Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Poole sana, ila nahisi kuna kitu ulishamkosea. Naye angepata fursa ya kuandika hapa makosa yako lazima tungejua nani mbaya.

Ila nachojua mwanaume mpaka kadiriki kufunga ndoa na wewe na akakuweka ndani, ujue alikupenda kwa dhati, ila kuna mahali pengine ulimkosea, kama sio wewe basi itakuwa mama mkwe wako anahusika, na kama si hivo basi kuna nguvu za giza.

Ila mi nilimpenda saana mke wangu nikamfungulia kila aina ya biashara zinafirisika tu, nikampa mtaji unakwisha tu, na mbaya zaidi hajawahi kuonyesha upendo wa dhati kwangu (hajawahi kuwa romantic), na mpaka sasa nampenda. Nimezaa naye watoto watatu wote wanasoma private schools.

Ki ukweli ananitesa saana, namvumilia tu kwa kuwa wanangu sipendi waje walelewe na mama wa kambo kwani wanaweza athirika kisaikolojia.

Nimetokea kuwachukia sana wanawake, siwezi kuwatetea hata kidogo, mke wangu anatumia fursa ya mimi kuwajali wanangu kunitesa na kuishi anavyotaka. Hivi naandika ujumbe huu nikiwa nimejilaza kitandani asbh hii nina mawazo sana huku nimenyimwa unyumba, nikaona bora niingie Jf kuperuzi nakutana tena na hii mada.

Siku nikimaliza majukum kwa wanangu na ishu zingine ndgndg hapa hom hakika naye atajuta. Atakuja kuandika hapa Jf kutaka huruma ya wanazego. Wanawake mnakera sana bhaana, siku janaume likifanya maamuzi magumu mnakimbilia jamii forum kutafuta huruma.

Pambaneni na madhambi yenu, ila samahani kama wee hauko hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema wanawake tunakera vipi mleta mada angesema wanaume wanakera?!

Sema mkeo anakera, usiunganishe wengine kwa madhaifu ya mkeo! Kila mtu ana mapungufu yake na tunatofautiana!
 
Wewe unapenda usipopendwa, alafu mwanaume alishakuonyesha tabia za ajabu toka mwanzo (mlivyonuniana hadi kwenye kufunga ndoa mkasemeshana muda wa kuvishana pete) tatizo wanawake tunapenda kujidanganya kwamba atabadilika akinioa, kumbe tunabeba mabomu ambayo ndio km ilo lako!

Fanya maamuzi ambayo moyo wako utakuwa na amani na kuanza mwanzo si ujinga kuliko kukaa na mtu km upo jehanamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poole sana, ila nahisi kuna kitu ulishamkosea. Naye angepata fursa ya kuandika hapa makosa yako lazima tungejua nani mbaya.

Ila nachojua mwanaume mpaka kadiriki kufunga ndoa na wewe na akakuweka ndani, ujue alikupenda kwa dhati, ila kuna mahali pengine ulimkosea, kama sio wewe basi itakuwa mama mkwe wako anahusika, na kama si hivo basi kuna nguvu za giza.

Ila mi nilimpenda saana mke wangu nikamfungulia kila aina ya biashara zinafirisika tu, nikampa mtaji unakwisha tu, na mbaya zaidi hajawahi kuonyesha upendo wa dhati kwangu (hajawahi kuwa romantic), na mpaka sasa nampenda. Nimezaa naye watoto watatu wote wanasoma private schools.

Ki ukweli ananitesa saana, namvumilia tu kwa kuwa wanangu sipendi waje walelewe na mama wa kambo kwani wanaweza athirika kisaikolojia.

Nimetokea kuwachukia sana wanawake, siwezi kuwatetea hata kidogo, mke wangu anatumia fursa ya mimi kuwajali wanangu kunitesa na kuishi anavyotaka. Hivi naandika ujumbe huu nikiwa nimejilaza kitandani asbh hii nina mawazo sana huku nimenyimwa unyumba, nikaona bora niingie Jf kuperuzi nakutana tena na hii mada.

