Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Aisee..Pole sana mtanzania mwenzangu.
Kabla ya ushauri ..acha nitoe povu kwanza maana nimejaribu kuwaweka wale wanangu wawil wa kike kwenye position yako ikitokea wameolewa, ahaah aisee, nikijua wanafanyiwa unyama huo aiseee ..acha nimeze maneno.
Ndoa,!!! Yan mtu ukajitoe thaman na kukubali kugeuza ur worthy and valuable life to a hell fire kisa ndoa sijui unampenda mtu na blah blah zingine.kisa ndoa. Come one hiyo sio sawa..
Ukamng'ang'anie mtu ambae hata hakupendii..Ww na watoto maana kakutamkia wazi seriously, na bado unapoteza muda wako hapo..No no no!!!!
Hayo sio mapenzi.
Afya yako ya akil na utulivu wa mind yako ni muhim sana sio kwako tu bal hata kwa malezi ya wanao..
Why risk dat much kwa jitu ambalo hata halikupendi aisee.eti "nyumba hii haiwahusu" seriously na umewekeza pesa yako hapo.
Acha wanawake watunyooshe kumbe sometimes tunawaonea isivyo stahil.
I can imagine, hiyo situation ndio ingekua inatokea kwenye ndoa yangu, wife asingekua hivyo ulivyo ww..Hata kidogo..i know her..hana upuuzi kwenye mambo ya kijinga hayo.Tungekua tushafika mbalii .
Anyway, nadhan ni moja ya hasara za kuolewa na wanaume waliowazid sanaa umri.Wanawa treat kama watoto wao wa kike wakiamua.Na nyie mnawaogopa kama baba zenu..
hayo ndio yangu ya moyoni.
Kwa ushauri ule wa kinafki nitakuja na ID nyingine.
SINGLE FATHER KAZUA BALAA..