Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ilianzia hapa.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Habari,

Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho.

Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani.

Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti wa kazi. Na mimi katika maisha yetu nimelelewa na mabinti wa kazi, sipendi wateseke kabisa maana niliona walivyomsaidia mama enzi tunakua, so shida ikaanza anamuachia yule binti kila kitu afanye, hadi ampikie amuamshe chumbani, yale mambo yalikua yananikera nikaanza kumsema kwa nguvu sana, hakubadilika. Ikabidi nimwambie kaka yake. Kaka yake akasema kama unamuona msichana wako anapata shida basi nitamuekea msichana wake yeye

Ile hali ikaendelea sana kwa muda na yule binti alikua mdogo kwa hiyo ikabidi niwe napika mwenyewe, siku zikaenda akaja tena mdogo wake wa kiume, wote kazi ikawa ile ile, huyu wa kiume hadi anamwambia dada amfulie nguo. Nilikua naongea napiga mzigo nadeki mpaka mimba ina miezi nane ndo mama angu akaja.

Kiukweli niliteseka mimba ya huyu mtoto, ugomvi ndani ya nyumba hautuliii kabisaa; wakaungana wote na mama zake kwamba niachike. Na kweli mume wangu akasema natamani kukuacha ni vile tu tumefunga ndoa.

Hapo nimeskip kipindi cha ndoa maana tulifunga ndoa tayari huyu binti tunaishi nae kuna mengi yalitokea lakini nitaeleza tu tukio moja.

Usiku wa kesho yake ndio ndoa akaniambia kwa hiyo kwenye hiyo saluni uliyofanya booking na mimi nitasuka? Nikamwambia ni maids tu wewe hautaenda pale, aliangua kilio imagne na kuna wageni, mume wangu haya maswala ya maids hajui anasema kwanini unaenda kuremba watu baki unamuacha huyu? Akaninuia tumeenda kusameshana wakati wakuvalishana pete ya ndoa.

Unaweza ukahisi movie ila sio movie ni maisha watu tunapitia.

Wakati wa sherehe huyu binti na wenzake kwenye ile meza ya wazazi wangu hawakupeleka vinywaji kabisa maana wao ndo walikua kwenye hiyo kamati ya vinywaji na mama zake wadogo.

Sasa huyu binti alikuja baadae kwenda hostel mimi mimba ikiwa kubwa kama miezi 8 ambapo na mama ndo akaja. Sasa wakati wa X-mass maana ilikuwa hata bado sijajifungua kaka yake akampigia simu aje kula sikukuu nyumbani, hakuja kabisa akaenda kwa dada mmoja ambae alikuja baadae kuwa mtu wa karibu na mimi. Huyo dada akamwambia mbona hujaenda kwa kaka kula sikukuu? Akasema, KAJAZA NDUGU ZAKE SIWEZI KWENDA PALE.

Kiukweli alikua kaja mama yangu na mjukuu wake na mdogo wangu, alikuja kusalimia, nikihesabu muda kwa ujumla waliokaa pale ni kama wiki tatu, dogo akaondoka na mimi nikawa nimejifungua nikakaa wiki2 nikaondoka na mama kurudi nyumbani.

Sasa imagne watu hawajakaa hata mwezi yeye kaona kero ila wenyewe miaka nenda rudi wapo.

Alikuja kumaliza chuo ila hakupata kazi, akaenda kwao akarudi tena akasoma tena akamaliza hakupata kazi. Na hii ya mara ya pili, wembe ukawa ule ule, hafanyi chochote analala tu dada amfanyie kila kitu.

Sasa hii mara ya tatu anasoma tena ila anawahi kuondoka asubuhi jion kuna siku anachelewa kuna siku anawahi kurudi, ila ndo hivyo hasaidii chochote, yaani dada ndo afanye kila kitu.

Namuuliza anasema naoshaga sahani yangu pekee. Namuuliza na hivyo vingine anasema nawahi kuamka kwa hiyo siwezi.

Leo mpaka naandika niko bize napika yeye amekaa anachat, nikamwambia mimi siwez kukupikia wewe unachat hapo jipe shuhuli wala hajanisikia kitu. Kaenda kununua chips.

Mbaya zaidi nyuma ya pazia kuna rafiki yake mume wangu wametafutana wanapanga yao huko (na huyo kaka alihusika sana kwa yule baby mama wa mr kumuondoa)

Na kingine kikubwa ni kwamba mama yake anaona kawaida tu hata ukimwambia.

Ashawahi iba nguo zangu akaenda kugawa, aliyempa akapiga picha akaweka Insta nikaiona ile nguo nikambana akasema alimpa, nikamwambia akaifate akampigia mama ake na mama ake akasema muulize (yaani aniulize mimi) hiyo nguo ni bei gani atume ela.

Nimeruka mambo mengi ila kuna dada wa saluni pia alishawahi kuniita akaniambia kuwa makini na huyu binti anaweza akakuua.

Sasa ndugu zangu nifanyaje hapa, wako wawili yeye na huyo shemeji wote wanataka tuwahudumie kama ambavyo namuhudumia kaka yao yaani mimi na dada ndo tuwafanyie kila kitu.

Na kingine kikubwa ana mawasiliano ya karibu mno na yule dada aliyezaa na mume wangu pamoja na yule aliyehusika kupika figisu.

Nifanyaje kuimaliza hii nightmare wandugu maana kila nikimuona anapita nakumbuka machungu hasa enzi za mimba maana ilikua niachwe kwa sababu yake.

Roho inaniuma, nina uchungu sana

=======

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole dada. Mimi siwezi kumpa mwanaume pesa, kukopa kwa ajili yake au kumkopesha.

Back to the topic I think you have bigger problems to worry about than hiyo pesa ya mkopo. That man is selfish doesn't love or respect you. Focus on that and see how you can change that. Pole kwa kuishi kwa manyanyaso.

Duuuh!
 
Hili ni kubwa. Pole mkuu! Inaonekana mumeo ni mbinafsi au yupo down kihisia. Ila maneno " hii nyumba haikuhusu" yanathibitisha bila ya shaka yoyote kuwa mumeo ni mbinafsi na ni mchoyo. Nakushauri, nunua kiwanja chako binafsi, anza ujenzi taratibu. Kila kitu andika jina lako na la mwanao, kuanzia kiwanja hadi nyumba. Wala usifiche, kila kitu mweleze kuanzia kununua kuwanja. Kama atakusupport kwenye ujenzi, pokea lkn naye hapo hapamuhusu. Maisha ya ubinafsi ni magumu sana, namshukuru Mwenyezi MUNGU mimi na mke wangu kwa miaka sita tuliyoishi tupo mwili mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawambia jamaa zako wanaokuzidi umri na waliopitia mengi?

Wao wamekuambiaje?...

Siwezi kumshauri mtu aiache ndoa yake maana kwenye maisha ups na downs zipo saana. Zinaweza kudumu hata kwa miaka.

Binafsi huwa napenda kuchukulia kila changamoto mtaji. Mwenyezi Mungu anakupitisha katika haya matatizo maana anajua unauwezo wa kudeal nayo...wewe una nguvu za kila aina kudeal na hii issue.

Nitaendelea kusisitiza ongea na wanaokuzidi umri, unaowaamini, wasiwe ndugu wa upande wowote maana watakuwa biased.

Namna nzuri ya kudeal na mtu wa namna hii ignore. Deal naye kisaikolojia yeye anafanya kukukomoa sasa wewe muoneshe haujali.

NB: kipindi unachopitia kwa wanawake ni kibaya saana. Usije ukajaribu kutafuta faraja nje. Faraja ya siku moja inaweza ikaharibu maisha yako yote.
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masai dada,

Kwa sisi wakristo huwa inasemwa alichounganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe. Mbili kaa kimya kama unaweza kukaa kimya maana mawazo yatakuua dada yangu. Tuliza kichwa na kwa vile upo mwenyewe usimwambie mtu maana kama atakua mwanaume ataitumia kama nafasi ya kukutaka na kama ni mwanamke atakutangaza mtaa mzima. Mwambie Mungu kwenye maombi yote na muombe uwezo wa kushinda. Trust me sijapitia yako ila matatizo yangu huwa nalia na Mungu na sina tena msongo wa mawazo maana unaweza kukuua bila kutarajia. Fanya biashara zako ndogo ndogo huku ukilipa mkopo wako taratibu, nunua kiwanja jenga. Andika jina la mama yako maana ukiandika lako anaweza kudai share yake siku ya kuachana.

Baada ya hapo msome anaendaje ila pia jiepushe kuzaa mtoto mwingine na yeye. Hii plan itakuchukua hata miaka miwili ila siku unaondoka kwake hataamini. Maana ukibeba mimba nyingine mateso ya mwanzo yatakua madogo kuliko ya pili. Mvumilie usimuulize chochote ila jipange maana hapo hata wakwe tu inaonekana hawapo upande wako. Umebaki na Mungu pamoja na kichwa chako. Fanya uamuzi mwenyewe dada yangu la sivyo utalia mpaka utakua kichaa.
 
Umeshawambia jamaa zako wanaokuzidi umri na waliopitia mengi?

Wao wamekuambiaje?...

Siwezi kumshauri mtu aiache ndoa yake maana kwenye maisha ups na downs zipo saana. Zinaweza kudumu hata kwa miaka.

Binafsi huwa napenda kuchukulia kila changamoto mtaji. Mwenyezi Mungu anakupitisha katika haya matatizo maana anajua unauwezo wa kudeal nayo...wewe una nguvu za kila aina kudeal na hii issue.

Nitaendelea kusisitiza ongea na wanaokuzidi umri, unaowaamini, wasiwe ndugu wa upande wowote maana watakuwa biased.

Namna nzuri ya kudeal na mtu wa namna hii ignore. Deal naye kisaikolojia yeye anafanya kukukomoa sasa wewe muoneshe haujali.

NB: kipindi unachopitia kwa wanawake ni kibaya saana. Usije ukajaribu kutafuta faraja nje. Faraja ya siku moja inaweza ikaharibu maisha yako yote.
That's my weapon IGNORE....

am better here
 
Back
Top Bottom