Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Mkuu subreddit zipi hua unazifuatalia sana na mimi niongeze kwenye saver yangu..
 
Waaoooh hongera sana patrickk...maisha ni chuo cha mafunzo..
Yaliyopita si ndwele mgange yajayo mtani
 
Halafu only Rachel ndo alikuwa anampatia mwamba...technically alikuwa hapindui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…