Na wengi wanaumia haswa! Yaani ni vile tuu hawawezi kusema!Laiti wangekumbuka zile akili waliambiwa watumie maisha yangekuwa rahisi sana. Hakun amwanamke jeuri kwa mwanaume mwenye akili jamani, hayo yote ni matokeo ya ufurushi wao.
Ndoa nyingi zipo kwasababu zina wanawake wavumilivu wa maumivu mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jesus!! Mkipendwa ndio mwawaita wenzenu kupe!! Haki hizi ndoa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Umeshaona kwa nini niko kwenye uchumba sugu eehhh!Au masai dada ulifosi hiyo ndoa?, seems jamaa hana mapenzi na wewe kabisa. Kipindi fulani ulikuwa so desperate na ndoa, anyways pole sana!!
Dah inauma Sana!Afu bora mru awe mbali akiwa karibu unakua unahamu afu yeye hana mpango
Haijalishi upo kwenye uchumba mda gani, ndoa ina changamoto kama zilivyo changamoto nyingine nyingi katika maisha.Umeshaona kwa nini niko kwenye uchumba sugu eehhh!
Wanaume huwa mnadai wakati wa kuchagua wa kuoa ndio huwa mnatumia akili sana, sasa haya mambo ya kufosiwa sijawahi kuyaelewa haki!!!Au masai dada ulifosi hiyo ndoa?, seems jamaa hana mapenzi na wewe kabisa. Kipindi fulani ulikuwa so desperate na ndoa, anyways pole sana!!
Ndio changamoto zipo, lakini uhalisia wa mtu haujifichi, ndani ya muda uhalisia utaonekana tuu!! Kuna yanayorekebika na kuna yanayoshindikana! Kwa nini uone yapo yanayoshindikana halafu niweke miguu yote miwili!! Nitakupa kadi kaka!!Haijalishi upo kwenye uchumba mda gani, ndoa ina changamoto kama zilivyo changamoto nyingine nyingi katika maisha.
Kwanza unafosiwa vipi?!Wanaume huwa mnadai wakati wa kuchagua wa kuoa ndio huwa mnatumia akili sana, sasa haya mambo ya kufosiwa sijawahi kuyaelewa haki!!!
Zipo scenario nyingi, haya mambo yapo complicated sana. Kuna watu wanaoa/wanaolewa kwa huruma tu, mwingine anaingia kwa ndoa kisa tu mwenzake kashika ujauzito.Wanaume huwa mnadai wakati wa kuchagua wa kuoa ndio huwa mnatumia akili sana, sasa haya mambo ya kufosiwa sijawahi kuyaelewa haki!!!
Naisubiri sana kadi yangu, in fact kadi zote mbili. Ilà ndoa imekuwa sehemu yenye changamoto kubwa sana kwa sasa...Ndio changamoto zipo, lakini uhalisia wa mtu haujifichi, ndani ya muda uhalisia utaonekana tuu!! Kuna yanayorekebika na kuna yanayoshindikana! Kwa nini uone yapo yanayoshindikana halafu niweke miguu yote miwili!! Nitakupa kadi kaka!!
Happy New year kaka kipenzi!
Yaani acha tu!!Kwanza unafosiwa vipi?!
Anakuteka?! Mpaka vikao vya harusi vifanyike yeye bado kafosiwa tuu!
Kadi mbili na ya nani eti jamani kaka! Nitakuletea mkono kwa mkono nasubiria kwanza binti amalize chuo aweze kujitegemea asije kuanza kulala na babake buree akija kututembelea.Naisubiri sana kadi yangu, in fact kadi zote mbili. Ilà ndoa imekuwa sehemu yenye changamoto kubwa sana kwa sasa...
Kadi ya mchango na ya mwaliko. Hahaha, huyo binti hataruhusiwa kulala na nyie, utakosa haki yako kisa binti kweli? Lakini naamini two weeks kwako sio shida mdogo wangu[emoji23][emoji23]Kadi mbili na ya nani eti jamani kaka! Nitakuletea mkono kwa mkono nasubiria kwanza binti amalize chuo aweze kujitegemea asije kuanza kulala na babake buree akija kututembelea
Natamani nifikie hali ya kutokujali kabisa...natamani niwe hivyiMpuuze jitahidi sana hili itakusaidia kupunguza presha msongo wa mawazo na sonona
Punguza kudeka labda ni vile bado uko mchanga kwenye ishu za ndoa
Hongera bado unakaupendo kwa mumeo wengine tumepoa kuzidi na barafu sababu ya maudhi
Pambana upate tuhela twako mamii hapa tupatilie sana mkazo wanawake wote
Hukukosea kukopa na kujenga nae ila kakuonyesha alivyo mbinafsi, umejifunza kitu fanya kama uliwekeza kwenye biashara ukala hasara yani usiumie kabisaaa
Uzuri umemjua bado hujamzalia watoto wengi,, hivyo usizae nae mtoto mwingine jipe muda hata wa miaka 3
Shemeji ni furushi anajisemeaga shosti yangu mmoja humu unambembeleza na kumpa k anajitia nunda,, ana mchepuko piga ua anao
Mpaka najisikia kuumia maana upo katika hali ya kutoka kwenye uwife material na utaingia kwenye ununda tuliopo wengine kina sie hahahahahah
Hakuna mwanamke mbaya kama aliyejeruhiwa kihisia sababu sie tukipoa tunapoa kweli hata ulete busta dunia nzima hisia zikifa zimekufa kuzifufua ni mtihani mzito,, na mbaya ni mumeo tu ndo mwenye uwezo wa kuzuia hali hiyo lakini kwa vile ni lifurushi nakuhakikishia muda si mrefu hisia ulizonazo kwake zitapoa na zikipoa hutaumizwa na kauli yake yoyote hapa ndipo utaweza kupuuza,,
Ndoa ni ngumu si nyepesi kuna siku wanandoa mnakuwa km kaka na dada, kuna siku mnakua km majirani kuna siku maadui kabisa na kuna siku mnakuwa marafiki
Mwisho kabisa nawatakia heri ya mwaka mpya wote mnipendao notification zenu nimeziona mapendo yenu nimeyaona sitaweza kutaja wote, sakayo jael heavensent depal nimewamiss sana sana
Aisee hao ndugu zake watanitoa roho