Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Moyo wangu umeumia kianzia mwanzo hadi mwisho wa uzi huu, mimi nina mtoto wa kike wa age hiyo though niliachana na mama yake lakini naelewa jinsi gani unaumia. Nilicho jifunza hapa ni jambo moja tu inawezekana uliolewa kama sehemu ya adhabu kwa mzazi mwenzake na hasira zimeisha anagundua kuwa hana mapenzi na wewe tena na badala yake mapenzi yake yako kwa yule mzazi mwenzio.

Mpaka hapa huna kokosa lolote. Mbaya zaidi mume kimsingi hakutaki tena ila hana namna labda kwa sababu ya uwepo wa ndoa na hivyo hawezi kukufukuza akihifia kugawana mali, Hii series ya vituko ni kukukatisha tamaa ili uchemke ligi uondoke. Kwenye haya maisha kuna kupata na kukosa. Hebu jaribu kumuomba mume wako ukuruhusu uanze upya. Panga hata room 2 za kawaida kabisa ambazo utakidhi kulipia kicha ya mkopo ulio nao then anza fresh page.

Kuendelea kubaki kwenye hiyo ndoa ni kuendelea kufupisha siku zako za kuishi hapa Duniani, Kitakacho kupata ni kifo cha Moyo, utaanza kukonfa kwa sonona na maumivu kisha ma BP then itapoteza. Kubali matokeo uanze upya tu hujachelewa. TUNAISHI MARA MOJA, always there is the way no matter
 
Nimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.

Kwanini unahisi kabadilika?
Yaani hapo ndipo alitakiwa adili napo..
Yawezekana hata mtoa maada kuna sehem kavurunda ndio maana jamaa anabadlika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimesoma kuanzia ile ya awali na hii hadi nimelia na bado nina hasira. Natamani nikwambie uje uishi nami kwangu.

You need a hug or two kwakweli. Pole!

Nashauri achana na huyo mwanaume. Nakwambia hivi, ATAKUUA!!! Si kwa silaha wala nini ila sononeko huleta mauti. Una mtoto mdogo utamuacha na baba yake kama usemavyo hamjali kivile.

Yani hapo unapigwa matukio uchoke mwenyewe. Mimi nakuomba choka leo, nenda zako. 5 years baadae utaangalia nyuma na kucheka.

Mungu awaepushe mabinti na wanaume namna hii!
 
Kuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye watoto kabla yako ni ngumu sana. Birthday yangu ni New Year, huo mwaka nilichukua holiday kazini nilijua New Year na birthday itakuwa romantic time. Khee nimeambiwa wanakwenda sea side
Kwamba na wewe upo kwenye uhusiano na mtu ambaye alikua na watoto au mtoto kabla ya kua na wewe?
 
55555555

Hata kama mtaendana, Shida inakuja pale anapoanza kubadilika taratibu na kukutreat isivyotakiwa......Upole ukizid huzaa dhambi Kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu nachukia kama dharau yaani huyo mwanaume ana dharau na mdomo wenye matamshi machafu kwa kweli hapana uvumilivu kama huu sina mwenzi kakosea mwambie sio unampiga matukio ya kipumbavu.
 
Nyie wapole hivi ndio mnasema hivyo😀😀

Ni kumwomba Mungu asaidie kupata mtu mnayeendana, ukatili haujengi 5555555555
Inapobidi unafanya ili kumnyoosha mtu ajue bila yeye pia unaweza kuishi kwa furaha.
 
ndo maana nikasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,aje mume wake naye Alex yaliyo upande wa pili,haiwezekani mtu umtreat mwanamke vibaya bila sababu labda huyo mumewe awe tahira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo maana nikasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,aje mume wake naye Alex yaliyo upande wa pili,haiwezekani mtu umtreat mwanamke vibaya bila sababu labda huyo mumewe awe tahira

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, namjua masai dada ni mkorofi mwalimu huyu! Mwanaume usimpende mwanamke ila dushe lisimame! Sijawahi ona. Mwanamke anaweza akakubali uendelee yeye akisoma kazeti la deile nuzi, si kwa mwanaume maana usipokuwa na feelings lazima dushe lilale fofofo
 
Mkuu nilishasaligi huko nyuma mpaka nikaona acha nikae tu labda uenda ndo Mungu kapanga hivi
Dada nmejaribu kuvaa viatu vyako naona kabisa roho inaniuma kweli sisi wanaume tuna Chuma dhambi za bure..

Kama nakumbuka ulisema unaishi maeneo ya chanika au mvuti, mimi mwenyewe nipo chanika natamani hata nikushauri kitu kama hutojali njoo pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3], anaenda sokoni mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…