Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

Kuna dada mmoja alinizungusha sana karibu miezi minne sijapewa nyau hadi nikazira nae akaona afadhari akanipotezea. Kazini kwake ikaletwa pisi moja ambayo niliielewa zaidi yake. Siku moja nimekutana nao wote wawili akanitambulisha kwa hiyo pisi kama mimi ni ex wake, moyoni nilifurahi kwa kupata uhuru wa kuishushia madini ile pisi ngeni. Nikawmwomba niwapeleke lunch akakubali (ilikuwa ndo mara ya kwanza amekubali nimpeleke out) kule nilifanya matumizi ambayo yalimfanya yeye mwenyewe aanze kujilegeza wakati huo mimi akili yangu imeshavurugika juu ya yule mgeni. Nilipata muda wa kuomba namba kwa mgeni nikapewa, hakunisumbua sana weekend iliyofata nikaanza kumkula ile kitu. kichekesho ex akaanza kujilleta, sikumwacha nikamkula, sasa eye ndo akawa mchepuko huku mgeni ndo mwenye mali hadi leo. Tukikutana sometimes huwa anajilaumu kunipiga kalenda nyingi.
Aibu yake alipie nyodo zake tu hakuna namna maana alikukubalia baada ya kuona matumizi ya kwako yako juu na ni aina flani ya wivu kwa pisi ngeni,
 
Tokea hii itokee zimepita Kama wiki tatu hivi....

Baada ya kumaliza chuo huku ajira zikiwa ni ndoto za Abunawasi Kama sio Alinacha, mzee wangu aliamua kunipiga tafu ili tusije kulaumiana huko mbele. Alifumba macho akavunja kibubu akanunua trekta jipya "Massey Ferguson 275" likiwa na tela pamoja na majembe yake halafu akanikabidhi funguo na kadi na kuniambia Kama ninataka mali nitazipata shambani.

Katika kusubiri msimu wa kwenda kuzitafuta mali shambani nikaamua kulipeleka trekta kijijini kwetu maana sio mbali ili niwe nawabebea watu mizigo. maisha ni kujiongeza shekhe! Alhamdulillah, kazi inaenda vizuri hasa ukizingatia suka mimi mwenyewe! Sometimes hata mshua mwenyewe akishirikiana na mama huwa wananipiga mzinga, nawatoa kiroho safi. Kimsingi hata zile text za "Baby nikuambie kitu" siziogopi huwa nazijibu pasina shida yoyote!

Last week nilipata dili la kubeba tofali. Wakati wapakiaji wanaendelea na kazi ghafla Kuna jamaa alikuja pale site akiwa na mwanamke! Walikuwa wamependeza wenyewe, wanawaka hatari na jua lile la utosi wananukia marashi tu. Mikogo yao ilitosha kuonyesha wapo kwenye lindi la huba na mahaba yasiyoelezeka.

Wakafika pale huku wanajipukuta vumbi kwa leso, site hapataki utanashati. Basi jamaa akalitazama trekta Kama traffic anayetafuta kosa, halafu bila hata salamu japo sio lazima akaniuliza linabeba gunia ngapi za mahindi, nikamtajia gunia 35. Akatikisa kichwa kuonyesha ni uwezo mdogo sana! Mbulumundu kabisa, wakati Kijiji kizima trekta langu ndio kubwa na linabeba kuliko wengine wote! Kwanza kijiji chote matrekta yapo matatu tu na langu ndio King of the empire! Nilimvumilia maana mteja sio fala ni mfalme.

Basi akajinyonganyonga pale, akajishingondoa paleee, akajimwemwesa kwa pozi za ashuo mbele ya demu wake halafu akauliza gharama za usafiri, nikamtajia. Akasema,

"Eeh... dogo mbona unapiga sana, bosi wako anajua lakini?" Achana kwanza na ishu za bosi, kwanini aniite dogo tena mbele ya demu wake hasa ukizingatia bei niliyomtajia ni very reasonable? Why? Why always me!

Mjinga aliniharibia siku, shubamiti! Akaongeza chumvi kwenye kidonda,

"Kama vipi nipe namba ya mwenye trekta niongee nae maana nyie madereva huwa mnazingua Sana!" Itoshe tu kusema yule jamaa aliondoka kwa dharau huku akisapotiwa na demu wake! Nilipoteza pambano na sikujisikia vizuri.

Wale wanaopakia tofali ndio wakaniambia kuwa jamaa na demu wake wote ni walimu wa shule ya msingi hapo kijijini. Wanavimba sababu wamesoma. Sasa nikashangaa wanalingia elimu au ajira? Diploma ya kumfanya mtu alinge kweli? Kama wanalinga kwa sababu ya ajira, je wangekuwa makatibu wa elimu wizarani ingekuaje? Just imagine jamaa ndio angekuwa Makonda, hapo mjini Daslam mngeishije? Basi siku ikaisha hivyo kinyonge!

Juzi kati mzee aliniambia nisiache ku apply nafasi za ualimu zilizotangazwa na serikali hata Kama uwezekano wa kupata ni 0.000. So siku hiyo sikwenda bush kwenye trekta nikabaki town ili nifanye application! Nikaenda internet cafe ili mambo yaende fasta!

Kama nusu saa hizi nikasikia sauti Kama naifahamu hivi, kugeuza shingo kumbe yule jamaa na demu wake wanaingia wakiwa na jamaa mwingine. Tukagongana macho, wakatoa macho Kama mjusi kapigwa spana! Hawakutarajia kuniona pale! Dereva wa trekta na macomputer wapi na wapi? nikawapotezea!

Kumbe wamekuja kumsaidia kufanya application yule jamaa ni mshkaji wao. Walikuwa hawajui vitu vingi na mhudumu wa pale cafe hakuwa na msaada kwao akawaambia waje kuniuliza Mimi maana kaniona nafanya application. Hawakuamini kabisa! Dereva wa trekta anafanya application? Kivipi yaani?

Ulikuwa mtihani mzito kwao, liliwashuka, sura zao zikasawijika, wakakosa pozi, wakacharara, waliishiwa kwa kweli ila watafanyaje? Wakaja huku wanajichekesha wakanisalimu kwa kunipa mkono bila ajizi na Mimi nikawapa mkono na tabasamu langu la uongo usiojificha mdomoni.

Wakashangaa Sana kuona ninabonyeza sehemu ya TCU badala ya NACTE. Wakaniuliza nimesoma chuo gani, usitake kujua niliwajibu Nini ila unajua tena sisi wa UDSM tunavyojionaga tumeyapatia maisha! Niliwajibu kwa kadri inavyopaswa!

Yule binti akasema, "sio mbaya lakini, umejishikiza kwenye kuendesha trekta" nikamuangalia usoni nikamwambia hapana Lile trekta ni langu nashindwa kumuajiri dereva maana wanakuwaga wasumbufu Sana! Nilihakikisha wanajua hadi kipato changu kuwa wakiunganisha mishahara yao wote Kama mambo yakikaa sawa Mimi naingiza ndani ya wiki mbili tu.

Jamaa mkosa adabu alikosa raha. Kwenye kiti palikuwa hapakaliki mbaya zaidi demu wake aliweza kwenda sawa na upepo ali connect na Mimi vizuri kabisa! Hadi namba ya simu alinipa ili wakiwa vizuri nikawabebee mahindi yao.

Sasa hapa Nina namba ya simu ya demu, tunachati tu WhatsApp kuhusu changamoto za Maisha na fursa za baadae. Ghafla nimekuwa motivation speaker wake! Ananichukulia Kama role model wake! Sijui Kama jamaa nimemsamehe au vipi acha niendelee kuchati na demu wake kwanza!
Mzee wa trekta unataka kutafuna mwalim...
 
Mbona huu mwandiko sio wa mtu aliyewahi kusoma PhD labda tu awe anabobea katika fani ya kubeti.
😂😂😂😂 nyau kweli wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣
 
Mgongee demu wake alafu mtumie picha jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23] utamuumiza jamaa...
msamehe kwa hilo.
 
