Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
What did you do?[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
To be honest he made up time for me later on.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To be honest he made up time for me later on.
Heri ya mwaka wandugu.
Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.
Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.
Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).
Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.
Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.
Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.
Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.
Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.
So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.
Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)
Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.
Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"
Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.
Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.
Angaika pale akafanya yake, akaondoka.
Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.
Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"
Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.
Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.
Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu
Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.
Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.
Nimelia mpaka nahisi kuumwa.
Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.
Ndio mkuu anaenda mwanaume kununua kila kitu sokoni lengo lake mkewe asiwe na hela! Kuna baadhi ya wanawake wanapitia wakati mgumu sana kwenye ndoa.
Binti Kiziwi nakuelewa sana ulichokiandika lakini practically hatuendi hivyo! Ndoa ni ngumu na huo uzungu wako kwenye ndoa wengi hawaufuati usimshauri mwenzio hilo. Do you know how difficulty to get divorce paper in Tanzania? Without it will you be free and happy!? tatizo la ndoa la huyu mdada ni dogo sana, ameolewa na mtu mbinafsi na ninahisi mumewe bado ajaacha ujana ndo maana anam treat unfairly mkewe! Baadhi ya wanaume wakipendwa wanakuona mjinga that’s maturity, as time goes on huyo mwanaume ataelewa thamani ya mkewe! Mimi simshauri aachane na mumewe!Kuna watu na comments zao eti “endelea kumpenda huyo ni mumeo” am being like WTF! Hivi mnajua hata mliletwa ulimwenguni kufanya nini nyie watu? Mnaijua thamani yenu kweli?! Is it necessary kuji attach kwa mtu ndio ukamilike? Can’t you guys stand on your own!? Yaani mtu unavumilia ujinga wiki ya kwanza, ya pili, mwezi, mwaka, mwaka wa pili, wa tano!!!!!!! Wait hebu tuambie labda kuna taji huko mbeleni mtavikwa au?
Kwanini mnamshauri mwenzenu aendelee kuvumilia mateso, kuna guarantee ipi kuwa mumewe atabadilika anytime soon, na akichelewa kubadilika damage inayotokea kwa huyu dada mtai repair ninyi? Jitahidi basi kuwa serious, ifike muda watu tufundishwe ndoa ninini na kila mtu awe na mipaka yake. Tatizo Africa hakuna genuine reasons za watu kuoana, sababu za ajabu kabisa hupelekea watu kujikuta wameoana. Ndoa nyingi zipo juu ya mawe hawasemi tu, wapo kimya kama hamna kinachotokea.
Watu yapaswa waoane kwasababu tu wanapendana na siku upendo ukiisha ni ruhusa na busara kutengana kuliko kuchapana matukio mwisho muuane!
Ndoa ni nzuri, kutokuwa ndoani pia ni kuzuri , its all about peace and being happy. Dear young girls stick on your standards, don't lower your standars, wait for the right time with right man its real worth it and while your waiting invest on yourself. Wasichana msiyumbishwe na makelele ya patriarchal societies ohh mara unazeeka mara atakuoa nani ohh mara utaishia kuwa single mother na blah blah zingine, learn to think independently, jichagulieni aina ya maisha mngependa muishi, binafsi nilishamwambia tena na tena akijaribu kufanya ujinga My happiness can’t be compromised, najua nini nataka katika haya maisha kama hawezi nipa/ nisaidia nipate i’m better off!
Nimesoma comments nikagundua wengi wamezoea manyanyaso na wengine wamezoea kunyanyasa, laiti mngejua maisha yalivyo matamu na mafupi nyie watu msingekubali kabisa mtu akuchukulie muda wako autumie kwa mambo yakipuuzi!
Nianzie hapa hapa kukujibu. Mm kama mwanaume matured. Mwenye matatizo ni Masai Dada. Ana wivu, ni mchoyo, ila sio mbinafsi, hayuko serious, hayuko focused hapa bila kuambiana ukweli haitasaidia.Acha tu.
Mwenzetu yamemkuta kaanza vibaya hana sh mia na anadaiwa rejesho la riba, dudu pia hapati na mume anamsakama tunamsaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Masai Dada!Heri ya mwaka wandugu.
Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.
Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.
Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).
Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.
Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.
Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.
Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.
Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.
So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.
Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)
Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.
Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"
Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.
Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.
Angaika pale akafanya yake, akaondoka.
Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.
Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"
Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.
Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.
Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu
Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.
Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.
Nimelia mpaka nahisi kuumwa.
Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.
Nawashukuru sana nyote kwa ushauri wenu.