Siku nikimaliza majukum kwa wanangu na ishu zingine ndgndg hapa hom hakika naye atajuta. Atakuja kuandika hapa Jf kutaka huruma ya wanazego. Wanawake mnakera sana bhaana, siku janaume likifanya maamuzi magumu mnakimbilia jamii forum kutafuta huruma.

Pambaneni na madhambi yenu, ila samahani kama wee hauko hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchukue Masai dada mkae mahali patulivu muongelee changamoto zenu kwa kina mnaweza kupata ufumbuzi.....ila inauma mnara unasoma 6G alafu simu inazingua kuwaka[emoji16][emoji16] pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema wanawake tunakera vipi mleta mada angesema wanaume wanakera?!

Sema mkeo anakera, usiunganishe wengine kwa madhaifu ya mkeo! Kila mtu ana mapungufu yake na tunatofautiana!
Mh!....
 
Umetuchamba mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] vice versa is true
Poole sana, ila nahisi kuna kitu ulishamkosea. Naye angepata fursa ya kuandika hapa makosa yako lazima tungejua nani mbaya.

Ila nachojua mwanaume mpaka kadiriki kufunga ndoa na wewe na akakuweka ndani, ujue alikupenda kwa dhati, ila kuna mahali pengine ulimkosea, kama sio wewe basi itakuwa mama mkwe wako anahusika, na kama si hivo basi kuna nguvu za giza.

Ila mi nilimpenda saana mke wangu nikamfungulia kila aina ya biashara zinafirisika tu, nikampa mtaji unakwisha tu, na mbaya zaidi hajawahi kuonyesha upendo wa dhati kwangu (hajawahi kuwa romantic), na mpaka sasa nampenda. Nimezaa naye watoto watatu wote wanasoma private schools.

Ki ukweli ananitesa saana, namvumilia tu kwa kuwa wanangu sipendi waje walelewe na mama wa kambo kwani wanaweza athirika kisaikolojia.

Nimetokea kuwachukia sana wanawake, siwezi kuwatetea hata kidogo, mke wangu anatumia fursa ya mimi kuwajali wanangu kunitesa na kuishi anavyotaka. Hivi naandika ujumbe huu nikiwa nimejilaza kitandani asbh hii nina mawazo sana huku nimenyimwa unyumba, nikaona bora niingie Jf kuperuzi nakutana tena na hii mada.

Siku nikimaliza majukum kwa wanangu na ishu zingine ndgndg hapa hom hakika naye atajuta. Atakuja kuandika hapa Jf kutaka huruma ya wanazego. Wanawake mnakera sana bhaana, siku janaume likifanya maamuzi magumu mnakimbilia jamii forum kutafuta huruma.

Pambaneni na madhambi yenu, ila samahani kama wee hauko hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sister nakosa hata cha kushauri, ngoja nile pozi kwanza
Heri ya mwaka wandugu.

Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.

Watu wengi walionishauri walisema ongea na mume wako moja kwa moja aisee ile siku najuta kwanini niliongea naye kwa uchungu sana, maana aliniambia mama yangu anakuja December kukutoa. Kwa hasira nikamjibu sitoki akasema "Hii nyumba haikuhusu, inamhusu mwanangu" ambaye sio mtoto wangu ni mtoto wake aliyemzaa kabla hatujafunga ndoa.

Ki ukweli roho iliniuma maana hii nyumba pia mimi nilikopa na ni pesa nyingi bado napambana riba. Baada ya ile siku niliona isiwe shida; zile ni hasira nikajirudi maisha yakaenda. Ila katika ushauri pia kuna member aliniambia jitahidi kumuweka karibu na mwanaye huyo (E).

Kweli nikamwambia likizo hii kamlete walau akae wiki kadhaa akamshawishi mama ake kweli mama yake akakubali mtoto akaja. Ki ukweli mtoto ni mtulivu sana, yaani ni rahisi mno kuishi naye. Yaani ni mpole mpaka raha, nilimpendaga tangu hapo lakini ni wa kike.

Sasa wakati amekuja kuna kitanda nilishamuandaliaga siku nyingi ila alitokea mgeni tukakifungua tukakiamishia chumba cha wanaume. Alivyokuja mchana nikamwambia mume wangu nisaidie tuhamishe hiki kitanda chumba cha dada
akajibu haina haja nitalala naye mimi. Kumbuka chumbani kwetu kuna vitanda viwili, kimoja cha mtoto wangu wa 2yrs bado ananyonya so huwaga nanyonyesha namlaza nahamia kitanda kingine, hiki chetu sasa.

Sasa wakati kaniambia vile nikamwambia huyu binti mkubwa hivyo tutalala naye vipi? Anaendea 7yrs. Ki ukweli haikuwa kwa ubaya kabisa ila hata katika hali ya kawaida ni ngumu; alibadilika sura pale ikabidi niwe mpole.

Kweli usiku ukaingia binti akaanza kulala na baba ake kwenye kile kitanda. Usiku wake mpaka niliota mandoto ya ajabu maana nilikuwa nawatizama tu, sikulala ki ukweli.

Ni kama wiki hivi tupo naye. So mimi nina maugwadu kama yote maana wiki ile nilikua period na hii tangu majuzi ndiyo dogo tunapoa naye rum. Mi nikawa namuonesha ishara tuingie hata chooni, anani-ignore.

So jana anacheki mpira watoto wanachenza nje nikamfata nikamwambia twende chumbani nikamwambie kitu, aliniangalia kabisa akagoma. Nikasema ngoja mpira uishe aisee hakuja, niliumia jana sana. Sema nikapotezea kiutu uzima. Ki ukweli dogo huyu wa kike namkubali sana aisee so nikasema ngoja nimute nijikaze mpaka nione mambo yatakavyojipambanua.

Leo asubuhi madogo kama kawa wakaamka wakasepa tukawa tumebaki wawili tu chumbani, akanifata kwenye kitanda changu; ki ukweli sikua hata na hamu kabisa maana nilishaishiwa na nguvu tangu majuzi huko. Nikamwambia tu ukweli tangu juzi nakubembeleza unanitolea nje (kiutani ila siriaz)

Nikamwambia tumuandalie kitanda cha dogo cha pamanent kwa dada maana huwa anakuja weekend sometimes ila huwa halali, ili hili lisitokee. Nikawa naendelea kumwambia, nikamwambia nilim-miss hatari.

Nikiri Mungu ananiona japo nina ID fake niliongea hilo bila chuki yoyote ila bila kutarajia akaniambia "HATAKUJA TENA ILI ASIKUSUMBUE"

Aisee maini yalikatika, daah moyo uliniuma nikakosa hata cha kuongea. Nikamwambia jamani ita hata mtu mzima kweli ni haki wewe kulala na binti mkubwa hivi kitanda kimoja, hakunijibu akaendelea kunipapasa.

Aiseee sikuloa hata chembe, nilikuwa mkavu wakati nina ugwadu kama wa 2wks na hii ni hilo neno liliniumiza sana. Ukicheki huyu binti nampenda namnunuliaga mazaga hadi mama ake ananikubali.

Angaika pale akafanya yake, akaondoka.

Kiukweli nikamtext kwamba najihisi mpweke kwenye hii ndoa.

Pale tuli-exchange texts kadhaa ila nikamwambia najuta kwa nini nilikopa nikaweka katika hii nyumba na siyo kwa sababu ulisema hii nyumba hainihusu, bali ni kwakua sina hata shilingi na unaninyanyasa kihisia namna hii. Akaniambia "Ndiyo nishakwambia haikuhusu, inamuhusu mwanangu mkubwa"

Nikamjibu sasa mimi na mwanangu twende wapi? Akasema omba Mungu nipate hela nitamjengea yeye ila jua hiyo nyumba haiwahusu.

Wakuu, kuna mengi hapo nayaskip, ila hii nyumba nimekopa kiasi cha pesa nikampa bado napambana na riba
Lakini kingine huyu ni mume wa ndoa kabisa.

Nakatwa kiasi kikubwa cha pesa kulipa ule mkopo na nilikuwa na biashara mwezi wa 11 walikuwa wanatengeneza ile barabara pale imeathiri hadi huo mradi. So namtegemea kwa kila kitu kwa sasa. Sitaki kufaiti kwa chochote nahitaji kuanza upya wakuu

Am soo scared nahisi naweza kuumia nikiendelea au kumuumiza mwanangu maana sijawaigi kuona ule upendo wa dhati kwa huyo dogo kutoka kwake japo wanafanana utafikiri wa mama mmoja. Sina namna yoyote ya kuanza upya ila natamani nianze upya niachane na hii nightmare.

Sina mia na sina chochote kile na ndo amepata point ya kunipiga vizuri. Kwa kifupi mwanangu nimepambana naye tangu hajazaliwa; nikielezea hili itachukua mada nzima.

Nimelia mpaka nahisi kuumwa.

Nisaidieni wakuu. Nikiri pamoja na changamoto zote sijawahi msaliti mune wangu hata tone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu na comments zao eti “endelea kumpenda huyo ni mumeo” am being like WTF! Hivi mnajua hata mliletwa ulimwenguni kufanya nini nyie watu? Mnaijua thamani yenu kweli?! Is it necessary kuji attach kwa mtu ndio ukamilike? Can’t you guys stand on your own!? Yaani mtu unavumilia ujinga wiki ya kwanza, ya pili, mwezi, mwaka, mwaka wa pili, wa tano!!!!!!! Wait hebu tuambie labda kuna taji huko mbeleni mtavikwa au?

Kwanini mnamshauri mwenzenu aendelee kuvumilia mateso, kuna guarantee ipi kuwa mumewe atabadilika anytime soon, na akichelewa kubadilika damage inayotokea kwa huyu dada mtai repair ninyi? Jitahidi basi kuwa serious, ifike muda watu tufundishwe ndoa ninini na kila mtu awe na mipaka yake. Tatizo Africa hakuna genuine reasons za watu kuoana, sababu za ajabu kabisa hupelekea watu kujikuta wameoana. Ndoa nyingi zipo juu ya mawe hawasemi tu, wapo kimya kama hamna kinachotokea.

Watu yapaswa waoane kwasababu tu wanapendana na siku upendo ukiisha ni ruhusa na busara kutengana kuliko kuchapana matukio mwisho muuane!

Ndoa ni nzuri, kutokuwa ndoani pia ni kuzuri , its all about peace and being happy. Dear young girls stick on your standards, don't lower your standars, wait for the right time with right man its real worth it and while your waiting invest on yourself. Wasichana msiyumbishwe na makelele ya patriarchal societies ohh mara unazeeka mara atakuoa nani ohh mara utaishia kuwa single mother na blah blah zingine, learn to think independently, jichagulieni aina ya maisha mngependa muishi, binafsi nilishamwambia tena na tena akijaribu kufanya ujinga My happiness can’t be compromised, najua nini nataka katika haya maisha kama hawezi nipa/ nisaidia nipate i’m better off!

Nimesoma comments nikagundua wengi wamezoea manyanyaso na wengine wamezoea kunyanyasa, laiti mngejua maisha yalivyo matamu na mafupi nyie watu msingekubali kabisa mtu akuchukulie muda wako autumie kwa mambo yakipuuzi!
Samahani Kama nitakukwaza mkuu, laiti ya kwamba wewe ndio ungekuwa dada au ndugu wa karibu hiyo ndoa ingekuwa imeshavunjika. Ndugu wengi (hasa wanawake) wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja.

Nakushauri Kama una ndugu ana matatizo au itatokea ana matatizo ya ndoa tafdhali kwepa kumpa ushauri. You're too emotional!
 
Kuwa na amani hauwezi kunikwaza, Wala sipo emotional, nafikiria sawasawa tu, malalamiko ya masai dada hayajaanza kuletwa humu leo, unlike others mimi sio mnafiki na siwezi kuwa.

Btw hakuna aliyejibu maswali yangu hapo juu, mnataka huyu dada ayavumulie haya mpaka lini? Ofcourse mi huwa sishauri watu waachane huwa nawashauri watu watengane kwa muda, atakayeiona thamani ya mwenzie atatafuta suluhu mapema sana.
 
Poole sana, ila nahisi kuna kitu ulishamkosea. Naye angepata fursa ya kuandika hapa makosa yako lazima tungejua nani mbaya.

Ila nachojua mwanaume mpaka kadiriki kufunga ndoa na wewe na akakuweka ndani, ujue alikupenda kwa dhati, ila kuna mahali pengine ulimkosea, kama sio wewe basi itakuwa mama mkwe wako anahusika, na kama si hivo basi kuna nguvu za giza.

Ila mi nilimpenda saana mke wangu nikamfungulia kila aina ya biashara zinafirisika tu, nikampa mtaji unakwisha tu, na mbaya zaidi hajawahi kuonyesha upendo wa dhati kwangu (hajawahi kuwa romantic), na mpaka sasa nampenda. Nimezaa naye watoto watatu wote wanasoma private schools.

Ki ukweli ananitesa saana, namvumilia tu kwa kuwa wanangu sipendi waje walelewe na mama wa kambo kwani wanaweza athirika kisaikolojia.

Nimetokea kuwachukia sana wanawake, siwezi kuwatetea hata kidogo, mke wangu anatumia fursa ya mimi kuwajali wanangu kunitesa na kuishi anavyotaka. Hivi naandika ujumbe huu nikiwa nimejilaza kitandani asbh hii nina mawazo sana huku nimenyimwa unyumba, nikaona bora niingie Jf kuperuzi nakutana tena na hii mada.

Siku nikimaliza majukum kwa wanangu na ishu zingine ndgndg hapa hom hakika naye atajuta. Atakuja kuandika hapa Jf kutaka huruma ya wanazego. Wanawake mnakera sana bhaana, siku janaume likifanya maamuzi magumu mnakimbilia jamii forum kutafuta huruma.

Pambaneni na madhambi yenu, ila samahani kama wee hauko hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
anitumia fursa ya wewe kuwajali watoto kukutesa wewe kivipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti Kiziwi nakuelewa sana ulichokiandika lakini practically hatuendi hivyo! Ndoa ni ngumu na huo uzungu wako kwenye ndoa wengi hawaufuati usimshauri mwenzio hilo. Do you know how difficulty to get divorce paper in Tanzania? Without it will you be free and happy!? tatizo la ndoa la huyu mdada ni dogo sana, ameolewa na mtu mbinafsi na ninahisi mumewe bado ajaacha ujana ndo maana anam treat unfairly mkewe! Baadhi ya wanaume wakipendwa wanakuona mjinga that’s maturity, as time goes on huyo mwanaume ataelewa thamani ya mkewe! Mimi simshauri aachane na mumewe!

Dear mi nimeshauri nilichoona ni sawa , Mwisho wa siku its HER VS HER, na wala sijamlenga masai dada tu, sikiliza cases nyingi za ndoa utagundua mambo ni hovyo hovyo sababu nafikiri watu hushindwa kuweka standars toka mwanzo na upendo ni mdogo baina yao au umeegamia sehemu moja.

Am afraid kuwa mnajitahidi kufit in na kuishi maisha ya wanaume ukija kushtuka una 55 hakuna ulichofurahia maishani zaidi ya kujitahidi kukubalika kwa mumeo na nduguze. Can’t life be win win out there, kwamba unamkopesha mtu furaha yako naye kesho anakukopesha ya kwake? I personally do believe maisha yoteee yanachangamoto na ya ndoa yakiwemo, je hii imekaaje mtu aliyeratajiwa kuwa a shoulder to lean on ndiye anageuka mtesaji? Nani atampa unafuu huyu dada!? Jamii inataka aanze kuchepuka ili ipate pa kubebea bango?