Wengine ndio tunaoweka maji kwenye nazi lakini raia wananichukulia poa sana..(just kidding)
Hujui mi ndo boss wako nimekuajili kufanya hiyo kazi then unanichukulia poa tu..😂
 
We jamaa lazima ni muhaya Kama sio mkurya[emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa si umalizie mkuu mbona unatuacha hewani
Mi kuna mwaka flani nilipewa promotion kwenda kuwa branch manager mkoa flani. Sasa sabab nilikua bachelor nikauza vitu vyote nikabaki na mabegi ya nguo nikapaki kwenye ndinga nikaamsha. Nikafika mkoani mida ya sa 9 na mafuta yalikua yamekaribia kuisha nikasema nikachomoe mpunga kwenye atm ya hiyo bank ninayofanyia kazi. Nilivomaliza kutoa hela na muda wa bank bado nikasema niingie kumsalimia branch manager aliyepo maana tulikua tunafahamiana. Ile kuingia reception mdada mmoja matata sana ndo yupo pale na pembeni kaka jamaa mwingine..nikamsalimia akaitika vizuri tu,nikamwambia naomba kuonana na meneja..akainua macho kuniangalia...akanambia sema shida yako...nikamwambia shida yangu ni personal,akasema huwezi kumuona ..tena kwa madharau. Na yule jamaa wa pembeni akaniangalia akaendelea na ishu zake.Nikamwambia basi sawa ntampigia simu,akanijibu kwa kejeli kumbe namba yake unayo...yule jamaa wa pembeni akacheka..nikasepa nikaenda kuchkua hotel. Jion nikamcall meneja nikamwambia nipo nishafika akafurahi sana maana kama nilimsurprise na skumwambia kama nilifika ofisin. Jioni akanitafuta tukapiga vyombo huku akinionesha machimbo. Kesho yake asubuhi kwenye morning talk akawaambia staff meneja mpya kashafika atakuja mchana kuwasalimia. Mchana wake nikaibuka... Hahahahaaaa basi wapenzi wasikilizaji mtamalizia wenyewe kilichofuata.

Kisa cha pili ni sehem nilipoenda kupanga room maana sikua na familia na vitu niliuza so nikazama kama ninja...wakawa na madharau yao mi sina time nao mpaka wamekuja kujua badae sana ndo wanajichekesha maana hata gari nilikua silazi pale hapakua na parking.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi uzuri nna adabu simdharau mtu kwakweli ila kuna Mtu aliwahi kuvuka matarajio yangu yani sikutegemea.
Maana jamaa alitaka nikamfanyie kazi fulani akanambia niandike namba aatanicheki anatumia Tecno S series[emoji23] nikadharau nikajisemea huyu nae nani[emoji1787],siku ya kazi kaja kunichukua Offisini na Range rover sport anaishi Cliffside resiidence
toure dr hakuna kazi nililipwa kama hio mtu unafanya kazi huku unakunywa Moet Chandon Shampaigne
 
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu.

Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo la uhakika haswaa, limejitenga na limetulia kweli. Nilipigilia kipensi changu na ka t-shirt flan hivi local nikachagua sehem nikakaa, kutizama vizuri nikaona kuna meza amekaa mdada mmoja hivi and of coz she is gud looking nikaamua kujitosa angalau kumpa hata hi 'coz tulikuwa wateja 2 tu, nikamfata nikamsalimu.

Yule dada kwanza alinishusha kuanzia juu mpaka chini then akaitikia salamu yangu ki-design kama namsumbua flani hivi. Nikaomba kujumuika nae kama asipojali. Jibu lake ndo lilinitoa confidence kabsa, alinambia: "Kwahiyo kaka unadhani kila msichana akikaa peke yake anahitaji kampani? Hapana sihitaji" Dah, mwanamme nikajizoazoa pale nikarudi nilipokaa. Nilikaa kama masaa ma3 hivi nikaamsha zangu. Sasa kilichotokea jana ndo kimenifanya niandike huu uzi.

Nilipokea maagizo kuanzia J3 ya wiki hii kuwa leo watakuja watu wa Taasisi flani ya kifedha kutoa semina kwa sisi wafanyakazi kwa ajili ya kutushawishi kujiunga na huduma za Taasisi yao, hivyo mimi nikapewa jukumu la kuwakaribisha na kuwapeleka sehemu ambapo semina itafanyika.

