Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Thank you very much.
Ulitoa muda wako mwingi kutuandikia na sisi tumetoa muda wetu mwingi kusoma na kujifunza.
Kazi yako haijaenda bure ulichofanya ni kikubwa na yawezekana kimesaidia vijana wengi.
 
Na hii ni moja ya simulizi nzuri zilizopo hapa jamii forums. Patrik pia upo kwenye list ya wasimuliaji wazuri kama analyse,umughaka,konda msafi,insiderman n.k
 
Nmesoma mpaka mwisho ,Hongera sana kwa kupata tena utulivu kazini na kwenye familia yako.
Ila kuna namna nimeobserve hauna mapenzi kivile na G ni vile tu amekua mwema kwako.
 
Hapo ndio kantalamba sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…