Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Yani, ukigoma masimango ukaondoka unaambiwa umevunja ndoa yako kipumbavu. Wanataka uvumilie kudharauliwa hapo ndo utaitwa mwanamke


Sent using Jamii Forums mobile app
Mke bora ni yule anayevumilia upuuzi wa mume, kiufupi mzigo wa ndoa wote unamwangukia mwanamke hata kama tatizo ni la mume.
Na ndio maana mwanamke anafundwa kabla ya ndoa lakini mwanaume hakuna anachofundishwa..matabia yake yote mabaya anampelekea mkewe aliyefundwa na kuhimizwa uvumilivu. Ukiwa boya sana lazima uteseke .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hela inakatwa itachukua mda gani hari hilo deni limalizike?uwe mpole huku deni linaisha na kichwani una plan b,ila kama deni la mda mrefu hapo pagumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye watoto kabla yako ni ngumu sana. Birthday yangu ni New Year, huo mwaka nilichukua holiday kazini nilijua New Year na birthday itakuwa romantic time. Khee nimeambiwa wanakwenda sea side

Hii ya kuwa na mtoto kabla yako inanitesa mimi sana...kuna wakati najuta ila dada yangu anaitia moyo ,napata ujasiri maisha yanasonga
 
Aisee.....kuwa uyaone...kuna wanawake wanapitia machungu sana...tunakosea wapi wakati wa uchaguzi jamani.....ila up n down....NDOA ni ya watu wawili pekee...akiongezeka wa tatu....ni iblisi sheitwan......
Dada pole sana, ila bado unayo nafasi, ongea na nafsi yako unachotaka kufanya....amua kufanya tekeleza.....huwezi kuwa na matokeo bila kufanya mtihani.....pigania FURAHA yako milele. umeolewa na mme asiye wako dada...wewe bado kijana pambana na nafsi yako...anza hatua moja mbili tatu...sogea....Mungu hakutuumba tuteseke...why....pole DADA yangu.....
 
Nilitaka kuchangia kama wewe maana mie ni muhanga wa issue kama hiyo nimemuachia nyumba mwanamke maana kwa sasa mwanamke akienda mahakamani mwanaume huna chako nikaona isiwe tabu kwa sasa naanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Victim tuko wengi sana...kiukkweli.........niliacha kila kitu....nguo na kafriji na kiti alinikuta navyo......nimeanza upya kabisa
 
Mumewe anakukata wenge,wewe utakuwa una mawenge flani hivi hasa kwenye kauli .

Nahisi una kauli za ajabu na hapo mumewe ana kinyongo na wewe ndo analipa kisasi kwa namna yake.


Hapa na comment kwa hisia tu mdomo kuna sehemu utakuwa unakuponza
 
Pole sana..Dada kwa unayopitiaa..jitaidi uwonanee na ustawi wa jamii, au mashirikaa ya kutetea haki za wanawake, watakusaidia. Pole sana..najua jinsi unavyoumia.
 
Well said...@masai dada soma hapa
 
I second you.
 
Tafuta mwanasheria akusaidia kuhusu haki zako .. na mlikua na makubaliano gani mpaka ukajiingiza kwenye mambo ya kukopa visivyokuhusu?!
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…