Asubuhi mida kama ya saa 3 hv ugeni ukafika, walikuwa watu kama 7 hivi, kati yao alikuwepo yule dada nilieonana naye weekend.

Wakaingia ofisini nikawakaribisha, wakati mkubwa wao anatoa introduction macho nikayakaza kwa yule dada, bahati nzuri tukagonganisha macho, akashtuka flani, nikajua kashanikumbuka.

Baada ya semina kuisha ikafika kipindi cha watu kujiunga sasa kwa walioshawishika. Nikamfata yule dada nikamuomba aje anielekeze namna ya ujazaji fomu. Alivyofika tu, nikamuuliza "Unanikumbuka?" Akachekaaa, akaniambia "Yani wewe, sikutarajia kama unaweza kuwa unafanya kazi huku", nikamuuliza ulitarajia niwe nafanya kazi wapi? Akaishia kucheka tu. Mawasiliano yake kanipa; fresh bila shida kabisa.

Sasa naomba kuuliza wadau, mshawahi kukutana na situation ya namna hii?
Hiyo tisa, kumi ni pale alipoongea na Mdada mzuri sana akamnanga sana jamaa, akamnanga na kashafa juu, yakaisha siku zikaenda sana, Hamadi mdada kaumwa kakimbizwa Hospitali na ndugu , Daktari ni yuleyule aliye nangwa katika kuokoa maisha mdada katoa mimba na vijiti vya Muhogo, tutamsaidiaje huyu? alete PF 3, kazi iendelee, wakati ndg wanaenda tafuta pf3 Dr kakomaa na Drip na mazagazaga kibao kuokoa, alikaa week 3 Hosp DR yuleyule ndiye amemuoa!
 
Tokea hii itokee zimepita Kama wiki tatu hivi....

Baada ya kumaliza chuo huku ajira zikiwa ni ndoto za Abunawasi Kama sio Alinacha, mzee wangu aliamua kunipiga tafu ili tusije kulaumiana huko mbele. Alifumba macho akavunja kibubu akanunua trekta jipya "Massey Ferguson 275" likiwa na tela pamoja na majembe yake halafu akanikabidhi funguo na kadi na kuniambia Kama ninataka mali nitazipata shambani.

Katika kusubiri msimu wa kwenda kuzitafuta mali shambani nikaamua kulipeleka trekta kijijini kwetu maana sio mbali ili niwe nawabebea watu mizigo. maisha ni kujiongeza shekhe! Alhamdulillah, kazi inaenda vizuri hasa ukizingatia suka mimi mwenyewe! Sometimes hata mshua mwenyewe akishirikiana na mama huwa wananipiga mzinga, nawatoa kiroho safi. Kimsingi hata zile text za "Baby nikuambie kitu" siziogopi huwa nazijibu pasina shida yoyote!

Last week nilipata dili la kubeba tofali. Wakati wapakiaji wanaendelea na kazi ghafla Kuna jamaa alikuja pale site akiwa na mwanamke! Walikuwa wamependeza wenyewe, wanawaka hatari na jua lile la utosi wananukia marashi tu. Mikogo yao ilitosha kuonyesha wapo kwenye lindi la huba na mahaba yasiyoelezeka.

Wakafika pale huku wanajipukuta vumbi kwa leso, site hapataki utanashati. Basi jamaa akalitazama trekta Kama traffic anayetafuta kosa, halafu bila hata salamu japo sio lazima akaniuliza linabeba gunia ngapi za mahindi, nikamtajia gunia 35. Akatikisa kichwa kuonyesha ni uwezo mdogo sana! Mbulumundu kabisa, wakati Kijiji kizima trekta langu ndio kubwa na linabeba kuliko wengine wote! Kwanza kijiji chote matrekta yapo matatu tu na langu ndio King of the empire! Nilimvumilia maana mteja sio fala ni mfalme.

Basi akajinyonganyonga pale, akajishingondoa paleee, akajimwemwesa kwa pozi za ashuo mbele ya demu wake halafu akauliza gharama za usafiri, nikamtajia. Akasema,

"Eeh... dogo mbona unapiga sana, bosi wako anajua lakini?" Achana kwanza na ishu za bosi, kwanini aniite dogo tena mbele ya demu wake hasa ukizingatia bei niliyomtajia ni very reasonable? Why? Why always me!

Mjinga aliniharibia siku, shubamiti! Akaongeza chumvi kwenye kidonda,

"Kama vipi nipe namba ya mwenye trekta niongee nae maana nyie madereva huwa mnazingua Sana!" Itoshe tu kusema yule jamaa aliondoka kwa dharau huku akisapotiwa na demu wake! Nilipoteza pambano na sikujisikia vizuri.

Wale wanaopakia tofali ndio wakaniambia kuwa jamaa na demu wake wote ni walimu wa shule ya msingi hapo kijijini. Wanavimba sababu wamesoma. Sasa nikashangaa wanalingia elimu au ajira? Diploma ya kumfanya mtu alinge kweli? Kama wanalinga kwa sababu ya ajira, je wangekuwa makatibu wa elimu wizarani ingekuaje? Just imagine jamaa ndio angekuwa Makonda, hapo mjini Daslam mngeishije? Basi siku ikaisha hivyo kinyonge!

Juzi kati mzee aliniambia nisiache ku apply nafasi za ualimu zilizotangazwa na serikali hata Kama uwezekano wa kupata ni 0.000. So siku hiyo sikwenda bush kwenye trekta nikabaki town ili nifanye application! Nikaenda internet cafe ili mambo yaende fasta!

Kama nusu saa hizi nikasikia sauti Kama naifahamu hivi, kugeuza shingo kumbe yule jamaa na demu wake wanaingia wakiwa na jamaa mwingine. Tukagongana macho, wakatoa macho Kama mjusi kapigwa spana! Hawakutarajia kuniona pale! Dereva wa trekta na macomputer wapi na wapi? nikawapotezea!

Kumbe wamekuja kumsaidia kufanya application yule jamaa ni mshkaji wao. Walikuwa hawajui vitu vingi na mhudumu wa pale cafe hakuwa na msaada kwao akawaambia waje kuniuliza Mimi maana kaniona nafanya application. Hawakuamini kabisa! Dereva wa trekta anafanya application? Kivipi yaani?

Ulikuwa mtihani mzito kwao, liliwashuka, sura zao zikasawijika, wakakosa pozi, wakacharara, waliishiwa kwa kweli ila watafanyaje? Wakaja huku wanajichekesha wakanisalimu kwa kunipa mkono bila ajizi na Mimi nikawapa mkono na tabasamu langu la uongo usiojificha mdomoni.

Wakashangaa Sana kuona ninabonyeza sehemu ya TCU badala ya NACTE. Wakaniuliza nimesoma chuo gani, usitake kujua niliwajibu Nini ila unajua tena sisi wa UDSM tunavyojionaga tumeyapatia maisha! Niliwajibu kwa kadri inavyopaswa!

Yule binti akasema, "sio mbaya lakini, umejishikiza kwenye kuendesha trekta" nikamuangalia usoni nikamwambia hapana Lile trekta ni langu nashindwa kumuajiri dereva maana wanakuwaga wasumbufu Sana! Nilihakikisha wanajua hadi kipato changu kuwa wakiunganisha mishahara yao wote Kama mambo yakikaa sawa Mimi naingiza ndani ya wiki mbili tu.

Jamaa mkosa adabu alikosa raha. Kwenye kiti palikuwa hapakaliki mbaya zaidi demu wake aliweza kwenda sawa na upepo ali connect na Mimi vizuri kabisa! Hadi namba ya simu alinipa ili wakiwa vizuri nikawabebee mahindi yao.

Sasa hapa Nina namba ya simu ya demu, tunachati tu WhatsApp kuhusu changamoto za Maisha na fursa za baadae. Ghafla nimekuwa motivation speaker wake! Ananichukulia Kama role model wake! Sijui Kama jamaa nimemsamehe au vipi acha niendelee kuchati na demu wake kwanza!
mkuu kwa hasira tia bakora denu wake
 
'Acha niendelee kuchati na demu wake kwanza'. Hahahahahhhah
 
Back
Top Bottom