Machozi yako ndyo sababu inayomfanya mmeo azidi kujiona mwamba kwako ungekuwa hujali na unafurahia yeye angekuwa na wasiwasi na penzi lenu na angeongeza kiupendo kwako naamini ata wewe ushawai pataga mwanaume aliyekuwa anakupenda sanaaaaaa na kukuonesha mapenzi sana hadi unachukia na unakereka sana ndvyo ilivyo wewe saivi kwa mmeo ndoa ina mambo meng sana siyo kila mda ni upendo mda mwingine onesha chuki, hasira, ya kutopendezwa na kitu alafu mtoto wa mwenza wako ni juku lako kumpenda ila usifanye sana kama jukumu kwako Mme atafanya kama fimbo ya kukuchapiaAsante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa
Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana..
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao
Huu usemi huwa unanichekesha..hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,mlete mumeo naye aongee madhaifu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upotoshaji ndiyo maana mnapigwa shoka kichwani kama kitimoto..! Yako imekushinda sasa unamshauri nini mwenzioBora hata ww unamtoto naye na mimi niliyeondoka mikono mitupu na sikubahatika mtoto na yeye anawatt wawili?
Kama hamna kwazo jingine zaidi ya hilo hebu tulia kwanza usiwe mtu wa hisia zaidi
Pili kiwanja kilikuwa cha nani?
Tatu fatilia kwa mwanasheria haki zako kimya kimya kujua sheria inasemaje juu ya hiyo nyumba
Wanaoishi kwenye ndoa ni wachache mno wengi wako.kwenye ndoano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namuona mtoa muda Kama hajakua na ana utoto Mwingi.
Vilevile namuona kama ana ubinafsi sana na analalamika sana. Kagombana na familia ya mume karibu yote, leo hii analalamika kuhusu mtoto wa miaka saba.
Kuna mambo hapa hakutakiwa hata kusema, ni mambo binafsi sana. Au bora angestick na ile ID ya mama90.
Kweli kabisa mpendwa,Nimegundua kitu kwenye mahusino lazima uwe katili inapobidi .
Hivi wewe unaona ni sawa wazazi kulala na mtoto wa miaka saba? Kweli??!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wapole hivi ndio mnasema hivyo😀😀Nimegundua kitu kwenye mahusino lazima uwe katili inapobidi .
Asante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa
Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana..
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao
Changamoto ni nyingi, ni kuomba Mungu kupata mtu mnayeweza kuchukuliana madhaifu.Chanzo cha ndoa ni upendo, ila ndoa nyingi sana zipo sababu tuu kuna karatasi/cheti, watoto au mali kitu ambacho usalama wa wanandoa unakua mashakani
Mungu atupe ufahamu na kufanya yaliyo sahihi kwa madhaifu yanayochukulika na yasiyochukulikaChangamoto ni nyingi, ni kuomba Mungu kupata mtu mnayeweza kuchukuliana madhaifu.
Na iwe hivyo!Mungu atupe ufahamu na kufanya yaliyo sahihi kwa madhaifu yanayochukulika na yasiyochukulika
Kazi nafanya ila nakwata almost pesa yote.
Na aliniambia iwe hivyo yeye atakua ananisapoti kw kiasi flan cha pesa ambacho nitakiweka ili nifanye biashara za hapa na pale..hata hapo ambapo pameharibika kutokana na ujenzi wa barabara nilifaiti mwenye mpaka kupaweka