Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

masai dada,

Kaa utulie ukalee ndoa, otherwise huo undusukuruchu utakuletea shida kubwa.

Mkome kuchukua waume wa watu, wewe unadhani huyo mwanamke mwenzio alikuwa hamtaki huyo bwana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namuona mtoa muda Kama hajakua na ana utoto Mwingi.

Vilevile namuona kama ana ubinafsi sana na analalamika sana. Kagombana na familia ya mume karibu yote, leo hii analalamika kuhusu mtoto wa miaka saba.

Kuna mambo hapa hakutakiwa hata kusema, ni mambo binafsi sana. Au bora angestick na ile ID ya mama90.
 
Asante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa

Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana..
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao
Machozi yako ndyo sababu inayomfanya mmeo azidi kujiona mwamba kwako ungekuwa hujali na unafurahia yeye angekuwa na wasiwasi na penzi lenu na angeongeza kiupendo kwako naamini ata wewe ushawai pataga mwanaume aliyekuwa anakupenda sanaaaaaa na kukuonesha mapenzi sana hadi unachukia na unakereka sana ndvyo ilivyo wewe saivi kwa mmeo ndoa ina mambo meng sana siyo kila mda ni upendo mda mwingine onesha chuki, hasira, ya kutopendezwa na kitu alafu mtoto wa mwenza wako ni juku lako kumpenda ila usifanye sana kama jukumu kwako Mme atafanya kama fimbo ya kukuchapia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata ww unamtoto naye na mimi niliyeondoka mikono mitupu na sikubahatika mtoto na yeye anawatt wawili?

Kama hamna kwazo jingine zaidi ya hilo hebu tulia kwanza usiwe mtu wa hisia zaidi
Pili kiwanja kilikuwa cha nani?
Tatu fatilia kwa mwanasheria haki zako kimya kimya kujua sheria inasemaje juu ya hiyo nyumba

Wanaoishi kwenye ndoa ni wachache mno wengi wako.kwenye ndoano

Acha upotoshaji ndiyo maana mnapigwa shoka kichwani kama kitimoto..! Yako imekushinda sasa unamshauri nini mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unaona ni sawa wazazi kulala na mtoto wa miaka saba? Kweli??!
Mimi namuona mtoa muda Kama hajakua na ana utoto Mwingi.

Vilevile namuona kama ana ubinafsi sana na analalamika sana. Kagombana na familia ya mume karibu yote, leo hii analalamika kuhusu mtoto wa miaka saba.

Kuna mambo hapa hakutakiwa hata kusema, ni mambo binafsi sana. Au bora angestick na ile ID ya mama90.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masai dada,

Pole sana dada.

Vumilia, ushauri wangu ni uvumilie huku ukijiweka sawa ktk biashara yako.Pia, usiibue mjadala ambao tayari unaona mara nyingi majibu unayoyapata yanakuumiza zaidi baada ya kukupatia suluhisho.

Kama ameamua hatomleta tena mwanae, usiumie kwasababu kiuhalisia sio wewe uliyesema asije.Ukiweza utaendelea kumnunulia zawadi na kumtumia pale unapoweza.

Pole sana, hili nalo litapita tuu.
 
Asante sana..siwezi kutoka nje ya ndoa

Ila sasa unajua binadamu tupo tofauti tulivyoumbwa yaani mimi ni ile type ya siwezi ku ignore kabisa hata kama nikinyamaza nitaingia chumbni na nitalia sana..
I wish niwe na uwezo huo nahisi naweza kusogeza siku mbele maana naona mambo yamenilemea sana.
Ushauri nilimuomba mama yangu ki ukweli huwa anasema nipambanie ndoa ila mimi siwezi kabisa.naona nimeshindwa kuhold on..nazipi kupata maumivu tu kila uchao

Ndoa zina maumivu sana hamna mtu anaweza kukuelewa unajiskiaje unless na yeye awe amewahi kuumizwa na ndoa, pole sana lakini I believe mnaweza kugawana mali kama una risiti za ununuzi wa vifaa zenye jina lako au ushahidi wwte wakati mnajenga labda zinaweza kukusaidia kiasi fulani [emoji1317]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chanzo cha ndoa ni upendo, ila ndoa nyingi sana zipo sababu tuu kuna karatasi/cheti, watoto au mali kitu ambacho usalama wa wanandoa unakua mashakani
Changamoto ni nyingi, ni kuomba Mungu kupata mtu mnayeweza kuchukuliana madhaifu.
 
Ndio kosa ulilofanya hilo, kwnn yeye hakukopa kwa hela yake ili awe anakatwa yote?
Halafu huyo mme wako anaonekana mshamba tu, mwanaume wa kweli hawezi kudharau mke wake.
Kazi nafanya ila nakwata almost pesa yote.
Na aliniambia iwe hivyo yeye atakua ananisapoti kw kiasi flan cha pesa ambacho nitakiweka ili nifanye biashara za hapa na pale..hata hapo ambapo pameharibika kutokana na ujenzi wa barabara nilifaiti mwenye mpaka kupaweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom