Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Haijalishi upo kwenye uchumba mda gani, ndoa ina changamoto kama zilivyo changamoto nyingine nyingi katika maisha.
Ndio changamoto zipo, lakini uhalisia wa mtu haujifichi, ndani ya muda uhalisia utaonekana tuu!! Kuna yanayorekebika na kuna yanayoshindikana! Kwa nini uone yapo yanayoshindikana halafu niweke miguu yote miwili!! Nitakupa kadi kaka!!

Happy New year kaka kipenzi!
 
Wanaume huwa mnadai wakati wa kuchagua wa kuoa ndio huwa mnatumia akili sana, sasa haya mambo ya kufosiwa sijawahi kuyaelewa haki!!!
Zipo scenario nyingi, haya mambo yapo complicated sana. Kuna watu wanaoa/wanaolewa kwa huruma tu, mwingine anaingia kwa ndoa kisa tu mwenzake kashika ujauzito.

Lakini pia binadamu kama kiumbe mwingine tu anabadilika, huenda huyo jamaa kabadilika, na sababu za kubadilika pia ni nyingi. You don't just conclude based on one argument.
 
Ndio changamoto zipo, lakini uhalisia wa mtu haujifichi, ndani ya muda uhalisia utaonekana tuu!! Kuna yanayorekebika na kuna yanayoshindikana! Kwa nini uone yapo yanayoshindikana halafu niweke miguu yote miwili!! Nitakupa kadi kaka!!

Happy New year kaka kipenzi!
Naisubiri sana kadi yangu, in fact kadi zote mbili. Ilà ndoa imekuwa sehemu yenye changamoto kubwa sana kwa sasa...
 
Mpuuze jitahidi sana hili itakusaidia kupunguza presha msongo wa mawazo na sonona

Punguza kudeka labda ni vile bado uko mchanga kwenye ishu za ndoa

Hongera bado unakaupendo kwa mumeo wengine tumepoa kuzidi na barafu sababu ya maudhi

Pambana upate tuhela twako mamii hapa tupatilie sana mkazo wanawake wote

Hukukosea kukopa na kujenga nae ila kakuonyesha alivyo mbinafsi, umejifunza kitu fanya kama uliwekeza kwenye biashara ukala hasara yani usiumie kabisaaa

Uzuri umemjua bado hujamzalia watoto wengi,, hivyo usizae nae mtoto mwingine jipe muda hata wa miaka 3

Shemeji ni furushi anajisemeaga shosti yangu mmoja humu unambembeleza na kumpa k anajitia nunda,, ana mchepuko piga ua anao

Mpaka najisikia kuumia maana upo katika hali ya kutoka kwenye uwife material na utaingia kwenye ununda tuliopo wengine kina sie hahahahahah

Hakuna mwanamke mbaya kama aliyejeruhiwa kihisia sababu sie tukipoa tunapoa kweli hata ulete busta dunia nzima hisia zikifa zimekufa kuzifufua ni mtihani mzito,, na mbaya ni mumeo tu ndo mwenye uwezo wa kuzuia hali hiyo lakini kwa vile ni lifurushi nakuhakikishia muda si mrefu hisia ulizonazo kwake zitapoa na zikipoa hutaumizwa na kauli yake yoyote hapa ndipo utaweza kupuuza,,
Ndoa ni ngumu si nyepesi kuna siku wanandoa mnakuwa km kaka na dada, kuna siku mnakua km majirani kuna siku maadui kabisa na kuna siku mnakuwa marafiki

Mwisho kabisa nawatakia heri ya mwaka mpya wote mnipendao notification zenu nimeziona mapendo yenu nimeyaona sitaweza kutaja wote, sakayo jael heavensent depal nimewamiss sana sana
 
Kadi mbili na ya nani eti jamani kaka! Nitakuletea mkono kwa mkono nasubiria kwanza binti amalize chuo aweze kujitegemea asije kuanza kulala na babake buree akija kututembelea
Kadi ya mchango na ya mwaliko. Hahaha, huyo binti hataruhusiwa kulala na nyie, utakosa haki yako kisa binti kweli? Lakini naamini two weeks kwako sio shida mdogo wangu[emoji23][emoji23]
 
Mpuuze jitahidi sana hili itakusaidia kupunguza presha msongo wa mawazo na sonona

Punguza kudeka labda ni vile bado uko mchanga kwenye ishu za ndoa

Hongera bado unakaupendo kwa mumeo wengine tumepoa kuzidi na barafu sababu ya maudhi

Pambana upate tuhela twako mamii hapa tupatilie sana mkazo wanawake wote

Hukukosea kukopa na kujenga nae ila kakuonyesha alivyo mbinafsi, umejifunza kitu fanya kama uliwekeza kwenye biashara ukala hasara yani usiumie kabisaaa

Uzuri umemjua bado hujamzalia watoto wengi,, hivyo usizae nae mtoto mwingine jipe muda hata wa miaka 3

Shemeji ni furushi anajisemeaga shosti yangu mmoja humu unambembeleza na kumpa k anajitia nunda,, ana mchepuko piga ua anao

Mpaka najisikia kuumia maana upo katika hali ya kutoka kwenye uwife material na utaingia kwenye ununda tuliopo wengine kina sie hahahahahah

Hakuna mwanamke mbaya kama aliyejeruhiwa kihisia sababu sie tukipoa tunapoa kweli hata ulete busta dunia nzima hisia zikifa zimekufa kuzifufua ni mtihani mzito,, na mbaya ni mumeo tu ndo mwenye uwezo wa kuzuia hali hiyo lakini kwa vile ni lifurushi nakuhakikishia muda si mrefu hisia ulizonazo kwake zitapoa na zikipoa hutaumizwa na kauli yake yoyote hapa ndipo utaweza kupuuza,,
Ndoa ni ngumu si nyepesi kuna siku wanandoa mnakuwa km kaka na dada, kuna siku mnakua km majirani kuna siku maadui kabisa na kuna siku mnakuwa marafiki

Mwisho kabisa nawatakia heri ya mwaka mpya wote mnipendao notification zenu nimeziona mapendo yenu nimeyaona sitaweza kutaja wote, sakayo jael heavensent depal nimewamiss sana sana
Natamani nifikie hali ya kutokujali kabisa...natamani niwe hivyi
 
Watu mnao zaa zaa hovyo kama nguruwe, both wanawake na wanaume huwa mnawapa shida na kuwanyanyasa sana wenzenu mnapowalazimisha kuwapenda hao watoto kama waliwazaa wao.

Wewe muachie yeye ataamua kuwapenda watoto kwa kiwango gani mradi tu hawanyanyasi, kuanza kumpangia aishi vipi na watoto huko ni kumnyanyasa mwenzako na kumfanya akose amani bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom