Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umegonga penyeweUlishawahi msaliti huko nyuma? Ulimfanyia au ulimuonyesha dharau au kiburi Maana wanaume tunatunza kumbukumbu hata miaka hamsini ya usaliti.
Hii kitu inauma ila sie wanaume tunavumilia sana. Ikitokea kwenu huo ugomvi unaamliwa na papa Francis tu...ila inauma mnara unasoma 6G alafu simu inazingua kuwaka[emoji16][emoji16] pole sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ipi? Ya kuambiwa usilale kitanda kimoja na binti yako wa miaka 7? Huyu mwanaume ana gubu haswaHivi unadhani ni rahisi dushe kusimama katika hali kama ile?
Na asiyetaka kunyanyaswa ndo anaitwaga "mwanamke mpumbavu". Nafikiri watu wengi hawajui kutofautisha kati ya uvumilivu na kuishi na manyanyasoNimegundua wengi wamezoea kunyanyasa au kunyanyaswa kiasi kwamba kwao hiyo ni kawaida tu na inatakiwa iwe hivyo. Ndio maana watu wanakuja na kauli za "ndoa ngumu, vumilia tu"
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Miaka Saba bhana
Haha ahsante nimerekebisha; nawaza sana wanafunzi wangu
Una shida gani wewe? Mbona unauliza tu maswali nakujibu ukiulizwa wewe hujibu? Au hujui cha kujibu.....
Itembeze, itembeze.... Hata mimi naitaka ili isikuchachie...
Na asiyetaka kunyanyaswa ndo anaitwaga "mwanamke mpumbavu". Nafikiri watu wengi hawajui kutofautisha kati ya uvumilivu na kuishi na manyanyaso
Sema wewe ndugu yangu....Yani, ukigoma masimango ukaondoka unaambiwa umevunja ndoa yako kipumbavu. Wanataka uvumilie kudharauliwa hapo ndo utaitwa mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app