Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ndio alizama kwny pochi yangu akakuta laki mbili na nusu akaibeba bila huruma aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@mshana jrSijaolewa wala sina mchumb
[emoji121][emoji121][emoji119][emoji119][emoji119][emoji40][emoji40][emoji40][emoji100][emoji100]@mshana jr
[emoji121][emoji121][emoji119][emoji119][emoji119][emoji40][emoji40][emoji40][emoji100][emoji100]@mshana jr
Sijawai kumuibia maana alikuwa anakuja Na pumbu zake tu
Ilikuwa mwaka gani hiyo ?Ndio alizama kwny pochi yangu akakuta laki mbili na nusu akaibeba bila huruma aisee
Mwaka huuIlikuwa mwaka gani hiyo ?
Aisee.. ilikuwa sh ngapi?Nimeenda kwake, kanitumia afu kasema hana pesa atanitumia baadae kwenye simu.
Kaenda kuoga nikasepa na flat screen yake pamoja na dekoda ya Azam.
Namba yangu ya simu hana....atanipataje.
Mpaka leo ninavyo
Aisee.. ilikuwa sh ngapi?
Hatujamalizana
Mmmh Kiaje?
duuuhhKuna jamaa alishaibiwa Figo ila alilala na kahaba
Khaaaa!!Kuna jamaa alishaibiwa Figo ila alilala na kahaba
Msamehe tuMwaka huu
Nimemwachia Mungu tu maana alinitia hasara sana pesa za biasharaMsamehe tu