Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Walipishana na gari ya mshahara hivihivii😅

Unajua wanaume tunajidanganya sana, mwanaume ukiwa rough, kama mdada ni wa kukupenda atakupenda tu, na mwanaume hata ukiwa smart kuliko juma jux, kama mdada hakupendi, hakupendi tu, nsha-experiment both sides am talking from experience LadyRed mugah di mathew
 
Unaweza kuwa sahihi but sio 100% huyu manzi alikuja kuanzia kunambia tatizo hupigi pass Mara twende mwanjelwa nkakusaidie kuchagua nguo za kufanana na wenzio ili upendwe
 
niliingia duka la nguo nkiwa nmeloa vumbi yani nlkua nmetoka mgodini af kama abiria wa pikpik (so nltaka nbadlishe nguo niwe safi niendelee na mambo yangu.
duka kubwa tuu safiii nkamkuta mdada sasa kila nkishika kiatu nkiuliza bei ananambia angalia kwe soli kwa sauti na jicho la dharau nkishika jins somtym hata bei haniambii nkakasirika nkaondoka sasa nkawa nmesimama pembeni ya dukalake najishauri nianzie wapi tena ghafla mwenye duka na ambae tnafahamiana maana kila nkitoka huko napitiaga pale kuchukua nguo za kubadilisha so ananielewa vizur tuu hata kazi yangu anaijua akaniuliza F vipi nkatiririka yote nkamwambia icho kidem dukan kwako kinadharau ataree ad nmesusa kukuchangia jamaa aljiskia vibaya na aibu sana kumbe ni mkewake
tukaingia ndani akannunulia na chips nkamuungisha tena na discount af30 na akanisindikiza hadi gesti....
skuizi nkiendaga nampigia cm kumuuliza kamayupo dukani kama hayupo siendagi

nyingine nliendaga kueka ela bank kila nkikabidhi ile karatasi mdada wa dirishan ananambia akisomeki mwandiko mmbaya kama ×2 ivi nkamwambia em npe ela zangu nkaenda kwa meneja ni mshkaj wangu sana tunafanana tabia nkaweka ila nlimwambia huyu mfanyakazi wako hadi nmkule ila sjamla maana sio mzuri kufananisha na nnaokutananao

kuna trafki morogoro alkua anapenda sana kunikamata yani akiiona gari tu af ni wakike......ITAENDELEA 😁😁😜
 
nyingine nliendaga kueka ela bank kila nkikabidhi ile karatasi mdada wa dirishan ananambia akisomeki mwandiko mmbaya kama ×2 ivi nkamwambia em npe ela zangu
Hahaha eti em nipe hela zangu.

Sasa mkuu kama una mwandiko mbaya hajauelewa asikwambie? Me wale wapokea Cheque bank moja hivi kuna mdada alinishushua, cheque deposit moja ilikuwa haionekani vizuri maandishi akanirudishia niiandike upya na kuniambia kamwambie XXX akataja jina Acc tunatia aibu shirika kama lile kutumia carbon paper imepauka hivi
 
Always wadada huwa wanapenda sana wakaka wanaovaa na kuwa na magari wakijua ndio wenye hela
Kwangu nilikuwaga chuo nilikuwa na vaa hovyo na sijawahi panda piki piki for all 4 years hivyo kila demu alikuwa ananichukulia easy mixer kudharauliana but mwisho wa siku wanakuja gundua nilikuwa na miliki biashara ya maana baada ya baba wa demu moja kukopa kwenye biashara yangu
Ni story ndefu but niishie hapo kuwa baba wa huyo manzi alimwambia huyu mwamba na mheshimu sana ananisaidia biashara zinazopelekea kukulipia ada ili kuwa last semistar walijigonga mamanzi kwangu but huwa sinaga hisia nao
Kwa nn huna hisia nao asee
 
😂😂 basi tuu kujiskia kwa nn yeye tuu maana skuwah kuambiwa mwandiko mmbaya kabla yake...
Skuizi nkienda bank naangaliga teller wa kiume

Knasiku nliwawashia moto nmempa kadi wife akotoe mara atm ikapiga alam mlinzi akaichukua kadi kufika wananambia niandike barua nkaandika bongee la alama ya kuuliza wakataka kuzingua nliuwasha moto hadi zone manager nlimvitia waya na yeye nkamwashia moto nkawambia pesa yangu account yangu password yangu tusifokeane
 
Kuna siku niliazima gari nikaenda pale best bite kuchukua zaga.

