corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,389
Niliwahi msikia mhubiri alisema ndoa haiondoi loneliness..niliogopa sana
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa nyingi unazoziona sio kwamba wenza wanapendana kwa viwango sawa masai dada lakini zina move. Mwanaume anaweza asiwe anakupenda ila anakuheshimu na kukuonea huruma kwa kuyaangalia maumivu na machozi unayodondoka kila uchwao.
Ni vyema ukajua mmeo alipoanza kubadilikia kama mwanzo mlikuwa na amani. Kipi kilimfanya aanze kuwa na hizi tabia za kutokukupa attention. Ok hakupendi wewe, je mwanae wa kumzaa?
Inaenda mbali unasema hata mtoto wake pia hamthamini kama anavyomthamini wa mama mwingine. Kwanini? Kuna ishu hapa ulitakiwa uigundue na kama bado haujaigundua jaribu kudadisi.
Yaani hapo ndipo alitakiwa adili napo..Nimesoma nyuzi zako za nyuma...unasema mwanzo mlikuwa mnaishi kwa upendo na amani.
Kwanini unahisi kabadilika?
55555555, kazi ipo!55555555
Hata kama mtaendana, Shida inakuja pale anapoanza kubadilika taratibu na kukutreat isivyotakiwa......Upole ukizid huzaa dhambi Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ina ukweli % nyingi sana.anaweza asiwe anakupenda ila anakuheshimu na kukuonea huruma
Kwamba na wewe upo kwenye uhusiano na mtu ambaye alikua na watoto au mtoto kabla ya kua na wewe?Kuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye watoto kabla yako ni ngumu sana. Birthday yangu ni New Year, huo mwaka nilichukua holiday kazini nilijua New Year na birthday itakuwa romantic time. Khee nimeambiwa wanakwenda sea side
Hakuna kitu nachukia kama dharau yaani huyo mwanaume ana dharau na mdomo wenye matamshi machafu kwa kweli hapana uvumilivu kama huu sina mwenzi kakosea mwambie sio unampiga matukio ya kipumbavu.55555555
Hata kama mtaendana, Shida inakuja pale anapoanza kubadilika taratibu na kukutreat isivyotakiwa......Upole ukizid huzaa dhambi Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapobidi unafanya ili kumnyoosha mtu ajue bila yeye pia unaweza kuishi kwa furaha.Nyie wapole hivi ndio mnasema hivyo😀😀
Ni kumwomba Mungu asaidie kupata mtu mnayeendana, ukatili haujengi 5555555555
Yaani ni bora kusemezana ukweli kuliko kumnyanyasa mtu kisaikolojia....inatafuna ndani kwa ndaniHakuna kitu nachukia kama dharau yaani huyo mwanaume ana dharau na mdomo wenye matamshi machafu kwa kweli hapana uvumilivu kama huu sina mwenzi kakosea mwambie sio unampiga matukio ya kipumbavu
Kama unadate na furushi na wewe ni furushi pia,ndege wafananao huruka pamoja.Furushi ni furushi tu wala haitaji justifications bwana we!! Wangapi wana wanawake wanyenyekevu kupindukia ila hao wanawake wanakula joto la jiwe!!!
Haya mpendwa.Inapobidi unafanya ili kumnyoosha mtu ajue bila yeye pia unaweza kuishi kwa furaha.
aje mumewe naye atoe madhaifu ya mkewe ndo uone balaa lakeFurushi ni furushi tu wala haitaji justifications bwana we!! Wangapi wana wanawake wanyenyekevu kupindukia ila hao wanawake wanakula joto la jiwe!!!
ndo maana nikasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,aje mume wake naye Alex yaliyo upande wa pili,haiwezekani mtu umtreat mwanamke vibaya bila sababu labda huyo mumewe awe tahiramasai dada,
Nimesoma maoni ya wote humu, naona wameegemea upande mmoja. Wengi walotoa maoni inaonesha aidha ni akinamama wenzako au ni vijana ambao hawajaoa na kama wameoa basi ni ndoa changa kama yako ila bado kuonja subiri za ndoa kama unazokumbana nazo.