And hakuna popote nimeandika uzungu dear, toka lini self love ikawa uzungu? kuna mtu huko juu kanishauri nisipende kusikiliza upande mmoja, hebu katika hali ya kawaida tujiulizeni huyu dada alimkosea nini mumewe tangu mwanzo kudeserve haya? Kuna makosa makubwa kama usaliti, ushirikina, kutukana au kudharau wazazi ambayo adhabu zake zinafahamika na si hizi anazopitia!? Na je ameambiwa ataadhibiwa hadi lini ili ajue kabisa anavumilia hadi lini hahaha!
 
Ndoa ikishaingiliwa na ndugu na mwanaume asipate akili ya namna ya kusimama na nafasi yake ni kazi sana! Kitu ambacho ungepuuza ni hao ndugu na kuwa strong na vimaneno vyao maana uko kwako, pili kubaliana na hali ya upweke na wewe mpuuze kwa muda ingawa inauma ila inaweza saidia kiasi kuwa bize na mambo yako km ni job nenda kawaida isikuathiri ukashindwa kazi, pambana lipa deni na usiulizie tena habari za nyumba, usiulize habari za baby mama wake, vumilia japo inauma ila simama kivyako ata km mnalala kitanda kimoja fanya km hujishuhulishi naye ila ukimhudumia kwa nafasi ya mume......baada ya hapo waza maendeleo ya mwanao kivyako kama uko job au ni biashara unafanya wekeza kwa ajili yako na mwanao huyo mwanaume kama hana akili ya kuisimamia familia yake ukimwendekeza utaishi kwa dhiki sana ni lazima ajue maisha yanaenda hata bila yeye kuwepo
 
Masai its obviously bado unampenda sana mumeo na unatamani mambo yakae sawa. From the look of things; mumeo hivyo anavyokufanyia ndivyo alivyo na hana mpango wa kubadilika (labda akishakuwa mzee ndo atambue thamani yako as majority ya wanaume wa kiafrika walivyo). Kama unataka amani; amua kubadilika wewe mweyewe. Hupati furaha kwa mumeo so jifunze kujipa furaha wewe mwenyewe. Ukiishi kutegemea kuwa mume atabadilika utazidi kujiumiza mwenyewe; he ain't gonna change soon

Kama baby momma ndugu ndo walimuondoa; dont be surprised ndugu wakikuletea hekaheka. Kwa sababu bado unataka kuendelea na mumeo

1. Ujinga/ visa vya mtu yoyote visikupe stress. Wakija wakigoma kupika sijui kufua, waaache. Hao ni wapita njia tu; waache wafanye wafanyavyo as long as hawakutoi roho, basi wewe wapotezee. Kwa sababu hata ukilia au ukinung'unika, mume wako still atasimama na ndugu zake; sasa kwa nini ujiumize. Let Karma sort that shit itself

2. Huna control juu ya mtoto wa mumeo. Whatever opinion you have on her, keep that to yoursef. Mumeo labda anakuwa over-protective kwa binti yake ili kucompensate muda ambao anakuwa hayupo. Hata akihama chumba na mwanae wewe relax, uzuri mtoto si anakuja na kuondoka tu. Chochote utakachokisema ndo utageuziwa kibao kuwa humpendi mtoto, so inamfanya mumeo aendelee kumchagua mtoto wake over you.

Usicriticize malezi anayolelewa; utaonekana tu kama unajifanya ndo kungwi wa malezi. Since mtoto ana wazazi wake; waache wao ndo waamue wanamlea kwa style gani
Seems like you spoil that girl so much hadi kufikia kumlipia ada. Kama unafanya kutoka moyoni basi Mungu akubariki. Ila kama unafanya just to prove that you are a good step mom; just quit it. Itakuumiza sana pale utakapoona hauwi appreciated and siku utakapoacha kumfanyia baadhi ya vitu; utaonekana mnafiki tu. And mwingine anaweza define kama unataka kuichukua nafasi ya mama mtu kwa mtoto wake; utazua ugomvi bure. So know and stay in your limits when it comes to that lil gal.