Nimepata homa kali sana jana imeniletea kitapika na mwili wote kuchoka.ndo nimeshindwa kujibu coment zenu ila nawashukuru sana
Yaani shida iliyopo hapo ni kubwa sana dada yangu ndiyo maana anakupa majibun hayo ya kijeuri. Kuna kitu nyuma ya panzia ambacho wewe unajua au hujui. na kubwa katika yote ni mahusiano ya pembeni na mwanamke mwingine au mama mtoto waki na hiyo ndiyo sababau ya kuku ignore wewe na kukupa majibu makavu hivyoUnajua watu jf wanafikirigi watu wengine wanaletaga stor ila aisee kuna point mtu unafikia unahitaji msaada kabisaa
Yaani natamani ni attach sms moja hapa ila aia maana
Maana mimi nilimwambia sipendi haya maisha ya manyanyaso kwangu akasema
Haya maisha wewe ndo utakaeumia maana mimi siumiagi nadhani unajua hilo
Yaani nikajiuliza kuna mtu duniani asiemia kwa namna yoyote?
Poole sana, ila nahisi kuna kitu ulishamkosea. Naye angepata fursa ya kuandika hapa makosa yako lazima tungejua nani mbaya.Heri ya mwaka wandugu.
Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.
Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.
Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).
Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.
Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.
Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.
Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.
Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.
So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.
Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)
Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.
Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"
Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.
Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.
Angaika pale akafanya yake, akaondoka.
Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.
Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"
Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.
Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.
Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu
Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.
Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.
Nimelia mpaka nahisi kuumwa.
Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.
Stockholm syndrome dear..wengi wanaumwa.Kuna watu na comments zao eti “endelea kumpenda huyo ni mumeo” am being like WTF! Hivi mnajua hata mliletwa ulimwenguni kufanya nini nyie watu? Mnaijua thamani yenu kweli?! Is it necessary kuji attach kwa mtu ndio ukamilike? Can’t you guys stand on your own!? Yaani mtu unavumilia ujinga wiki ya kwanza, ya pili, mwezi, mwaka, mwaka wa pili, wa tano!!!!!!! Wait hebu tuambie labda kuna taji huko mbeleni mtavikwa au?
Kwanini mnamshauri mwenzenu aendelee kuvumilia mateso, kuna guarantee ipi kuwa mumewe atabadilika anytime soon, na akichelewa kubadilika damage inayotokea kwa huyu dada mtai repair ninyi? Jitahidi basi kuwa serious, ifike muda watu tufundishwe ndoa ninini na kila mtu awe na mipaka yake. Tatizo Africa hakuna genuine reasons za watu kuoana, sababu za ajabu kabisa hupelekea watu kujikuta wameoana. Ndoa nyingi zipo juu ya mawe hawasemi tu, wapo kimya kama hamna kinachotokea.
Watu yapaswa waoane kwasababu tu wanapendana na siku upendo ukiisha ni ruhusa na busara kutengana kuliko kuchapana matukio mwisho muuane!
Ndoa ni nzuri, kutokuwa ndoani pia ni kuzuri , its all about peace and being happy. Dear young girls stick on your standards, don't lower your standars, wait for the right time with right man its real worth it and while your waiting invest on yourself. Wasichana msiyumbishwe na makelele ya patriarchal societies ohh mara unazeeka mara atakuoa nani ohh mara utaishia kuwa single mother na blah blah zingine, learn to think independently, jichagulieni aina ya maisha mngependa muishi, binafsi nilishamwambia tena na tena akijaribu kufanya ujinga My happiness can’t be compromised, najua nini nataka katika haya maisha kama hawezi nipa/ nisaidia nipate i’m better off!
Nimesoma comments nikagundua wengi wamezoea manyanyaso na wengine wamezoea kunyanyasa, laiti mngejua maisha yalivyo matamu na mafupi nyie watu msingekubali kabisa mtu akuchukulie muda wako autumie kwa mambo yakipuuzi!
Daaaaahh umeongea kwa hisia Sana hadi nimeumia kwa kweli pole Sana Dada angu
Ninacho weza kukwambia ni kwamba huyo ni mmeo hivyo usifikilie kumsaliti ila fikilia kumuweka karbu Zaid na Zaid haijalishi itakugarimu kiasi gani kwauda wako na kwa hisia zako but hakikisha una fanikiwa katika hili
Unaweza kuomba nafasi ya kutoka out ukiwa wewe na yeye tu hapo nenda kamuoneshe jinsi gani una mpenda na hauko tayar kumpoteza mpe mapenzi kwa hisia za ndani Sana shoe him how worth he is then baada ya yote mwambie you need a peaceful life na yeye ndie mwenye peaceful life kwako hivyo asikuumize tena
Pia katika out yenu akiwa kwenye mudi nzuri ongea nae juu ya future yenu kuhusu mwanao na huyo na mwanae yule mwambie wote ni wake na wote wanajua yeye kama baba yao hakuna mwingine Zaid yake hivyo ni bora kujenga future sawa kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi msaliti huko nyuma? Ulimfanyia au ulimuonyesha dharau au kiburi Maana wanaume tunatunza kumbukumbu hata miaka hamsini ya usaliti.