naomba nikuhakikishie kuwa hata kwa mumeo bado anaonja subiri na anakupenda, la sivyo alivyokupapasa isingesimama! Pili kuwa na mtoto was akati huo huo hana biological mother ndani ya nyumba hiyo ni mtihani kwetu hasa mbele ya mama wa kambo. Kulala naye anajitahidi kumweka karibu naye hasa mtoto wa Kike. Unatakiwa uwape Uhuru hata kama roho inakuuma.
ninavyojua wewe ni wa Mlimani (sijui kama ni sahihi), uzoefu wangu ni kuwa huwa mnajisemea tu ila sie vyasaka huwa tunaingiza kifuani na tunatafuta jinsi ya kuwarudi. Uloyasema mumeo anakupenda ila kuna vitabia asovipenda na una mdomo sana! Hivyo anakuchapa kwa vitendo (he is not exceptional, we normally discipline our lovers kwa njia hiyo Mwalimu Masai Dada). Tumeyapitia na bado wengine tunasukuma hivyo.
Upo sahihi, namjua masai dada ni mkorofi mwalimu huyu! Mwanaume usimpende mwanamke ila dushe lisimame! Sijawahi ona. Mwanamke anaweza akakubali uendelee yeye akisoma kazeti la deile nuzi, si kwa mwanaume maana usipokuwa na feelings lazima dushe lilale fofofondo maana nikasema hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu,aje mume wake naye Alex yaliyo upande wa pili,haiwezekani mtu umtreat mwanamke vibaya bila sababu labda huyo mumewe awe tahira
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nmejaribu kuvaa viatu vyako naona kabisa roho inaniuma kweli sisi wanaume tuna Chuma dhambi za bure..Mkuu nilishasaligi huko nyuma mpaka nikaona acha nikae tu labda uenda ndo Mungu kapanga hivi
naona baharia unajiongezaDada nmejaribu kuvaa viatu vyako naona kabisa roho inaniuma kweli sisi wanaume tuna Chuma dhambi za bure..
Kama nakumbuka ulisema unaishi maeneo ya chanika au mvuti, mimi mwenyewe nipo chanika natamani hata nikushauri kitu kama hutojali njoo pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3], anaenda sokoni mwenyewemasai dada,
Pole sana dada! Heri ya mwaka mpya 2020
Suala la mumeo kukwambia nyumba ni ya mtoto linatokana na alichosikia either kutoka kwa marafiki zako au ndugu zako, huenda ikawa unaongelea sana hiyo nyumba na huenda ukawa unaongelea kwa mazuri hauna maana mbaya ya kuwa unaifikiria sana hiyo nyumba. Jitahidi uache kuongelea mali kwa mtu yeyote yule.
Kuhusu kukataa kufanya mapenzi after P nionavyo mimi either anakukomoa baada ya Kukereka aliposikia unaongelea sana mali au ana mtu nje. Endelea kumpenda na muandalie kila kitu kama zamani ila usiongelee masuala ya mapenzi kwa muda wa mwezi mzima au zaidi na uwe unapendeza mara kwa mara especially jioni ili awe anahisi unataka kutoka out, hiyo itamfanya asitoke au awe anatoka huku roho ikiwa juu juu kuwa na wewe unaweza kutoka muda wowote na uonyeshe uko happy!
Ongea na ndugu yake anaekuelewa zaidi kuhusu matatizo yake na onyesha kuwa bado unampenda na unaipenda ndoa yako.
Endelea kupenda mtoto wake na uwe unamuulizia maendeleo yake ya shuleni na likizo wasiliana na mama yake mtoto ili aje tena ku clear hicho kiwingu kilichojitokeza kuhusu kutompenda.
Wish all the best! Be patient kama umeolewa na mmasai huwa wako hivyo kuna ndugu yangu anateswa kama wewe na hapewi hata mia!! Jamaa huwa anaenda sokoni mwenyewe.