3. Get a life. Maisha yako yasi-revolve around mumeo, mtoto wake na ndugu zake. Its high time you start investing in yourself and your kid. Yape na ongeza thamani kwenye maisha yako. Hayo mawazo ya sijui nta-deal vipi na mume na ndugu zake; yaelekeze kwenye kujijenga wewe zaidi. Tafuta vitu vya kufanya vya kukuweka busy kiasi kwamba unakuwa too busy to notice "matatizo" ya hapo home. Dont neglect your wifely duties though.

4. Jiweke karibu na Mungu zaidi. Sisi huku tutakushauri kibinadamu zaidi kila mtu na mtazamo wake. Lakini Mungu atakupa majibu/mawazo ambao hayatokuwa na majuto. Kuwa karibu na Mungu hakutopunguza baadhi ya changamoto zako; in fact zinaweza kuongezeka; lakini Mungu atakupa nguvu na akili itakayokuwezesha kukabili changamoto zako kwa busara; bila kupanic wala kudhoofishwa. Zaidi ya yote utapata amani ya kweli; come what may; you will keep on smiling.

Kikubwa jisamehe na wasamehe mumeo na ndugu zake. Umewajaza sana moyoni mwako; nothing good will come out of you. Waachilie, toa uchungu huo; usitamani mabaya yawapate kwa sababu tu wamekukosea, usiwahukumu. Ukunjue moyo, ukafurahi katika Bwana maana moyo uliochangamka ni dawa nzuri. Usiiinamishe nafsi yako; usikubali huzuni ikuzamishe. Concentrate na mambo positive yanayokupa furaha

Huo uchungu na msongo wa mawazo; una direct impact kwa mtoto wako. Ukiwa na huzuni utampa nini mwanao? If you cant think of yourself; think of your son. You are all he needs and has. Usije ukajistress ukafa bure afu mwanao ukamuacha anateseka; baba mwenyewe ndo huyo. Be strong for him pleasee
 
Dear mi nimeshauri nilichoona ni sawa , Mwisho wa siku its HER VS HER, na wala sijamlenga masai dada tu, sikiliza cases nyingi za ndoa utagundua mambo ni hovyo hovyo sababu nafikiri watu hushindwa kuweka standars toka mwanzo na upendo ni mdogo baina yao au umeegamia sehemu moja.

Am afraid kuwa mnajitahidi kufit in na kuishi maisha ya wanaume ukija kushtuka una 55 hakuna ulichofurahia maishani zaidi ya kujitahidi kukubalika kwa mumeo na nduguze. Can’t life be win win out there, kwamba unamkopesha mtu furaha yako naye kesho anakukopesha ya kwake? I personally do believe maisha yoteee yanachangamoto na ya ndoa yakiwemo, je hii imekaaje mtu aliyeratajiwa kuwa a shoulder to lean on ndiye anageuka mtesaji? Nani atampa unafuu huyu dada!? Jamii inataka aanze kuchepuka ili ipate pa kubebea bango?

And hakuna popote nimeandika uzungu dear, toka lini self love ikawa uzungu? kuna mtu huko juu kanishauri nisipende kusikiliza upande mmoja, hebu katika hali ya kawaida tujiulizeni huyu dada alimkosea nini mumewe tangu mwanzo kudeserve haya? Kuna makosa makubwa kama usaliti, ushirikina, kutukana au kudharau wazazi ambayo adhabu zake zinafahamika na si hizi anazopitia!? Na je ameambiwa ataadhibiwa hadi lini ili ajue kabisa anavumilia hadi lini hahaha!

Yani ndoa nyingi zimekuwa all about men's happiness; mke wewe ni kuvumilia tu hadi parapanda. Na bado utaenda motoni kwa uchungu na malalamiko yako juu ya ndoa khaa
 
Samahani Kama nitakukwaza mkuu, laiti ya kwamba wewe ndio ungekuwa dada au ndugu wa karibu hiyo ndoa ingekuwa imeshavunjika. Ndugu wengi (hasa wanawake) wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja.

Nakushauri Kama una ndugu ana matatizo au itatokea ana matatizo ya ndoa tafdhali kwepa kumpa ushauri. You're too emotional!
Mimi uyu binti kiziwi ndo angenipa ushauri maana ako sawa na fikra zangu,
 
Heaven Sent katika mada kama hizi huwa nakusubiri kusoma your two cents always. Umeongea vizuri sana. Hasa kitendo cha kuyaachilia hayo mambo.

Lakini dear umesahau point ya msingi sana, mumewe alimnyima haki yake ya ndoa, juu ya hili afanyaje? Okay nafahamu wanawake tunaweza survive muda mrefu sana bila kupata hiyo kitu, lakini je huoni kuwa ni haki ambayo atakuwa akiikosa kwa muda mrefu, since she is married kuchepuka ni kosa na ni dhambi pia afanyaje sasa?
 
Basi mwenzio nilijifanyia assumptions zangu tu lol. Nikasema kwa situation aliyonayo hadi ananza na kuumwa now kisa stress sidhani kama hata kama ana hamu ya tendo. Though it will reach a time atarelax kidogo so hamu zitarudi tu afu ndo hivyo mume analala naye daily; mwili u dhaifu nao. Sasa sijui aendelee kujiombesha dudu la yuyu au asubiri hadi siku akipewa offer mweeh. But ikifika stage tendo la ndoa limekuwa kitendawili na yeye analihitaji haswa; ataamua afanyaje of coz itabidi afanye maamuzi magumu tu. Siwezi kumshauri achepuke though kwa sababu atakuwa ameongeza petrol kwenye moto and cheating sio hata temporary solution; ni kujichimbia kaburi. Ni dhambi itakayomzalia mauti

Btw nikawa najiuliza kitu moyoni mwangu hapa; mtu mwenye situation kama hii; je asiongeze mtoto kwa sababu mume haeleweki na hata yeye uchumi wake haupo stable for now? Au akishakuwa stable aongeze watoto atakaoona yeye binafsi ataweza kuwatunza? Maana wanawake wa kiafrica tuna ile notion kwamba; kwanza ni mume wa ndoa lakini pia hatupendi kuchanganya mababa kwa watoto wetu (naamini bado ana ndoto ya kuongeza watoto wengine). Your general opinion please
 
Basi mwenzio nilijifanyia assumptions zangu tu lol. Nikasema kwa situation aliyonayo hadi ananza na kuumwa now kisa stress sidhani kama hata kama ana hamu ya tendo. Though it will reach a time atarelax kidogo so hamu zitarudi tu afu ndo hivyo mume analala naye daily; mwili u dhaifu nao. Sasa sijui aendelee kujiombesha dudu la yuyu au asubiri hadi siku akipewa offer mweeh. But ikifika stage tendo la ndoa limekuwa kitendawili na yeye analihitaji haswa; ataamua afanyaje of coz itabidi afanye maamuzi magumu tu. Siwezi kumshauri achepuke though kwa sababu atakuwa ameongeza petrol kwenye moto and cheating sio hata temporary solution; ni kujichimbia kaburi

Btw nikawa najiuliza kitu moyoni mwangu hapa; mtu mwenye situation kama hii; je asiongeze mtoto kwa sababu mume haeleweki na hata yeye uchumi wake haupo stable for now? Au akishakuwa stable aongeze watoto atakaoona yeye binafsi ataweza kuwatunza? Maana wanawake wa kiafrica tuna ile notion kwamba; kwanza ni mume wa ndoa lakini pia hatupendi kuchanganya mababa kwa watoto wetu (naamini bado ana ndoto ya kuongeza watoto wengine). Your general opinion please

Kichwa kinauma mamdogo, nikitulia tutaendelea na udadavuzi, btw amesema ameugua gafla masai dada, watu hawaoni kama huyu dada anahitaji msaada!
 
Back
Top Bottom