Sasa nilivyoingia ndani nikakutana na pisi tatu za kwenda zinatoka ndani, nikazipa hi zikachuna full kunipandisha na kunishusha, nikaona POA tu nikafuata kilichonipeleka.

Sasa ile natoka nje nikazikuta ziko bize zinajisnap kwenye gari niliyokua nayo, hiii bagoshaaa, mbona walikoma kunijua.

Nilianzisha zogo la maana makusudi kabisa, nikaita mpaka uongozi wa pale nikawaambia wawaambie wateja wao wafute picha zote walizopiga gari yangu otherwise niite Askari pale obey waniambie Wana lengo gani na picha za mkwaju wangu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Nakumbuka siku nareport shule kuanza 4m 5, sasa kufika pale ofisin kwa makamu wa shule kufanya usajiri,
Ile alivoniona akakaa kimya km dakika 10 anantazama tu, baadae akaniuliza full details zangu nkatoa kumpa (result slip na leaving) plus resit za michango mbalimbali.

Then akaangalia kweny file la selection alipoliona jina langu alishtuka na kuhamaki mno, akasema "ulivyo hufanani na kusoma tahasusi hii, tena kwa shule km hii, na matokeo yako ya 4m 4 na shule uliyotoka hufanani nayo" kiukweli nilijskia vibaya sanam

Ila still maisha yaliendelea hadi nikahitimu, siku nimeenda pale kuchukua results slip na leaving, ndo akanambia kuwa alivyokua anadhani sivyo na alivotegemea wala kuwepo.

Mie huyo nikasepa zangu.
Utakuwa ni mtu wa ajabu sana muonekano wako. Hebu tutumie picha tukuone.

Enzi zetu magenius wengi ndio walikuwa wachafu wachafu wa kutokuoga, kufua na kupiga mswaki.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna boss wa ikulu tofauti na raisi?
Mfagizi wa Ikulu au dobi anayefua boksa za Meko ana pesa na immune kuliko wewe. Huyo hata akikupiga risasi mnapogombania Baamedi hashtakiwi.

Hapa nazungumzia nchi za africa. Kumbuka Sabaya ni Afisa Kipenyo mwenye cheo kidogo ila ana uwezo wa kwenda kwa wafanyabiashara na kunyang'anya hela.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Always wadada huwa wanapenda sana wakaka wanaovaa na kuwa na magari wakijua ndio wenye hela
Kwangu nilikuwaga chuo nilikuwa na vaa hovyo na sijawahi panda piki piki for all 4 years hivyo kila demu alikuwa ananichukulia easy mixer kudharauliana but mwisho wa siku wanakuja gundua nilikuwa na miliki biashara ya maana baada ya baba wa demu moja kukopa kwenye biashara yangu
Ni story ndefu but niishie hapo kuwa baba wa huyo manzi alimwambia huyu mwamba na mheshimu sana ananisaidia biashara zinazopelekea kukulipia ada ili kuwa last semistar walijigonga mamanzi kwangu but huwa sinaga hisia nao
Wadada tunafeli Sana kushoboka na handsome boys, smart with six packs na kupishana na magari ya mshahara halafu tukijigundua tumebugi tunaanza kujilegeza kujichekesha na kujitongozesha, mwishowe ni kudharauliwa kushusha thamani nk,

Mi huwa sibadili msimamo Kama sijakuelewa nakukataa tu kiroho safi ikitokea nikajua status yako iko njema sishoboki najiambia si bahati yangu acha apite tu
 
Wasamehe bure mkuu 😄 😄 😄
 
Msimamo mzuri ulionao
Wasaidie na wenzio kama ulisha mkaushia usiende kujirahisisha rahisisha
 
Back
Top Bottom