makaburi yako ya ovyo ovyo ..

Mfyuuuuu [emoji57][emoji57]
 
Haaahaaa ABSA kama ABSA

na utapigwa life ban zezetaa wewe, ID nyingi humu unatafuta kazi ama?

Mara ujidai umekufa, mara ufufuke we mwanaume wa aina gani, ngoja nifukue makaburi yako ya ovyo ovyo ..

Mfyuuuuu [emoji57][emoji57]
Hebu fukua kwa niaba, maana ID mate T14 amegoma kabisa
 
Haaahaaa ABSA kama ABSA

na utapigwa life ban zezetaa wewe, ID nyingi humu unatafuta kazi ama?

Mara ujidai umekufa, mara ufufuke we mwanaume wa aina gani, ngoja nifukue makaburi yako ya ovyo ovyo ..

Mfyuuuuu [emoji57][emoji57]
Sawa, sikutukani ila heshimu watu Mkuu, then mimi si huyo unayemzani.

Nipo Strong emotional usizani mtu anaweza ni Drive kizembe tu hata afanye nini.

Nakuelekeza tu punguza Shombo zikifala.
 
Baada ya kushtukiwa anajifanya anatania

Mwanzo alishataka kuwachota watu
Ha ha ha ha[emoji1787][emoji1787][emoji28] umeona eeh

We umemstukia daah[emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: T11
Baada ya kushtukiwa anajifanya anatania

Mwanzo alishataka kuwachota watu
Bro usisapoti ujinga basi misijamaindi unachozani wewe kwani toka mwanzo tulikiwa tunajifurahisha tu wala sio sababu boy mbona kawaida kujifurahisha elewa nini unachosapoti ishu ganibinaendelea.

Ishu uyo jamaa kaandika Shombo sijaipenda anaambiwa anajifanya yeye ndio mjuaji.

Sijapenda Shombo aliyoiandika huyu jamaa So mkuu fuatilia unachokisapoti kwanza wala sio mambo ya ABSA wala nini mimi mtu Humble tu wamatani sipo emotion ila huyu dada sijapenda alichoandika.
 
Baada ya kushtukiwa anajifanya anatania

Mwanzo alishataka kuwachota watu
In short kuna almost ID nne ni mtu mmoja. JF hairuhusu kuweka convo za PM. We kwani umeona nimepewa jibu nilipouliza[emoji3]
 
Sawa mchambuzi ila amini hivyo
Nakubali mkuu sema labda ulikosea kukadiria miaka. Hizi issue zinatokea sana maeneo ya Tanga. Nilitembea uko kila mtu nikaona mzembe wanacheza bao tu, kufika jioni kila mmoja analetewa hesabu yake. Pesa nyingi ila hawajengi, hawanunui magari, hawaoneshi dalili mwishoni unawachukulia wa kawaida.
 
Na huyo mtu ana upuuzi sana
Kwani wao wanafunguaje hizo ID? Maana mimi zinagoma

Na kuna jamaa anatamani sana kujiunga hakubaliwi
In short kuna almost ID nne ni mtu mmoja. JF hairuhusu kuweka convo za PM. We kwani umeona nimepewa jibu nilipouliza[emoji3]
 
Mimi uzuri nna adabu simdharau mtu kwakweli ila kuna Mtu aliwahi kuvuka matarajio yangu yani sikutegemea.
Maana jamaa alitaka nikamfanyie kazi fulani akanambia niandike namba aatanicheki anatumia Tecno S series[emoji23] nikadharau nikajisemea huyu nae nani🤣,siku ya kazi kaja kunichukua Offisini na Range rover sport anaishi Cliffside resiidence
toure dr hakuna kazi nililipwa kama hio mtu unafanya kazi huku unakunywa Moet Chandon Shampaigne

Hahaha muachage dharau
 
Kuwa smart ni kama kipawa mkuu si kila mtu anazaliwa nacho. Kuna mwingine hana kitu lakini mara zote kapendeza.
Mwingine ana pesa & etc lakini kupendeza hajui. Yaani design ya wale wagumu wasiojali kuhusu yao.
Nina jamaa yangu toka shule yeye akipata tu sent anawaza akanunue nguo, saa etc. Muda huo me nikipata sent nawaza nikawanunulie pumba kuku wangu[emoji23]

