Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Niliwahi kusingiziwa tu kuwa nimeiba elfu kumi but infact sikuiba na sijawahi iba, huwa siwezi kuiba hata uniache dukani niuze sintakuibia hata mia,.
 
Sijawahi kuibiwa wala kuiba. Mimi ni mwoga sana nikiiba natetemeka mwili unajaa jasho naamua kurudisha.
Nikagundua wizi haunifai.
 
Mpenz wangu alkua anapenda kuvaa boksa zangu ...

Nltaka nmkomedhe kwa kuvaa chup zake ... Nkaona upumbavu

Dah
 
Hiyo siku nimeenda kwa Mshikaji wangu wa Longi, Nafika kwao nakuta wametembelewa na mtoto wa sista hao na kabinti bado Yanki na chuchu Konzi, Nikacheki Kitoto kina kitako cha kichokozi na kiuno Chembaambaa kama Nyigu, gentomani nikasema huu mzigo hevi nikupata nanyonya adi Kamasi, Kama ujuavyo bontawni hakosi janja nikamzimisha mtoto na bodi langweji moja matata demu akaelewa, neksti wiki mtoto akajaa geto.. dogo alikuwa anajua lav si haba, mutoto Kiuno Ringi.. nikasema wacha nimletee ata chipsi yai nilivaa tro ilikuwa na 50K ivi, nikaacha walleti geto ikiwa na 7000, aah manzi kumbe kachomoa 7000 ile akaamsha asee.. Nilicheka sana na kujipongeza kwa kueka hela ingine mfukoni, dheni nikapiga zile chipsi zote mbili na laifu ikasonga.. Mara ya kwanza naibiwa na demu ilikuwa hivo..
 
Nimeenda kwake, kanitumia afu kasema hana pesa atanitumia baadae kwenye simu.
Kaenda kuoga nikasepa na flat screen yake pamoja na dekoda ya Azam.
Namba yangu ya simu hana....atanipataje.
Mpaka leo ninavyo
Aisee.. ilikuwa sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…