Mara nyingi wanaoongoza kupendeza sanaa hawanaga kitu kabisa
Wenye pesa hawajali sana mambo ya kuvaa vaa
 
Mkuu sio lazima awe precisely. Msome hapo juu amesema I think miaka 20 iliyopita. Yaani MIE najisomea story kama kujifurahisha tu ama nachukua fundisho nasepa. Ila kuna MTU ana concentrate anachunguza neno kwa neno mpaka uandishi yaani sijui walitakiwa editors ama wao ni editors.
Ni kama ule Uzi kula kimasihara tunda. Unakuta MTU amekomaa kumfuatilia MTU anavyotoa stories. Akibugi kidogo tu anaye.
MIE kwa vitu vya muhimu tu ndio na pay attention like unanipa knowledge Fulani ya kunisaidia maishani like ya kiafya ama ya ki technical hapo ni neno kwa neno. Unatoa mguu naweka mguu
Miaka 20 ilikuwa ni around 2000 na simu za kumilikiwa na madereva daladala hazikuwepo. Madereva wakadrive km kadhaa kuja kuonesha magari nanyi mkiwa mmengojea[emoji23]
 
Nakubali mkuu sema labda ulikosea kukadiria miaka. Hizi issue zinatokea sana maeneo ya Tanga. Nilitembea uko kila mtu nikaona mzembe wanacheza bao tu, kufika jioni kila mmoja analetewa hesabu yake. Pesa nyingi ila hawajengi, hawanunui magari, hawaoneshi dalili mwishoni unawachukulia wa kawaida.
Pamoja mkuu sina chakuongezea
 
Juzi tu NMB Dodoma:

Jamaa flan kavaavaa tu afu na midevudevu hivi

Kaenda NMB ATM kakuta na wadada wa benki wameweka meza ya kutoa huduma kwa wateja pemben hapo. Akafika tu kauliza (bila hata kusalimia).....kwanini kadi yangu inakataa kuniunganisha NMB mkononi

Dada kamjia juu...."kwanza salimia;...vipi habari za huko,...haya tukusaidie nini??"

Jamaa hakupokea. Mie nawaangalia tu.

Dada karudia tena ...."vipi mzima mwenzetu?? Za ulikotoka??!.....mbona umekuja kasi sana??!"....

Jamaa anaeaangalia tu. Mara akauliza...."ivi ni lazima kusalimia/ au kupokea salam ya mhudumu ili nipewe huduma NMB???...

Wakaanza kumshangaa ..."unatokea wapi wewe, yani unakuja kuvamia tu bila kusalimia..." ....wamamzodoa flan.

Jamaa akaingia Benki ndani. Straight kwa Meneja. Nafkiri hakueleza shida aliyopata nje. Alimueleza tu kama kutaka kusaidiwa shida yake. Sijui ndani waliongea nini??

Wametoka na meneja...hadi pale ATM kwenye meza ya wale wadada....meneja akiwa kashika mkononi kadi ya yule mshua....akawambia wale wadada mmoja wao (sikumbuki jina)...

Meneja: .....hebu msaidie Katibu Mkuu hapa kumuunganisha na NMB Mkononi...(Meneja akaongeza:....mkuu hapa utahudumiwa)...mara meneja katuomba wote wa kwenye foleni ya ATM..."naomba ndugu tumpishe kiongozi anajambo kidogo kwenye ATM ...samahani"...wakaingia ATM meneja, mshua na yule dada.

Wakafanya mambo humo ...kidogo wakatoka. Tukaendelea.

Meneja akamsindikiza yule mshua hadi kwenye gari akaondoka meneja anapunga mkono.

Niliwaangalia wale akina dada mavi yalivyowagonga chupi. Walitoa macho sana wakawa na wasiwasi mkubwa....

Walimchukulia poa
mtu unaanzaje kuhama tanzania sasa!!
 
Back
Top Bottom